Wayahudi wapo sahihi Yesu Kristo hakutokana na Uzao wa Mfalme Daudi kupitia kwa Suleiman hivyo hana sifa za kuwa Masihi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Moderator naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko

Wadau hamjamboni nyote

Mada imezingatia ushahidi wa kimaandiko hivyo natarajia wachangiaji waje pia na ushahidi husika

Nàam kwa mujibu wa maandiko Masihi mtarajiwa anatakiwa atokane na uzao wa Mfalme Daudi kupitia mwanae Suleimani (Soma kitabu cha 2 Samuel 7 pamoja na kitabu cha 1 Chronicles 17:11-14, 22:9-10, and 28:4-6)

Hata kitabu cha Luka 3:31 kinathibitisha pia huyo Masihi aliyekuja duniani alitokana na uzao wa Nathan na siyo Suleimani hivyo kukosa sifa za msingi

Hivyo Kwa kuzungumza mafungu hayo Masihi halisi Bado hajaja duniani

Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko

Niwatakie Jumapili njema
 
Jumapili njema wakati unaleta uongo?
 
Nikufahamishe tu Wayahudi wanatumia matrilineal system hivyo undugu wa damu unafuata kwa mama na siyo baba. Na hii wanayo hata leo. Iko hivi

Myahudi mwanaume akizaa mtoto na mwanamke asiye myahudi mtoto hahesabiki kuwa myahudi. Ni lazima afanyiwe mila za kuwa Myahudi lakini Mwanamke Myahudi akizaa na Mwanaume asiye Myahudi automatic mtoto anakuwa Myahudi (mfano mwanamziki Drake mama yake ni Myahudi na yeye moja kwa moja amekuwa Myahudi).
Pia ndani ya makabila na koo zao Wayahudi wakizamtoto anafuata kabila na na ukoo wa mama kama walivyo Waluguru, Wamwera, Wamakonde hapa kwetu.

Sasa tuje kwa Yesu Kristu. Mama yake alikuwa wa ukoo wa kifalme na kikuhani na hivyo moja kwa moja mwanaye amekuwa wa ukoo wa kifalme kama ilivyoandikwa. Hauhitaji hata maandiko kujua hili. Hili linahusu mila na desturi za Kiyahudi.

Swali la johnthebaptist hapo juu limejikita kwenye hii hoja
 
Anayetoa uamuzi nani aje kama messiah ni Wayahudi au nani? Huyo aliyesema atatokea kwenye uzao wa Daudi ndio huyo aliyemleta Yesu kama messiah so issue yenye utata ni hipi hapa?
 
Back
Top Bottom