Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Swali lako ni Sawa uulize hapa Tanzania wanaishi wabantu, watanganyika pekee.
Ndivyo ulivyouliza
Screenshot_20230121-105435.png
 
Niliandika kuhusu credibility ya king James bible verse na uyahudi ni dini si race,unataka nithibitishe kipi!?

Muanzilishi WA dini ya kiyahudi ni Nani?
Nitajie manabii watano WA dini ya kiyahudi?
Alafu nitajie Mungu wao anaitwa nani?
Ili twende Sawa.
Wewe si unataka kujiabisha hapa
 
Mimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.

Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
Umesema kweli mkuu..Yesu ni habari nyingine ...Hakuna wa kufanana nae.
 
Muanzilishi WA dini ya kiyahudi ni Nani?
Nitajie manabii watano WA dini ya kiyahudi?
Alafu nitajie Mungu wao anaitwa nani?
Ili twende Sawa.
Wewe si unataka kujiabisha hapa
Ukiacha Ibrahim,baba yao ambae alikua mwarabu wa Iraq,uyahudi unatokana na Musa
 
Nitajie manabii watano WA dini ya kiyahudi.
Mbona hujibu baadhi ya maswali
Kitabu Cha uyahudi linaitwa Torah,ambacho ni mkusanyiko wa vitabu vitano vya mwanzo,kumbukumbu la torati,levictus nk ambavyo vipo kwenye bible,kasome humo,nabii wao mmoja wapo ni Musa,japo wao wanamuhesabu na Ibrahim,daudi,suleiman
 
Ndio nakuambia kwako wewe, nitajie manabii wakubwa watano WA dini ya kiyahudi. Unaowajua
 
K
o nakuambia kwako wewe, nitajie manabii wakubwa watano WA dini ya kiyahudi. Unaowajuawa
Kwa nini wakubwa watano!?..
Ndio nakuambia kwako wewe, nitajie manabii wakubwa watano WA dini ya kiyahudi. Unaowajua
Kwa nini unalazimisha manabii wakubwa watano!?...wadogo huwataki!?..ukubwa wa nabii unaupimaje!?..nimekutajia Ibrahim,Musa,daudi,suleiman
 
K
o nakuambia kwako wewe, nitajie manabii wakubwa watano WA dini ya kiyahudi. Unaowajuawa
Kwa nini wakubwa watano!?..

Kwa nini unalazimisha manabii wakubwa watano!?...wadogo huwataki!?..ukubwa wa nabii unaupimaje!?..nimekutajia Ibrahim,Musa,daudi,suleiman

Wewe si ndio umeleta hoja kuwa uyahudi sio utaifa Ila ni udini.
Ndio nikakuambia nitajie manabii watano WA kiyahudi, naona umetaja wanne.

Nakukumbusha maswali yangu,
1. Nitajie manabii watano WA kiyahudi
2. Aliyeanzisha dini ya kiyahudi ni Nani?
3. Nitajie Mungu wa Wayahudi anaitwa Nani?

Ili nijue kweli wewe unajua uyahudi ni Dini.
Kama huwezi sema siwezi au sijui.
 
Huo ulikua utabiri wa mfalme Ahab akiambiwa na isaya, kwamba mke wake kigori atazaa mtoto wa kiume, na jina lake ataitwa, Emanuel. Baada ya sifa zote unaoitwa unabii wa isaya ukaweka timeline, kwamba haya yatatokea wakti utawala wa kikoloni wa babeli utakua umeanguka.

Huu unaoitwa unabii wa isaya, haukumuhusu yesu,, ila waandishi hasa mathayo ndo aliforce kuhusisha na suala la kuzaliwa kwa yesu,,
 
Wewe si ndio umeleta hoja kuwa uyahudi sio utaifa Ila ni udini.
Ndio nikakuambia nitajie manabii watano WA kiyahudi, naona umetaja wanne.

Nakukumbusha maswali yangu,
1. Nitajie manabii watano WA kiyahudi
2. Aliyeanzisha dini ya kiyahudi ni Nani?
3. Nitajie Mungu wa Wayahudi anaitwa Nani?

Ili nijue kweli wewe unajua uyahudi ni Dini.
Kama huwezi sema siwezi au sijui.
Dini ya kiyahudi imeanza miaka 3500 iliyopita,ikianza na Ibrahim,manabii watano kati ya 48 wa uyahudi ni Ibrahim,suleimani,daudi,Musa,harun,mungu wao ana majina mengi yehova,hosana nk
 
Dini ya kiyahudi imeanza miaka 3500 iliyopita,ikianza na Ibrahim,manabii watano kati ya 48 wa uyahudi ni Ibrahim,suleimani,daudi,Musa,harun,mungu wao ana majina mengi yehova,hosana nk

Vizuri
Nitajie manabii watano WA uislam?
Kisha nitajie Mungu wa waislam ni Nani?
Alafu aliyeasisi uislam ni Nani?
 
