Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,764
- 218,380
Ilisemekana Rais wa Awamu ya 4 wa Tanzania Jakaya Kikwete ndiye kiongozi wa kwanza wa nchi hiyo kushika usukani wa kusafiri zaidi kuliko viongozi wote wa nchi za kiAfrica, bado hatukupata lolote kuhusu rekodi yake kuvunjwa.
Tishio pekee alilonalo ni kutoka kwa Rais wa sasa wa nchi yake, Dkt Hangaya, unaambiwa huyu mama anasafiri kuliko hata vipimo vya K/M kwa saa, Taarifa zinaonyesha kwamba hata safari aliyopaswa kwenda DC au Katibu Kata bado atataka kwenda yeye.
Sasa swali letu ni hili Je, anainyemelea rekodi ya Kikwete?