Sijui umri wako lakini kwa watu wazima kinachosemwa ni muhtasari ya mengi yaliyo kwenye maudhui. Kwangu mimi najua hatasalia hata masalia mmoja ndani ya CDM. Siyo kwa sababu Chadema ni wazuri sana kupambana na changamoto, bali ni kwa sababu msingi wao wa ukweli utanabahi unatoa fursa kubaini mambo mengi.
Kwenye uongozi kuna msingi wa mwongozo wa kutathmini hali (situation) unaitwa SWOT naamini unaujua. Nikianzia mwisho kwenye T CDM wanazisimamia kikamilifu Trends, O wanabaniwa sana, W wanazigeuza kuwa O, S yao ni kuaminika na umma. Niambia masalia watakatiza wapi.
Si vizuri kukukumbusha kuwa M<wigulu, Michuzi, Masalia, Ludo, Lwakatare ni watu siyo masuala/issues. Tulia jikite na issues kesi ya ugaidi, video, mahakama, polisi, CCM, TISS nk.
He once tried to study Law at UDSM but he failed and discontinued. And now a failed law student is teaching experienced Advocates what he failed.In law and legal issues Pasco is a Dwarf who thinks that he knows better than Prof Safari and Tundu Lisu, I am not sure to what extent has he practiced law because the last time I checked he was a freelance Journalist
kivuitu ametangulia mbele ya haki mkuu
Kwa ushahidi huo hapo juu
kwenye main post, huyu naye anastahili kuhojiwa. Anaonekana ni mmoja
kati ya watu walioufahamu vizuri mchezo uliokuwa unachezwa. Na hapa
akamtaja mtu kwa madai amesikia sauti yake kwenye video. Hii inapatikana
hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...apa-lwakatare-alikuwa-anamaanisha-nini-4.html
Hii ni posti namba 77:
Na hii ni posti namba 87:
Posti namba 91 anataka ziwekwe video zote. Anazijua?
Wana JF!
Nimebahatika kuongea na moja ya mawakili wanaomtetea Lwakatare, akaniambia moja ya mashahidi wanaompango wa kuwatumia ni Mwigulu Nchemba ambapo watamtaka aelezee hiyo video yake aliyosema tar. 29/12/2012, ndiop hiyo iliyoko polisi au la! Vilevile mawasiliano yao ya karibu na Ludovick Joseph kuanzia Facebook (kumbuka hawa nimarafiki ktk FB) hadi simu walizokuwa wakipigiana vitawekwa hadharani kwa ajili ya cross qns.
Vilevile wanaangalia uwezekano wa kuomba kuundwa kwa mahakama ya Coroner kuchunguza vifo vyote na utekaji wenye utata uliotokea siku za karibuni hapa TZ .
My take!
Mwisho wa hili sakata kuna watu wanaweza umbuka kuliko ilivyokuwa imedhaniwa.
Neno la leo;
It is what we think we know already often prevents us from learning.
By Mpigania Uhuru.
It is what
Ninawasiwasi kama hata Mwigulu mwenyewe kama anafahamu kitu alichocheza nacho kwamba kina maafa kiasi gani kwake mwenyewe,familia yake na Taifa kwa ujumla.Labda ni ile kujiona kujua sana kila kitu mwisho wa siku unaangukukiwa na nyumba mbovu.
Mwigulu anajidai mafia lazima ataumbuka kuna cd inametengenez kama ya lakwatare hii ni ya wassira wakipanga utekaji wa ulimboka.
Hueleweki hata unataka kusema kitu gani umebaki kulalama tu alimradi unaandika kwa kujiridhisha, nyie subirini tu muone mabosi wenu wanavyoumbuka.
Hawawezi kusema sasa hivi kwa kuwa kesi ya msingi haijaanza haya ni malumbano ya kisheria tuu,. Mtaalamu wa video na mpango wa mzima wa digitali ameshawasili nchini kutoka Ujerumani kusaidia kung'amua ukweli kuhusu mkanda subiri uone watu wanavoaibika, DPP lazima afute hii kesi!!Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
kujiunga juzi sio ishu hapa tunajadili ulaghai wa cdm.
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Sio njaa...Kuna kitu kingine