Huo ulikua utabiri wa mfalme Ahab akiambiwa na isaya, kwamba mke wake kigori atazaa mtoto wa kiume, na jina lake ataitwa, Emanuel,,
Baada ya sifa zote unaoitwa unabii wa isaya ukaweka timeline, kwamba haya yatatokea wakti utawala wa kikoloni wa babeli utakua umeanguka,,
Huu unaoitwa unabii wa isaya, haukumuhusu yesu,, ila waandishi hasa mathayo ndo aliforce kuhusisha na suala la kuzaliwa kwa yesu,,

😀😀😀

Mathayo kafosi kingi,
Na hapo ndipo anapowapa hoja hasa mayahudi
 
Vizuri
Nitajie manabii watano WA uislam?
Kisha nitajie Mungu wa waislam ni Nani?
Alafu aliyeasisi uislam ni Nani?
Manabii wa uislam kati ya wengi ni Adam, Ibrahim,lut,suleiman bin Dawood, Muhammad bin Abdullah,Mungu wa uislam ana majina mengi mojawapo ni Allah,muasisi wa uislam ni Allah/ar-rahmaan/Al mutakabbir/ar-razaqu nk
 
Wewe si ndio umeleta hoja kuwa uyahudi sio utaifa Ila ni udini.
Ndio nikakuambia nitajie manabii watano WA kiyahudi, naona umetaja wanne.

Nakukumbusha maswali yangu,
1. Nitajie manabii watano WA kiyahudi
2. Aliyeanzisha dini ya kiyahudi ni Nani?
3. Nitajie Mungu wa Wayahudi anaitwa Nani?

Ili nijue kweli wewe unajua uyahudi ni Dini.
Kama huwezi sema siwezi au sijui.
Mi niseme tu,, baada ya utawala wa babeli kuangushwa na iran,, mfalme wa iran , ambae ndiye masiha, maana aliwakomboa toka utumwani waisrael, alimruhusu Ezra arudi caanan,, ezra na kikundi kidogo walirudi,, mfalme wa iran, aliwapa pesa ili wakajenge upya hekalu la solomon. Kisha alitoa watu kwenda kusaidia kufundisha dini.

Lakini hasa dini ya kiyahudi iliibuka hasa kipindi cha utawala wa king Josia,, ezira alichofanya ni kuihuisha upya,
Kama sikosei, maana naongea from memory, Ila masihi wa kwanza aliyetajwa na biblia ni mfalme wa iran(persia), King Cyrus(koresh)
 
Manabii wa uislam kati ya wengi ni Adam, Ibrahim,lut,suleiman bin Dawood, Muhammad bin Abdullah,Mungu wa uislam ana majina mengi mojawapo ni Allah,muasisi wa uislam ni Allah/ar-rahmaan/Al mutakabbir/ar-razaqu nk

Mbona umechukua manabii WA mayahudi ukawaweka kwenye uislam?

Uislam mpaka leo unamiaka mingapi?
Maana kwenye uyahudi ulitaka miaka
 
Mi niseme tu,, baada ya utawala wa babeli kuangushwa na iran,, mfalme wa iran , ambae ndiye masiha, maana aliwakomboa toka utumwani waisrael, alimruhusu Ezra arudi caanan,, ezra na kikundi kidogo walirudi,, mfalme wa iran, aliwapa pesa ili wakajenge upya hekalu la solomon,
Kisha alitoa watu kwenda kusaidia kufundisha dini,,
Lakini hasa dini ya kiyahudi iliibuka hasa kipindi cha utawala wa king Josia,, ezira alichofanya ni kuihuisha upya,
Kama sikosei, maana naongea from memory,,
Ila masihi wa kwanza aliyetajwa na biblia ni mfalme wa iran(persia),King Cyrus(koresh)

Kwa hiyo Wayahudi wanahoja ya msingi kumkataa Yesu kama Masihi aliyetabiriwa
 
Mbona umechukua manabii WA mayahudi ukawaweka kwenye uislam?

Uislam mpaka leo unamiaka mingapi?
Maana kwenye uyahudi ulitaka miaka
Uislam ni dini tangu nabii Adam,binaadam wa kwanza,wayahudi wanachangia manabii na uislam japo baadhi ya manabii waliwaua,wanawakubali baadhi Kama Ibrahim, daud na kuwakataa baadhi Kama Isa bin Maryam na Muhammad bin Abdullah, sisi waislam tunatambua manabii wote
 
Back
Top Bottom