Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

zsikia mkuu huu utaishia kwa jibu hili kila mwanamke ana mawazo yake ni sikufichi niliwah kutaka kuroga demu wa mshikaji mmoja mvita bangi tu nywele achani nguo chafu nilishindwa jamaa sijui alimroga vp ule manzi

pia kuhusu kujienda ni same way as kuwa na pesa ngoja nikuadisie sasa kuna jamaa mmoja anajua kuroga uyo apa mtaan simu mbili mda wote smart kiatu kisafi sasa nenda anapoish utakimbia hata mademu washamshtukia kuna hana hela anajismartphotisha tu siku hz wanamkwepa
 
Maandiko yanasema ishi nao kwa akili hata kuroga una roga kwa akili.

Anyways ninacho kizungumzia hapa ni attraction.

Getting the girls to be attracted to you is one thing and keeping them with you is another thing.

U must first attract them before you think of keeping them
 
Kupendeza ndio Ugonjwa wangu huo

Btw sometimes Huwa Nina Waka na kunukia kiasi kwamba nikienda sehemu ambazo Kuna wanawake wengi mpaka unaona jinsi wanavyo teseka Kwa kukata shingo zao na kukutazama ,

Mleta thread uko sahihi kabisa njia pekee ya kuwa kamata wanawake Kwa haraka na wepesi na sometimes wao kuwa Wana kutaka kimapenzi ni wewe kuwa Smart, ila kuwa na gari ni nyundo kubwa zaidi
 
Mimi huwa wana nipa celebrity treatment and I treat them.as fans and they like it
 
When I was a lil bow wow ( a very young boy) I was thinking just like you.

Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.

So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.

But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana ( kuroga is a slang for KUPENDEZA ) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.

Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga( kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA )mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.

Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.

Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.

Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga ( kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)

Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakini shobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga ( kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.

Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri( based on my personal experience )

Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.

Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.

Gari sio something natural.

A car is something artificial.

Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.

Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake ?

But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?

Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?

Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.

Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is ( mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu ( Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )

Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
Nakubal 100% ukiloga utawaweka sanaaaaa tena unapewa yoteyote, Ila ukiloga ukawa na Pesa ndo unawamiliki kabisa.
Namaanisha Ukiloga Utawapata lakini ukiwa na Pesa watakaa kwa kutulia zaid.
 
Nakubal 100% ukiloga utawaweka sanaaaaa tena unapewa yoteyote, Ila ukiloga ukawa na Pesa ndo unawamiliki kabisa.
Namaanisha Ukiloga Utawapata lakini ukiwa na Pesa watakaa kwa kutulia zaid.
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom