Mchuano Mkali wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Kati ya Jakaya Kikwete vs Raila Odinga

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
47,907
55,816
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga.

Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia kutoka Kwa majirani Kenya kwamba Uhuru anapigia kampeni Jakaya na sio Rao.

Senator Samson Cherargei accuses Uhuru Kenyatta of supporting Tanzania's Jakaya Kikwete - instead of Raila Odinga - in the AU Commission chairperson job.​

My Take
Kila la Heri Jakaya ,unatosha sana kwenye kiti hicho kama mwanadiplomasia mashuhuri Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
20240223_164657.jpg
20240223_164708.jpg
 
Kikwete anataka nini tena hapa duniani. Kibabu cha miaka 70 ambacho kimeshakuwa raisi wa nchi kwa miaka 10 anataka kutengeneza CV gani tena nyigine asietulia akacheza na wajukuu.

Huyu mzee tamaa yake haina mfano. Nina hakika hata akipewa uwaziri hapa nchini atakubali pia. Kuna ukomo hasa wa umero wa madaraka na mali, huyu mzee kauvuka.
 
AU inahitaji mtu kama Jakaya sio waganga njaa wengine
 
Tanzania mambo yetu yanakwenda kisiri siri sijui ni uwoga wa kutojiamini.

Ni bora kuwa wazi kupata au kukosa yote ni chanya katika kuitangaza Tanzania hivyo kama ambavyo tunachagiza nchi imefunguka, hata suala hili ni sehemu ya soft power/ nguvu isiyoumiza ya kuiweka Tanzania ktk ulimwengu wa habari za kimataifa na, kuweza kuweka ushawishi mpana unaogusa utalii, uwekezaji, diplomasia n.k
 
Kikwete anataka nini tena hapa duniani. Kibabu cha miaka 70 ambacho kimeshakuwa raisi wa nchi kwa miaka 10 anataka kutengeneza CV gani tena nyigine asietulia akacheza na wajukuu.

Huyu mzee tamaa yake haina mfano. Nina hakika hata akipewa uwaziri hapa nchini atakubali pia. Kuna ukomo hasa wa umero wa madaraka na mali, huyu mzee kauvuka.
No peace of mind !
Hiyo ndio shida !!
 
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga.

Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia kutoka Kwa majirani Kenya kwamba Uhuru anapigia kampeni Jakaya na sio Rao.

View: https://www.instagram.com/p/C3kYL_JN110/?igsh=MTM2dmNhbG5ta28xZA==

My Take
Kila la Heri Jakaya ,unatosha sana kwenye kiti hicho kama mwanadiplomasia mashuhuri Duniani.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1760415412263514572?t=7VIECZ6tnZ0Vr5O2eWycng&s=19View attachment 2913525View attachment 2913526Jakaya ameshapata dalili za mwanzo za ugojwa wa kusahau. Abaki kuangalia afya yake. Jakaya kiafya hayuko vizuri
 
Tamaa ya madaraka ya huyo mkware,.miaka kumi ya urais wake hajafanya lolote kwa nchi, sembuse Afrika? Anaenda kusambaza unafiki wake
Mpe heshima anayostairi kikwete, unajua wakati anachukua nchi kwa mtangulizi wake tulikuwa na bara bara zenye urefu gani zenye rami? Unajua kulikuwa na vyuo vikuu vingapi nchini vya umma? Hospital ngapi? Shule ngapi za umma huwezi mkisifia late lowassa kwenye shule za kata bila kumtaja kikwete. Tumheshimu kikwete watanzania
 
Back
Top Bottom