Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Swali kwetu, je wanahoja?
Wana hoja ya kumwita Yesu "Jamaa"? Wana hoja ya kumkebehi? Maybe,and maybe not.
Dini zao ni tofauti. I suspect yule anayeitwa "Jehovah" katika Biblia ndie Shetani mwenyewe. Mungu wa Sinai ni Satan. Ndiyo maana you have such a harsh religion.
 
Lakini Yeshua alimuabudu huyo unayemuita Shetani, yaani Yehova.
Hapo vipi sasa
 
Embu nawe Fikiria hapo. Kumbuka hata huyo Yesu naye NI Myahudi.
Nani alikwambia Yesu alikuwa Myahudi ? Uyahudi ni dini, Sasa vipi Yesu aje apingane na Mayahudi na wewe useme Yesu alikuwa Myahudi ?

Unajua maana ya Uyahudi na unamjua Myahudi ni nani ?

Mitume na manabii hawawezi kuwa Mayahudi sababu Uyahudi ni Ukafiri na ni Upotevu.
 
Nabii Mussa je?Haruni? Nabii Suleman? Nabii Jona, Nabii Yusuf, Nabii Elisha, Nabii Eliah, Nabii Ezekiel, Nabii Yakobo(Israel mwenyewe), Mfalme Daudi, mfalme Sauli, Nabii Issa, Mariam na wengine wengi tu.
hawa ni wayahudi ndani ya Quran.
I mean Quran inataja wana waisrael mara nyingi kuliko hata inavyotaja waislam.
Ni chizi tu atakayebisha influence ya uyahudi kwenye uislam.
Utaniambia Ibrahim ndio baba wa iman wa waislam lakini ukija uzao wa Ishmael hata haujulikani, ila uzao wa Isaka na yakobo unajulikana na umejaa kwenye Quran.
Hakuna Mtume hata mmoja alikuwa Myahudi. Hivi vitu huwa mnasoma wapi ?

Au hamuujui Uyahudi ni nini ? Karibuni kwanza kuisoma Uyhahudi muujue, mjue ulianzia wapi na misingi yake ni ipi ?!
 
Hakuna Mtume hata mmoja alikuwa Myahudi. Hivi vitu huwa mnasoma wapi ?

Au hamuujui Uyahudi ni nini ? Karibuni kwanza kuisoma Uyhahudi muujue, mjue ulianzia wapi na misingi yake ni ipi ?!
Basi mambo yasiwe mengi tuwaite waisrael...Banu israel
 
Mimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.

Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
muislam wa mchongo huna unachojua kuhusu dini wala yesu
 
hoja zao zote ni za kijinga sana.

a) kwamba hakushusha utawala wa Mungu,hapa walirenga nini wakati Yesu amekuja kama Mungu akakaa kwetu,tukauona utukufu wa Mungu??walitaka Mungu ashushe malaika wawe wanajaeshi ama??

b)hakutokana na ukoo wa daudi lakini mama yake ni wa ukoo huo mariam,hawa wavuta bangi walitaka azaliwe masihi kutokana na wao halafu ashushe utawala wa Mungu,bangi ni janga.

c) masihi lazima warudishe waisrael wote waliotawanyika,hapa wanajipa umuhimu zaidi ya mataifa mengine mbele za Mungu,hata hapo walipo wamerudishwa kibabe aliyewarudisha ndiye masihi wao???ni nani??

d) magonjwa na taabu-hapa sio paradiso ni duniani magonjwa na taabu ziko pale pale,na kama hawatampokea hata huko paradiso watapasikia kwenye simu.
biblia inasema mnaangamia kwa kukosa maarifa jamaa yupo right wayahudi hawamkubali yesu thts why hata population ya wakristo israel hazidi moja inaamaana wakristo katika israel ni asilimia moja tu
 
Bila kuweka sababu ulicho andika ni makamasi
Mimi makamasi mara moja wewe makamasi mara mara 100 kwakuwa umeshindwa kuelewa mtoa mada anazungumzia kitu gani hoja zinasema kwanini wayahudi hawamkubali yesu kama wewe ungekuwa na akili ungejibu hizo hoja lakini kwakuwa uelewa wako mdogo that's why umejibu makamasi kama wewe sio makamasi jibu hoja hapo juu
 
Nani alikwambia Yesu alikuwa Myahudi ? Uyahudi ni dini, Sasa vipi Yesu aje apingane na Mayahudi na wewe useme Yesu alikuwa Myahudi ?

