Kama ilivyo yako!!sehemu ya ubongo wako ni haja kubwa!
Kuna Mbunge mmoja alisema " so what?" nami narudia ......"
Wrong move Rejao....hebu fikiria mara mbili mbili uone how wrong you are.Mbona watu tunaingila privacy za watu? He is president, we don't have right to question chochote!
Wakuu mnajua kama waandishi wetu wa habari wangekuwa "creative" hii topic ya safari za nje za Raisi ingekuwa nzuri sana ya kuifanyia investigation, (60 minutes style) sijui kwa nini hawaangali wenzao wanafanya nini. Kama mwana JF anajua idadi ya ziara za JK nje ya nchi na watu ambao wanalipwa kukusanya habari hawajui inasikitisha, Kuddos to this JF member.
Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...
Aage kamsahau nani huku bongo????Hakuaga?
Hahahahahahahaaaa... Unanivunja mbavu mkubwa teh! Heaven hakuna bembea!i wish him a trip to heaven,he real like traveling