Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.

Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.

Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.

Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.

Pasco.
Pasco njaa itakuja kukuumiza siku moja, mark my words.
 
Nia ya hawa watu ni kutafuta wakubwa wa chama cha CHADEMA ili ionekane ndio waliomtuma Lwakatare apange njama za uharifu huo!!! Wamesahau kuwa CHADEMA kuna wanasheria wa kuchunguza na kutoa utetezi ulio halali badala ya viini macho!!! CCM imeishiwa sera wakalale kazi yao imekwisha!!!

Kweli mkuu nimesoma comments za chonza na zemaproco naona wanamtaja sana Dr. Slaa, nikawa najiuliza amekujaje kwenye hii kesi kumbe ndio lengo lao.
 
Ndio tulikua tunasubiri hii, sasa ndio kina Slaa wanaanikwa.

ingekuwa nyie ndiyo mnagawa pumzi nafikiri viongozi wa cdm ukianzia na slaa mngeshawakatia kitambo!bahati mbaya sana kazi hiyo ipo mikononi mwa mungu na hamna ushawishi juu ya hilo
 
hapa slaa ataumbuka kumtuma ben kutega humu mtoni na kumtumia ludo maana mchemba cd anayo na kabla hajatinga kizimbani tutairusha fb na tweter muone slaa akimpa rwakatale maagizo kabla rwakatale haja mpa ludo
 
Haya ndio matokeo ya serikali yetu..... maswali magumu kujibiwa kirahisi ndiooo maana unaona vitu havieleweki wanafungua kesi wanaifuta wenyewe wanaifungua tena ileile bila hata aibu kwa sababubu hawajiulizi mradi siku ipite malengo binafsi wayafanikishe ..... subiri tuone
 
Lwakatare ni mwehu kweli anakataa vipi sauti na kukiri vyengine? na vipi kuhusu zile chafya ni za Ludovick? Ha ha ha haaaa!!!! janja ya nyani kula mahindi mabichi.......
zile chafya zitakua za mwiguru aliziweka wakati wa kuedit.
 
Lwakatare kishamaliza kazi , mwenyewe kakiri baadhi ya maneno siyo ya kwake, ina maana mengine ni ya kwake mnataka nini mpaka hapo?
Mnajifanya hamnazo akili itawarudi tu punde.
 
NAPE naye ana clue za kutekwa Kibanda muda ukifika, maana ukitafakari jinsi na makala etc ana clue flani hapa.
 
Lwakatare ni mwehu kweli anakataa vipi sauti na kukiri vyengine? na vipi kuhusu zile chafya ni za Ludovick? Ha ha ha haaaa!!!! janja ya nyani kula mahindi mabichi.......

mwehu ni aliyesponsor hiyo show na aliye mrubuni ludo.ukitaka kusikia au kujua mengi kuwa na subira
 
Hiyo press conference inatafuta public sympathy tu. Lakini ukiisoma hiyo taarifa ya Lissu na wenzake inaonesha:

1) Lwakatare hajawapa ukweli wote wanasheria wake. Kama angekuwa amewaeleza ukweli wasingesema kuna baadhi ya maneno yamekuwa edited. Lwakatare angewaambia ni kipi alikizungumza na Ludo?!

2) Kama issue ilikuwa ni ya kupanga basi ni kweli Lwakatare alikuwa na huo mpango wa kumpa maelekezo ya utekaji Ludo. Kilichofanyika inaonekana ni Ludo kuwatonya wahusika kwamba kuna a, b,c. Ndio pengine sasa njama za kumrecord atakayoyazungumza zikaanza.

Kwa mantiki hii, video sio feki ila walimrecord bila yeye kujua lakini Lwaka alikuwa pioneer wa mpango mzima wa kutemteka mlengwa.

3) Ludo anaonekana kuwa kama Masalia kama alivyokuwa Saanane lakini akawageuka wenzake na kuamua kusema ukweli.

4) CHADEMA ni wakurupukaji kwa kufanya press conference a day baada ya kukamatwa Lwakatare na kulaani bila kufanya uchunguzi.

5) Machadema mnajifurahisha lakini ukweli ni kwamaba kuna masalia ya kutosha CDM ambapo msipoangalia kifo chenu kitakuwa kibaya sana.
 
Back
Top Bottom