Unajua maana ya Uyahudi na unamjua Myahudi ni nani ?

Mitume na manabii hawawezi kuwa Mayahudi sababu Uyahudi ni Ukafiri na ni Upotevu.

Ukiwa na Akili ndogo jitahidi uzifiche.

Uyahudi ni Dini
Uyahudi ni taifa/utaifa.

Kama hujui Historia hata ya Kidato cha nne ni Bora ufiche ujinga wako.

7 Mama mmoja Msamaria akaja kuteka maji na Yesu akamwambia, “Naomba maji ya kunywa.” 8 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula. 9 Yule mama akamjibu, “Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe nikupe maji ya kunywa?” -Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria.10 Yesu akamjibu, “Kama ungelifahamu Mungu anataka kukupa nini, na mimi ninayekuomba maji ya kunywa ni nani, ungeliniomba nikupe maji ya uzima
 
Kuchambua mpira tu shida ndio utayaweza mambo ya Yesu,kunywa pepsi ulale bwana Robert,mambo ya kiimani hayachunguziki
 
mimi makamasi mara moja wewe makamasi mara mara 100 kwakuwa umeshindwa kuelewa mtoa mada anazungumzia kitu gani hoja zinasema kwanini wayahudi hawamkubali yesu kama wewe ungekuwa na akili ungejibu hizo hoja lakini kwakuwa uelewa wako mdogo that's why umejibu makamasi kama wewe sio makamasi jibu hoja hapo juu

.......
 
Ukiwa na Akili ndogo jitahidi uzifiche.

Uyahudi ni Dini
Uyahudi ni taifa/utaifa.
Vizuri ngoja tuone kati yangu na wewe nani mwenye ndogo. Usije kukimbia hoja.

Uyahudi ni dini, hapa tuko sawa. Hakuna taifa lililo itwa Uyahudi. Taifa lipo lililo itwa "Israili". Kwa mara ya kwanza liliundwa na wale ndugu wawili, mmoja akiwa mtoto wa nabii Suleyman mwisho likaja kupotea.

Kisha baadae wakaja Waka Wazayuni kwa msaada wa Waingereza wakaunda Taifa hili liitwalo Israeli Leo hii.
Kama hujui Historia hata ya Kidato cha nne ni Bora ufiche ujinga wako.
Unaongelea Historia ya kidato Cha nne, historian ambayo haina "Chain" ulivyo anza kwa mbwembwe nikajua walau unaweza kunusa historian kumbe marejeo yako ni Historian ya kidato cha nne. Kijana hata balehe ya kwanza ya elimu huja balehe.
7 Mama mmoja Msamaria akaja kuteka maji na Yesu akamwambia, “Naomba maji ya kunywa.” 8 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula. 9 Yule mama akamjibu, “Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe nikupe maji ya kunywa?” -Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria.10 Yesu akamjibu, “Kama ungelifahamu Mungu anataka kukupa nini, na mimi ninayekuomba maji ya kunywa ni nani, ungeliniomba nikupe maji ya uzima

Safi kabisa, unaweza kunithibitishia ya kuwa hapa andiko lako limemaanisha dini au taifa ? Kama dini ushahidi uko wapi na kama taifa kadhalika ushahidi uko wapi ? Yaani andiko lako haliko wazi.
 
Mnataka wayahudi wamkubali myahudi mwenzao kama waarabu walivyomkubali mwarabu mwenzao au wahindi walivyoukubali uhindu?
 
Back
Top Bottom