Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jason Bourne, Jul 10, 2011.

 1. Jason Bourne

  Jason Bourne Senior Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani,

  Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd,

  Pili ni rais pekee Afrika anaeongoza kwakusafiri nje ya nchi yake,

  Ni rais pekee Afrika na duniani kujiita rasmi "Dr" japokuwa u Dr huo ni ule wakutunukiwa tu kwa heshima ya kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli/mahafali yanayohusia shahada hizo za PHd,

  Mpaka 2013 tayari alikuwa ametunikiwa PHD tano tu na kujiita Dr,

  Mkapa alitunukiwa shahada 8 za PHd katika utumishi wake akiwa rais lakini hakujiita Dr Benjamin Mkapa, Ally H. Mwinyi alitunukiwa PHd 6 katika utumishi wake lakini hakujiita Dr Ally H. Mwinyi,

  Mwalimu Julius K. Nyerere alitunukiwa shada zaidi ya 20 lakini hakujiita Dr Julius Nyerere,

  Unaweza kujionea mtiririko Shahada za PHd alizotunukiwa Mwalimu Julius Nyerere hapa chini:

  MWALIMU JULIUS NYERERE He received honorary degrees from the following:

  1. University of Edinburgh (United Kingdom)

  2. University of Dugueshe (United States of America)

  3. Cairo University (Egypt)

  4. University of Nsukka (Nigeria)

  5. University of Ibadan (Nigeria)

  6. University of Monrovia (Liberia)

  7. Toronto University (Canada)

  8. Havard University (United States of America)

  9. Howard University (United States of America)

  10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)

  11. Pyongyang University (Korea) -Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)

  12. National University of Lesotho (Lesotho)

  13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)

  14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)

  15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)

  16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)

  17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)

  18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)

  19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)

  20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)

  21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)

  22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)

  23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)

  Awards / Prices

  1. Yogoslavia - Memorial Plaque of the City of Belgrade (15th October 1969)

  2. Guyana - Freedom of the City of Georgetown (11th September 1974)

  3. Havana, Cuba - Order of Jose Marti (21st September 1974)

  4. Mexico - The Great Collar of the Aztec Eagle (24th April 1975)

  5. India - Nehru Award for International Understanding (17th January 1976)

  6. Guinea Bissau - Medal of Amilcar Cabral (19th September 1976)

  7. Brussels - The Dag Hammarskjold Price for Universal Merit

  8. New Delhi, India - Third World Prize (22nd February 1982)

  9. Maputo, Mozambique - Eduardo Mondlane Medal (7th September 1983)

  10. Geneva - Nansen Medal for Services to the Cause of Refugees (3rd October 1983).

  11. Luanda, Angola - Order of Augstino Neto Award (3rd October 1985)

  12. Luanda Angola - SADCC Sir Seretse Khama Medal (21 August 1986)

  13. Dodoma, Tanzania - Lenin Peace Prize (7th September 1987)

  14. Dodoma, Tanzania - Juliot Curie Gold Medal (February 1988)

  15. Paris, France - UNESCO Simon Boliver Prize (21st October 1992)

  16. Arusha, Tanzania - TANAPA /Gold Medal of Outstanding on Wildlife and Environmental Conservation (21st February 1994)

  17. New, Delhi, India - Gandhi Peace Prize (27th January 1995)

  18. Abujua, Nigeria - Nnandi Azikiwe Award (10th March 1996)

  19. Harvard University - World Map Globe (28th December 1999)

  20. CCM, Tanzania - The Century Statesman (2000)

  MAAJABU YA SAFARI za RAIS

  Juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo! Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005

  UPDATES

  Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005 Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma

  UPDATES

  Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!

  UPDATES:

  Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi! ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea. wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia

  UPDATES Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani! JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...

  UPDATES Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa gharama ya NAULI ya kila safari ya nje ambayo rais kikwete na ujumbe wake hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250. Zingatieni hii ni NAULI ya ndege iende irudi tu!

  Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?

