Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

@
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.

Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.

So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.

But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana (kuroga is a slang for KUPENDEZA) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.

Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga (kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA) mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.

Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.

Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.

Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga (kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)

Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakinishobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga (kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.

Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri (based on my personal experience)

Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.

Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.

Gari sio something natural.

A car is something artificial.

Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.

Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake?

But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?

Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?

Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.

Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is (mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu (Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )

Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
LIKUD katika ubora wake ngoja nishushie mlo kwanza ndo nije kutoa jambo langu.
 
Mademu hawataki shida. Baa vizuri, pulizia Pafyumu, mkunyenge uwe mkubwa, usikose pesa ya kuhonga. Mademu utawakimbia
 
Back
Top Bottom