Rais Samia Suluhu awasili Kenya kuhudhuria mkutano kuhusu hali ya hewa barani Afrika

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Rais WA Tanzania kutokea Kizimkazi usiku huu yupo Kenya.

Je ameenda kimya kimya Kwani nini?

======

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Kenya kuhudhuria mkutano unaondelea kuhusu hali ya hewa barani Afrika. Pia wamewasili Rais wa Sudan kusini, Salva Kiir, Rais wa Senegal, Macky Sall na Ethiopia, Sahle-Work Zewde

Samia Suluhu Kenya.jpg

===
Kujua safari nyingine za Rais Samia soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
 
Rais WA Tanzania kutokea Kizimkazi usiku huu yupo Kenya.

Je ameenda kimnya kimya Kwani nini?

======

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Kenya kuhudhuria mkutano unaondelea kuhusu hali ya hewa barani Afrika. Pia wamewasili Rais wa Sudan kusini, Salva Kiir na Ethiopia, Sahle-Work Zewde

Kinya kimya? Sasa umejuaje?
 
Karibu Kenya mama Samia, tupe khabari za Wabongo, hivi walisha anza kutumia SGR? Nakumbuka huo mradi ulianza 2019, nauli ya Dar-Moro shilingi ngapi nije niteleze kwa SGR ya umeme.
Afu mama kaa umshauri huyu rais wetu Ruto, mpaka sasa sijajua anakotupeleka, labda ana nia njema lakini kakosa washauri.
 
Rais WA Tanzania kutokea Kizimkazi usiku huu yupo Kenya.

Je ameenda kimya kimya Kwani nini?

======

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Kenya kuhudhuria mkutano unaondelea kuhusu hali ya hewa barani Afrika. Pia wamewasili Rais wa Sudan kusini, Salva Kiir, Rais wa Senegal, Macky Sall na Ethiopia, Sahle-Work Zewde

Leo kavaa dera la ujiuji a.k.a viscous safi sana mama. Nguo za hariribinayotengenezwa kwa utando wa buibui mnavaa nyie matajiri na TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
 
Karibu Kenya mama Samia, tupe khabari za Wabongo, hivi walisha anza kutumia SGR? Nakumbuka huo mradi ulianza 2019, nauli ya Dar-Moro shilingi ngapi nije niteleze kwa SGR ya umeme.
Afu mama kaa umshauri huyu rais wetu Ruto, mpaka sasa sijajua anakotupeleka, labda ana nia njema lakini kakosa washauri.
Sasa Kenya NI SAA ngapi? Uku ni 5:27
 
Karibu Kenya mama Samia, tupe khabari za Wabongo, hivi walisha anza kutumia SGR? Nakumbuka huo mradi ulianza 2019, nauli ya Dar-Moro shilingi ngapi nije niteleze kwa SGR ya umeme.
Afu mama kaa umshauri huyu rais wetu Ruto, mpaka sasa sijajua anakotupeleka, labda ana nia njema lakini kakosa washauri.
we ndo chizi kweli,yani huyo empty set ndo amshauri rais wenu!!! Ajabu sisi wenyewe tunaona bora tuwe na pipa tupu kuliko huyu rais tulienaye.Nb sijataja jina la mtu.
 
Rais WA Tanzania kutokea Kizimkazi usiku huu yupo Kenya.

Je ameenda kimya kimya Kwani nini?

======

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Kenya kuhudhuria mkutano unaondelea kuhusu hali ya hewa barani Afrika. Pia wamewasili Rais wa Sudan kusini, Salva Kiir, Rais wa Senegal, Macky Sall na Ethiopia, Sahle-Work Zewde

===
Kujua safari nyingine za Rais Samia soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
Mama Safari
 
Back
Top Bottom