Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 485
Kuna mwingine naye aliropoka kwenye ile issue ya Mwandishi wa habari akaishia kusema hackers waliingilia kwenye id yake wakapost ule utumbo! Hawajakomaa wanajifanya makomandoo!
Na wewe nawe ni mwanasheria toka wapi? Hebu kuwa mwangalifu na maandishi yako kwanza. In tandem na sio intandem!We nawe ni mwanasheria toka wapi? Unaitia aibu profession yetu mkuu. Kama katika utoaji wa hiyo nolle prosequi haukuwa wa kihalali mtu yeyote mwenye interst anaweza kuiomba mahakama ipitie uamuzi huo kama ulikuwa wa halali, YOU ARE SUPPOSED TO READ THE LAW INTANDEM MY FRIEND
Jambo ambalo CCM kupitia Mwigulu & co hawalijui ni kuwa wanaandaa mbinu chafu ambazo ndio zinaipaisha Chadema kwa kasi ambayo kama wasinge fanya mbinu hizo kasi hiyo wasingeifikia.
Baada ya hili ku backfire mioyo ya wengi imejikita Chadema zaidi na kuongeza chuki kwa CCM maana raia wengi wa kawaida wameshawahi kukumbwa na kadhia ya kubambikiwa kesi wao wenyewe au jamaa zao,hivyo hili limewakumbusha machungu.
Asante sana CCM,asante Mwigulu&co kwa kuipaisha Chadema.
pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.
Kwani Pasco amepatwa na nini, mbona amebadilika ghafla. Anayejua atujuze.Hahahahahaha
huwezi kufurahi kuona cdm ina win! Nilijua utakuja na lugha nyingine tuu! Hivi unataka kusema hii case haina politics cells? Sishangazwi na maneno yako na ushauri wako wa kinafiki! Hakuna asiyekujua!
Hahahahaha
Umenichekesha sana kuitenganisha hii case na siasa!
Kutenganisha hii case na politics ni utovu wa nidhamu! Lets see najua utakuja na maneno mengine!
Huwezi kumtenganisha lwakatare kwenye hii case na chadema hata mara moja na ushindi wa lwakatare utakuwa wa chadema maana tunajua fika hii ni mbinu ya kuichafua cdm kupitia lwakatare!
Lets wait and see!
Na wewe nawe ni mwanasheria toka wapi? Hebu kuwa mwangalifu na maandishi yako kwanza. In tandem na sio intandem!
Crashwise on crashing process. Duhhhh.Nilikuwa naamini kuwa kuna watu ndani ya CCM wana akili timamu ni pamoja na huyu mwana JF mwenzangu Ng'wamapalala lakini nimekuja kugundua huyu jamaa ni kati ya walio jaza mavi kichani...
Kwani chafya ni ugaidi?Lwakatare ni mwehu kweli anakataa vipi sauti na kukiri vyengine? na vipi kuhusu zile chafya ni za Ludovick? Ha ha ha haaaa!!!! janja ya nyani kula mahindi mabichi.......
Kuna mwingine naye aliropoka kwenye ile issue ya Mwandishi wa habari akaishia kusema hackers waliingilia kwenye id yake wakapost ule utumbo! Hawajakomaa wanajifanya makomandoo!
Yap, wakati mwingine si vizuri kujifanya mjanja saana. Hicho ndio nilitaka kusema. Ni hivyo tu, hakuna kingine!Ndugu haijaathiri chochote madam ni jukwaa la kisiasa sio sheria kwani ana-draft "charge sheet" au "Plaint" sisi tunataka kaujumbe tu.
Lwakatare ni mwehu kweli anakataa vipi sauti na kukiri vyengine? na vipi kuhusu zile chafya ni za Ludovick? Ha ha ha haaaa!!!! janja ya nyani kula mahindi mabichi.......
Kwani chafya ni ugaidi?