UN haina eneo la kijiografia, kusema US ni sahihi zaidi kisha utofautishe kwamba alienda kwenye ofisi za umoja wa mataifa (UN) zilizo katika nchi ya Marekani
Kama ziara ilikuwa ya kwenda UN basi dunia nzima including Tz (Kasoro Kosovo na Vatican) ni UN, kwahiyo Rais na Mange walikuwa ndani ya sphere of influence ya UN na kwamba hakumfuata Mange US wala kukutana naye US maana ziara ya Rais haikuwa US bali UN, kwa maneno mengine ni kuwa walikuwa Tz pia maana Tz nayo iko kwenye sphere of influence ya UN (UN ina wanachama 255 wanaotengeneza sphere of influence ya UN).
 
The point is; A head of state should have inspirational travel. Like it goes, she is trying to discover a new ocean! Why so unprogrammed. Unafika unakokwenda ndo unaambiwa; Oooh! Huyu ni Kimambi oooh! selfie kidogo! Oooh Bhla! Bhla! Rais wa nchi au kitu gani?
View attachment 2006035
Mkuu,
Mimi katika hii clip #sikubaliani na Rais Magufuli (deceased) kwasababu tangu CAG ya kwanza kuanzishwa chini ya Katiba ya Tanganyika ibara ya 73 na kuanza kazi hata kabla ya Disemba 9, 1961 hadi leo kupitia Katiba ya Tanzania ya 1977 hakuna hata siku moja CAG amebaini kwenye ukaguzi wake wa mahesabu matumizi mabaya ya fedha za serikali katika ziara zote za Marais wote wa Tanganyika na Tanzania. Kama kuna ripoti yoyote ya CAG tangu Tanganyika hadi Tanzania inayothibitisha kugundua matumizi mabaya ya fedha za serikali kwenye ziara za Marais wote 6 naomba rejea yake.
 
Kama ziara ilikuwa ya kwenda UN basi dunia nzima including Tz (Kasoro Kosovo na Vatican) ni UN, kwahiyo Rais na Mange walikuwa ndani ya sphere of influence ya UN na kwamba hakumfuata Mange US wala kukutana naye US maana ziara ya Rais haikuwa US bali UN, kwa maneno mengine ni kuwa walikuwa Tz pia maana Tz nayo iko kwenye sphere of influence ya UN (UN ina wanachama 255 wanaotengeneza sphere of influence ya UN).
UN haina 'physical geographical area' ni kama ilivyo kwa AU ambapo ina makao yake makuu huko kwenye jiji la Addis Ababa nchi ya Ethiopia
 
Naomba uzi huu ujikite katika kuhesabu safari za Rais Samia, mafanikio yake na hasara zake kwa kipindi chote atakachokuwa madarakani.

Siwezi kuzikumbuka zote ila mpaka sasa kaenda Kenya zaidi ya mara moja, Uganda, Rwanda, Zambia, USA, Misri.
Kwa mwenye idadi naomba aniweke sawa ila mpaka sasa hazipungui saba.

Ila kuanzia sasa tuwe tunazihesabu kwa pamoja.
Akae huko huko, hahiyajiki hapa
 
Mkuu,
Mimi katika hii clip #sikubaliani na Rais Magufuli (deceased) kwasababu tangu CAG ya kwanza kuanzishwa chini ya Katiba ya Tanganyika ibara ya 73 na kuanza kazi hata kabla ya Disemba 9, 1961 hadi leo kupitia Katiba ya Tanzania ya 1977 hakuna hata siku moja CAG amebaini kwenye ukaguzi wake wa mahesabu matumizi mabaya ya fedha za serikali katika ziara zote za Marais wote wa Tanganyika na Tanzania. Kama kuna ripoti yoyote ya CAG tangu Tanganyika hadi Tanzania inayothibitisha kugundua matumizi mabaya ya fedha za serikali kwenye ziara za Marais wote 6 naomba rejea yake.
Shiiit! Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Ikulu? Umewahi kusikia CAG anakagua mahesabu ya Bunge?
Unaishi nchi gani, na ya mfumo gani?
 
Kila zama na kitabu chake , yale maigizo ya kula mahindi barabarani na kunywa kahawa vijiweni imebaki historia... au mnataka na mama anunue Jogoo barabarani..
 
Kwa ufupi tu: alitukuta tukiwa dunia ya tatu, sasa tupo dunia ya pili.
Magufuli enzi zake yalifanyika mambo makubwa sana, eg kulindwa kundi la wasiojulikana, watu kutoweka, ukiukwaji wa katiba, chaguzi zisizo kidhi vigezo hata vya ndani, kujua ajira, nk nk.
 
Mkuu kwa kutumia ushahidi usioacha mashaka (siyo hearsay na speculations), tafadhali thibitisha:
• Alimteka nani?
• Alimpiga nani risasi?
• Alimfunga nani na au lini aligeuka kuwa hakimu?
• Aliharibu uchaguzi upi na lini amekuwa msimamizi wa uchaguzi?
• Mali zipi za umma alizozoiiba?
Huenda umezaliwa au kufika mwaka huu!
 
Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:
• Ameua demokrasia.
• Ameua wakosoaji wake.
• Amefanya maamuzi ya hovyo yaliyoligharimu taifa.

Note: Usilete hearsay au speculations. Uweke tangible evidence.
Lisemwalo lipo, kama halipo laja!
 
Magufuli enzi zake yalifanyika mambo makubwa sana, eg kulindwa kundi la wasiojulikana
Unawalindaje watu usiowajua?

watu kutoweka
Kwenda wapi?

ukiukwaji wa katiba,
Ibara au kipengele kipi?

chaguzi zisizo kidhi vigezo hata vya ndani
Reports zote zilionesha tulikuwa na chaguzi huru na za haki enzi zake. Tupe reports zinazoonesha vinginevyo.

kujua ajira
Siku hizi hamzijui, au kabla yake hamkuzijua?
 
Lisemwalo lipo, kama halipo laja!
Ndiyo ushahidi huu? 😁

Mkuu, tafuta pesa. Chuki haiwezi kukuletea pesa, otherwise huo msongo wa mawazo ulionao utazidi kukuathiri.

Kueneza uongo wenye lengo la kuua sifa ya mtu (character assassination) ni kosa kisheria. Siyo lazima ushitakiwe, lakini kama binadamu mwenye akili timamu na dhamiri ninakushauri hebu acha hiyo tabia mara moja.
 
Mama Samia ana kazi sana. Wengi wanampima huku reference point ikiwa JPM. Ndiyo shida ya kukamata uongozi huku mtangulizi wako akiwa amefanya mambo makubwa makubwa.
Hakuna kunwa alilo fanya magufuli zaid ya kujaza watu hofu ana uoga pamoja na ujinga
 
UN haina 'physical geographical area' ni kama ilivyo kwa AU ambapo ina makao yake makuu huko kwenye jiji la Addis Ababa nchi ya Ethiopia
Anga za kimataifa zinamilikiwa na UN, Buffer Zones zote ardhini zinamilikiwa na UN, Radio Frequencies zote duniani (ambazo nazo ziko kwenye mipaka) zinamilikiwa na kutolewa na UN.
 
Back
Top Bottom