  UPDATES 16/12/2011 Safari ya 319 , hivi sasa yupo nchi Uganda katika mkutano uitwao International Conference of Heads of State (ICGLR)

  Rais wetu anazidi kujijengea heshima katika mkakati wake wa kuvunja rekodi ya dunia kwa kusafi hata ziara zenye kumtuma waziri, yeye anasafi tu ilimradi lengo litimie

  Inashangaza sana kuona maraisi wenzake kwa kujali zaidi maslahi ya mataifa yao, hawakuona sababu za kuhudhuria sherehe za uhuru wa Tanganyika wakabaki na wengine kutuma wawakilishi tu, lakini jk hata kicheni pati akialikwa Urusi atasafiri bila kukosa.  UPDATES

  Safari ya 320 ya Rais JK Ameenda Davos Kuikomboa Tanzania, acheni Kelele ! ambakoatahudhuria mikutano ya WEF na ule wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU)mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili Jumamosi, Januari 28, 2012

  UPDATES:

  SAFARI ya 321
  ya Mh Rais Jakaya M. Kikwete, sasa leo anatua katika nchi ya Afrika kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili leo Jumamosi, Januari 28, 2012

  UPDATES: 21/2/2012

  SAFARI ya 322,
  Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.

  UPDATES: 24/2/2012 SAFARI YA 323, Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!

  Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.

  UPDATES:

  Safari ya 324! 15/04/2012 Rais Jakaya Kikwete ametua Brazili kwa ziara ya kikazi!

  UPDATES:

  SAFARI YA 325 Leo tarehe 22 rais Jakaya Kikwete amewasili Malawi kushiriki mazishi ya aliyekuwa rais wa Malawi Bingu wa Mtharika!

  Raitba inasema atarudi tz tarehe 24

  UPDATES: Leo tarehe 9/5/2012 Safari ya 326 tangu mkuu wa nchi aingie madarakani!

  Rais amewasili Addis Ababa Ethiopia KWA KONGAMANO LA UCHUMI LA KIMATAIFA KWA AFRICA!

  UPDATES: Safari yake ya 327, Rais Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani tangu tarehe 16/5/2012 akisubiri kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 19/5/2012,

  UPDATES

  SAFARI YA 328:

  Leo tarehe 1/7/2012
  Rais wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwete na ujumbe wake wamesafiri mpaka lKigali Rwanda kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo!

  Mungu ibariki Tanzania!

  UPDATES:

  SAFARI YA 329
  Tarehe 2/7/2012

  Rais Jakaya baada ya kutoka kuhudhuria sherehe za uhuru nchini Rwanda, ameunganisha kwenda nchini Burundi kuhudhurua sherehe za Uhuru wa nchi hiyo!

  UPDATES

  Tarehe 10/7/2012


  Safari ya 330:

  Hivi punde tumewasili nchini Uingereza,

  Msafara wa mh rais Jakaya Kikwete umewasili Hyatt Regency London-The Churchill

  Ziara hii imetufikisha hapa kwaajili ya mh rais kuhudhuria mkuta unaohusu mambo ya Family Plan!

  UPDATES:

  SAFARI YA 331


  Tarehe 14, rais Jakaya Kikwete amewasili Mjini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU),

  UPDATES:

  SAFARI YA 332.


  Rais Jakaya Kikwete amewasili Kampala, Uganda,*kuhudhuria mkutano wa*nchi*za Maziwa Makuu asubuhi Agosti*8, 2012

  UPDATES

  SAFARI YA 333
  .

  Rais Jakaya Kikwete yupo nchni Ghana kuhudhuria msiba wa rais wa nchi hiyo.

  UPDATES SAFARI YA 334 Tarehe 16/8/2012 Rais JK alitua Maputo Msumbiji kuhudhuria mkutano wa wakuu wa Afrika,

  UPDATES.

