Yani njaa bana! Sasa Ludovick hii maana yake nini??watu walimuonea huruma kuwa kasalitiwa, kumbe yeye ndiye aliyeanza usaliti. Na nadhani ndiyo sababu ya kukanwa ili ionekane kuwa yeye ni mwana CCM per se. Nadhan Mwigulu naye ajiandae kupanda mahakaman maana kama hadi wamejua kuwa aliwasiliana na Ludovick kwa tarehe na muda, sitashangaa kama watakuwa na sms zake au hata walichokuwa wanaongea.
The way Lissu anavyoonesha uchu wa kukimbizana na hiyo kesi, kama Mchumi wa Daraja la kwanza anaiona hii clip, ni dhahiri anaona kabisa kuwa amekiua chama chake. Mana ushindi wa CDM katika hii kesi ni anguko kubwa la CCM na serikali yake.