Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

UVCCM Mkoa wa Pwani walishasema, tena mbele ya Ridhwan kwamba ni zamu yao kula. JK anatekeleza hayo. Mtasema weee mwisho mtalala. Ushauri wangu mwacheni JK afanye apendalo kwa kuwa baadhi yetu wameapa kumtetea mpaka mwisho, lakini msiruhusu rais ajaye awe na uwezo mdogo wa kufikiria kiasi hicho maana tutauwawa kwa uongozi dhaifu.
 
Hakuna ajabu jamani. Si ana ndege iyendayo kasi balaa! Mwisho wake upo tu. Acha a2ache gizani akakae kwenye mwanga angaza patakucha tu!
 
Mkuu unaposema ameonekana London ni kama vile mtu aliyepotea na kaonekana sehemu fulani,samahani lakini.
Mbona watu tunaingila privacy za watu? He is president, we don't have right to question chochote!
 
That's downright stupidity.Why don't you just ask,or simply keep quiet, if you don't know your rights?Do you have any clue as to what the word PRIVACY means?He's OUR PRESIDENT,for God's sake...we're not intruding into the private life of someone's father or husband.We are his employer,we pay his salary and living expenses,and have EVERY RIGHT TO KNOW how our money is spent....and our president's whereabouts.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

If u think u hav got the right, mpeleleke kwenye vyombo vya sheria uone!
 
Kanituma niwaambie kelele zenu hazimfanyi ashindwe kulala yeye ni kutumbua tu hadi time zake ziishe Uhondo mpaka Bush
 
Mbona watu tunaingila privacy za watu? He is president, we don't have right to question chochote!

Bora uandike kiswahili maana kiingereza chako uchwara .Isomeke hivi He is the President na si vile ulivyo andika .Ma CCM bana yote ni matupu kazi kuchapia tu .
 
That's downright stupidity.Why don't you just ask,or simply keep quiet, if you don't know your rights?Do you have any clue as to what the word PRIVACY means?He's OUR PRESIDENT,for God's sake...we're not intruding into the private life of someone's father or husband.We are his employer,we pay his salary and living expenses,and have EVERY RIGHT TO KNOW how our money is spent....and our president's whereabouts.
he is not your husband for you to keep track of his movement find another man.That guy already has a wife
 
si ndo maana mimi nasema kiingereza sisi wabongo ni mama mkwe!!! Hapo kweye nyekundu ilitakiwa isomeke "to keep track on his whereabout.
 
Hivi kati ya wakeze hakuna mwenye akili ya kumshauri ama wote ni vilaza kama yeye na washauri wake? Au hashauriki jamani?
 
Back
Top Bottom