  SAFARI YA 335
  Rais jakaya kikwete atua Addis Ababa Ethiopia leo kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi

  UPDATES:

  SAFARI YA 336

  Tarehe 1/10/2012

  THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

  Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425


  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anaanza Ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada akianzia mjini New York, Marekani leo, Jumatatu, Oktoba Mosi, 2012. Rais Kikwete na ujumbe wake uliondoka nchini usiku wa jana, Jumapili, Septemba 30, 2012, na utawasili mjini New York, Marekani mchana wa leo tayari kwa ziara hiyo ya Marekani.

  Rais Kikwete atakuwa Marekani kwa siku mbili kabla ya kwenda Canada kwa ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbili.
  Katika ziara yake mjini New York, Marekani, Rais Kikwete atakutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Ban Ki Moon ofisini kwa Katibu Mkuu huyo kesho asubuhi Oktoba 2, 2012. Baada ya mazungumzo hayo, Rais Kikwete ataungana na Mheshimiwa Ban Ki Moon, Meya wa Jiji la New York na Mfadhili Mkubwa wa Misaada ya Kibinadamu Duniani, Mheshimiwa Michael Bloomberg; Mama Helen Agerup ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Misaada ya Kibinadamu ya H&B Agerup na Dkt. Kelly J. Henning, Mkurugenzi wa Mipango ya Sekta ya Afya ya Taasisi ya Bloomberg Philanthropies kwenye Uzinduzi wa Matokeo ya Mpango ya Ubunifu wa Afya ya Akinamama katika Tanzania. Kwenye sherehe hiyo iliyopangwa kufanyika kwenye ukumbi uitwao Green Room kwenye makao makuu wa Umoja wa Mataifa, Rais Kikwete, Mheshimiwa Ban Ki Moon, Meya Bloomberg na mama Helen Agerup kwa pamoja watazindua Matokeo ya Mpango huu uitwao Innovative Maternal Health Program. Kwenye shughuli hiyo pia Meya Bloomberg atatangaza matokeo ya miaka mitatu ya misaada ya kiafya chini ya mpango huo kwa akinamama iliyotolewa na taasisi ya inayomilikiwa na Meya Bloomberg ya Bloomberg Philanthropies. Aidha, kwenye shughuli hiyo, Meya Bloomberg atatangaza misaada mpya wa mabilioni ya fedha kuboresha afya ya akinamama katika Tanzania chini ya mpango huo na atatangaza mshirika mpya ambaye atasaidiana na taasisi ya Bloomberg Philanthropies katika kuunga mkono huduma bora za afya kwa akinamama wa Tanzania. Katika Tanzania, misaada ya taasisi ya Bloomberg Philanthropies huelekezwa katika maeneo ya vijijini yasiyokuwa na huduma bora zaidi kwa kiafya na huduma ambazo hutolewa ni zile za kuokoa maisha ya akina mama hasa wakati wa uzazi. Tokea mwaka 2006, taasisi hiyo imetoa kiasi cha dola za Marekani milioni 11.5 Fedha hizo ni sehemu ya kiasi cha dola za Marekani milioni 330 ambazo zilitolewa na taasisi hiyo kwa nchi mbali mbali duniani kwa mwaka jana peke yake. Taasisi hiyo hufanya kazi ya kuendeleza maeneo matano duniani ambayo ni Usanii, Elimu, Mazingira, Ubunifu katika Serikali na Afya ya Umma.Rais Kikwete ataondoka Marekani kwenda Canada keshokutwa Jumatano Oktoba 3, 2012 kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbili katika nchi hiyo kwa mwaliko wa Gavana Jenerali wa nchi hiyo, Mheshimiwa David Johnston. Imetolewa na : Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu . Dar es Salaam . 1 Oktoba, 2012


  UPDATES: 03/10/2012

  SAFARI ya 337,
  Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amewasili Canada kwa ziara ya kikazi!

  UPDATES: 15/10/2012

  SAFARI ya 338,
  Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amewasili nchini Oman kwa ziara ya kiserikali

  UPDATES: 24/11/2012

  SAFARI ya 339,
  Mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete yupo nchini Uganda kwa mkutano wa wakuu wa nchi za maziwa makuu!

