WHO marekani wamejitoa sasa wanataka takwimu za nini.Wao wenyewe zao hawapeleki WHO baada ya kujitoaFor the record tu ninmataifa ya afrika asilimia 90 kama si 85.. yatoa takwim zao.
Ni.mataifa machache sana. Hata kumi hayafiki ambauo hayatoi takwimu.
Kisa tanzania na burundi hawatoi... haimaanish nchi zingine afrika nazo hazitoi.
Wana kaunafiki fulani kwa Africa ukiongozwa kiongozi waoWHO marekani wamejitoa sasa wanataka takwimu za nini.Wao wenyewe zao hawapeleki WHO baada ya kujitoa
Watatue yakwao kwanza hawa jamaa wana kasumba mbaya sana
Kiufupi USA Kwa sasa si rafiki wa kweli kwa Africa
For the record tu ninmataifa ya afrika asilimia 90 kama si 85.. yatoa takwim zao.
Ni.mataifa machache sana. Hata kumi hayafiki ambauo hayatoi takwimu.
Kisa tanzania na burundi hawatoi... haimaanish nchi zingine afrika nazo hazitoi.
Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya dunianiUnatia huruma kweli! Hivi suala la kutokutoa taarifa limelalamikiwa Afrika nzima au sisi tuu?
Na unajua kuwa masuala ya Pandemic utoaji taarifa sio sharti la hiari bali lazima kwa dunia nzima ili kulinda na kuchukua hatua kwa wengine?
Umenena vyema mkuuUnatia huruma kweli! Hivi suala la kutokutoa taarifa limelalamikiwa Afrika nzima au sisi tuu?
Na unajua kuwa masuala ya Pandemic utoaji taarifa sio sharti la hiari bali lazima kwa dunia nzima ili kulinda na kuchukua hatua kwa wengine?
Madhara tuwezayo kupata kwa hili la kutotoa taarifa za kweli ni kutengwa na huo muziki unakuja kwa kuendekeza akili za kijinga.
Magonjwa yanadhibitiwa kwa kufuata kanuni sio maombi ya siku tatu msimchoshe Mungu kwa uzembe wenu.
Kuna kauli za sijui wivu, yaani US anayekupa ARV na vyandalua bure akuonee wivu masikini kama wewe? Mbona mnakuwa masikini jeuri hivi?
Jifunzeni kuwa na adabu. Na fuateni masharti ya tiba acheni kudanganywa na Vibwetere wa kizazi hiki.
Kumbe unaandika tuu kishabiki au kutimiza takwa la ajira yako.Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya duniani
Sasa kwakua amejitoa WHO asilinde raia wake?Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya duniani
Serikali ya Marekani ya Raisi Donald Trump inatumia corona politics kusingizia nchi zingine kuwa hazifanyi vizuri kuliko yenyewe kulinda image iliyoporomoka ya Serikali ya Trump kuhusu kupambana na Corona!!! kawekeza propaganda za bla bla kwa WHO na nchi zingine kuwa hazifanyi vizuri kama serikali yake kumbe muongo mkubwa!! Anatafuta tu political milage and Americans confidence!!!Watatue yakwao kwanza hawa jamaa wana kasumba mbaya sana
Tuliwashtukia wahuni haoMaisha yanaendelea, utoe takwini au usitoe. Mbona kuna wanaokufa kwa magonjwa mengine na takwimu hazitoki?
Hii corona ilikuwa inakingiwa kifua sana ili kuleta taharuki tu na kuna watu walijipanga kudhulumu nchi masikini kwa mtindo ule ule wa watumwa.
Dawa za asili zinawaponya wengi sio lazima kutegemea dawa kutoka kwa wazungu.