Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,155
- 20,332
Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia kimeshawadia kwa hiyo kinachosubiriwa ni Ujio wa Yesu Kristo Masihi.
Andiko hili litakuwa endelevu kadiri tutakavyokuwa tunajadiliana.
Nakaribisha Hoja mbali mbali kwa wadau hasa
Msingi wa Mafundisho yao huanzia ktk Kitabu cha Unabii wa Danieli ktk Unabii wa Siku 2300. Ambapo Danieli anajulishwa na Malaika kuwa hali ya mateso kutoka kwa Mtawala wa zamani wa Roma itaendelea kukanyaga mahali patakatifu hadi asubuhi na jioni 2300.
Hivyo siku moja katika unabii ni sawa na mwaka mmoja.
Swali ni je tunaanzia wapi kuhesbu mwanzo wa miaka hiyo?
Kitabi cha Danieli sura ya 9 kinaeleza ni tangu enzi za Kutangazwa kujengwa upya Yerusalem iliyobomolewa na Nebkadineza hadi kuja kwa Masihi hadi kukatiliwa Mbali hadi Kuketi kwake Pataktifu pa Patakatifu.
Hivyo mwanzo huo wanaanzia kuhesabu Tangu Mfalme Atashasta alipowapa Amri akina Nehemia, Ezra na Zerubabeli kuongoza msafara wa kurudi Israeli kujenga upya Yerusalem.
Tangu kujengwa kwa Yerusalemu hadi kuja kwa Masihi yatakuwa ni majuma sitini na tisa (69); yaani majuma saba (7) kujumulisha majuma sitini na mbili (62) tunapata majuma sitini na tisa (69); au 7 62 = 69.
Kwa hiyo ili tutambue majuma 70, au majuma 69, yailianza lini, ni lazima kwanza tutambue mji wa Yerusalemu ulijengwa lini, hapo ndipo tutapata mwanzo mzuri wa kuhesabu majuma 70, au majuma 69 kuendelea mbele mpaka kutimia unabii wote.
Ndugu msomaji nimejaribu kufupisha kuepuka maelezo marefu.
Danieli anaelezwa kipindi hicho cha ujio wa Masihi hadi kukatiliwa mbali kwake kutakuwa kipidi cha majuma 70. Na kwamba katika Juma la 69 Yesu atateswa na kuuwa na katika Juma la Mwisho la sabini Mfalme Mwenye Kunena kwa mafumbo( Rumi) atasimamisha Chukizo la Uharibifu na kutengua Sheria za Mungu.
So kuanzia tangazo la Mfalme Ataahasta Wa Uajemi mwaka 458KK hadi mwaka 1844 kuna fanya kuwa miaka 2300.