  UPDATES: 29/11/2012

  SAFARI ya 340,


  Mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete yupo nchini Kenya kwa uzinduzi wa barabara ya Namanga ambayo ni kiungo muhimu kwa nchi za maziwa makuu!

  UPDATES:

  SAFARI YA 341


  Tarehe 23/01/2013

  Rais anawasili jijini Paris nchini Ufaransa kwa ziara maalumu ya kikazi.

  UPDATES:

  SAFARI YA 342


  Tarehe 25/01/2013

  Rais anawasili nchini Uswis ambapo rasi Jk amefika kwa ziara ya kiserikali.

  UPDATES:

  SAFARI YA 343


  3/2/2013

  Rais anawasili Afrika ya kusini kwa ziara ya kikazi.

  UPDATES:

  SAFARI YA 344


  09/04/2013

  Rais Jakaya Kikwete anawasili nchini Kenya kwenye sherehe za kuapishwa rais mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta.

  UPDATES:

  SAFARI YA 345


  15/04/2013

  Rais amewasili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa malkia wa Uholanzi Betresx

  UPDATES:

  SAFARI YA 346


  04/05/2013

  Rais Jk amewasili jini Kuwait City kwa ziara ya siku mbili,

  UPDATES:

  SAFARI YA 347


  10/05/2013

  Rais amewasili nchini Afrika ya kusini kuhudhuria mkutano wa SADC wa siku mbili.

  UPDATES:

  SAFARI YA 348


  Tarehe 24/5/2013

  Rais Jakaya Kikwete anahudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya OAU/AU mjini Addis Ababa Ethiopia

  UPDATES:

  SAFARI YA 349


  Tarehe 31/05/2013

  Rais Jakaya Kikwete anawasili katika jiji la Tokyo kuhudhuria mkutano wa mashirikia kati ya Japan na Afrika!

  UPDATES:

  SAFARI YA 350


  Tarehe 03/05/2013

  Rais anawasili Singapore kwa ziara ya kiserikali!

  UPDATES:

  SAFARI YA 351


  Tarehe 14/06/2013

  Rais anawasili Uingereza kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu, pamoja na mambo mengine, rais atahudhuria sherehe za kuzaliwa kwa Malkia wa Uingereza!

  UPDATES:

  SAFARI YA 352


  Tarehe 21/07/2013

  Rais Jakaya Kikwete amewasili jijini Pretoria, Afrika ya Kusini kuhudhuria mkutano wa Troika

  UPDATES:

  SAFARI YA 353


  Tarehe 16/08/2013

  RAIS KIKWETE AWASILI NCHINI MALAWI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZA SADC

  UPDATES:

  SAFARI YA 354


  Tarehe 29/08/2013

  Rais Kikwete amewasili nchini Austria kwenye mkutano wa 'NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALIZATION'.

  Mkutano huu umeandaliwa na Rais wa European Commission Bw. Jose Manuel Barroso na UN Under-Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, Ms Valerie Amos

  UPDATES:

  SAFARI YA 355


  Tarehe 05/09/2013

  Rais Jakaya Kikwete anawasili mjini Kampala katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda

  Pamoja na mkutano huo, pia anapata fursa ya kukutana na hasimu wake Rais wa Rwanda Paul Kagame na kumaliza tofauti zao kinadharia.

  UPDATES:

  SAFARI YA 356


  Tarehe 13/09/2013

  Rais Jakaya Kikwete anawasili Windhock Nambia kwa ziara ya kiserikali,

  UPDATES:

  SAFARI YA 357


  Tarehe 16/09/2013

  Rais Jakaya Kikwete anawasili Marekani kwa ziara ya kiserikali itakayo mchukua hadi Canada na tarehe 26/09/2013 atahudhuri mkutano wa Umoja wa Mataifa jijini New York,,


  UPDATES

  Tarehe 24/9/2013

  SAFARI YA 358


  Rais anawasili mjini Toronto


  UPDATES

  Tarehe 14/01/2015

  SAFARI YA 426


  Rais leo anawasili mjini Astadarm Holand


  UPDATES

  Tarehe 19/01/2015

  SAFARI YA 427

  Rais Jakaya Kikwete amesafiri toka Holand kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na viongozi wenzake wa dunia katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum utakaoanza 21 hadi 24/2015.
   
 2. P

  Peter bedson Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenzake kenya, uganda, ethiopia wanahangaika jinsi ya kutengeneza pesa na sudan kusini sisi tunahangaika na umeme na wizi ipo siku atalipa madhira yote haya
   
 3. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Na First lady juzi tu alikuwa Comoro hebu ziunganisheni safari zao then tuone yupi ni msafiri zaidi...tehtehteh
   
 4. Jason Bourne

  Jason Bourne Senior Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nalifanyia kazi mkuu!
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
   
 6. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  I saw Obama's fanpage on FB anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?

  Hii ya JUBA Kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....

  Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by Mugabe...

  Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa Tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama Symbion Power
   
 7. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nampongeza bwana mkubwa kuwa kuwa na kiherehere hicho cha kupenda kusalifiri, ndio tatizo la kuingiza machekibob magogoni, na bado hadi atoke 2015 lazima awe amesafiri dunia nzima

   
 8. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Alafu akiulizwa mbona nchi yake maskini anashindwa kujua umaskini wa wananchi wake/taifa watokana na nini, huu ni upuuzi wanaotufanyia wanyonge kwa kweli

   
 9. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mafanikio tumeyaona Nsiande alipiga picha na boys tow men na alienda kubembea pia ni moja ya mafanikio ya huyo mheshimiwa

   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  safari za usa si chini ya one billion, za africa tufanye 400 million, chukua wastani iwe miliion 700 sasa fanya kwa 313 = bilion 219
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Wakuu hapa naomba kujua, hizo 313 ni idadi ya safari ama idadi ya siku ambazo amekuwa nje ya nchi?

  Kama ni idadi ya safari basi anafaa kuingizwa kwenye Guiness Book of Records na tutumie hilo kama kigezo mojawapo cha kuvutia watalii e.g 'Welcome to Tanzania the land of Kilimanjaro and home to the most traveling President'
   
 12. Jason Bourne

  Jason Bourne Senior Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hizi ni idadi ya safari mkuu achilia mbali kulala nje ya ikulu!
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hakuaga?
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  NSiande ni kweli lakini zaidi ya kuchambua ingewezekana tuangalie na kwenye Kitabu cha guiness tushawishi hii criteria iongezwe .kama atakuwa yeye ni rais kuwa nje ya nchi muda mrefu akiwa madarakani basi apewe number moja.

  But though sina uhakika nahisi jamaa kaongeza chumvi kwenye hiyo number

  Teh teh teh teh Analala wapi bagamoyo?
   
 15. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo Upige Mahesabu ya kuwa amelala nje 3 days katika kila nchi itakaribia 3yrs hapo bado hajafika 2015 huyu , Mi naomba wala tusifike nae 2015. Kabla ya Kufika huko akutane na Nguvu ya Umma akimbilie Saudi Arabia
   
 16. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa huwa hapendi kushauriwa ndio tatizo. Ila kila lenye mwanzo lina mwisho. Akimaliza Urais sidhani kama atafikisha tena hizo safari.
   
 17. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hatopita wiki moja toka sasa utasikia anakwenda Libya kwenye kikao cha usuluhishi
   
 18. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, tunaweza pata picha ya boy 2 men tena? Mi nimewahi kuiona mwaka 2006 hivi kwenye gazeti moja la udaku
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Mark my words......Nakuhakikishia before end of July mkuu wa nchi atasafiri tena kwenda nje ya nchi tena sio mara moja, kama kuna anyebisha let's bet a million $$$
   
 20. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
  Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!
   
Loading...