Majina yote mazuri ni yake Yesu Kristo, Messiah!

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,175
22,694
Salaam , Shalom!!

Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE.

Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja Jina lake kutuhadaa, Wanamshusha chini Yesu na kujikweza wao, tusikubali kudanganyika. Wanauza mchanga maji nk nk

Imethibitika, kumbe Majina yote mazuri, ni ya Yesu, ndiye Mungu anayestahili kupewa sifa ukuu na uweza wote.

Pata mashairi haya ya wimbo huu Ili kumsifu na kumtukuza Yesu.

Majinaaa yoteee mazuriiiiii
yoteee ni yake Jehovaaaaa*4

Nikupeee Jina Gani,
kwaaaani Jina lakooo ni upekee wakoooo*4

Umenipiganiaaaaa
Nakwitaaaa Jehovanisi,
Bendera ya ushindiii wanguuuu,
Jehova RAPHA-, mponyajiii wanguuu*4

Wewe ndiyeeee,
Mchungaji wanguuuuu,
Tena kiongoziii wa MAISHA yanguuu,
Wanitazamaa kama mboni,
Ya jicho lakoooo*4

Umenifanyaaa ,
Kuwaaa Kielelezooo,
Cha waliobarikiwaaa,
Zaidi ya yoteeeeeee,
Kuwa baraka Ili nami nibariki wengineee*4

Usifiweeee,
Ewe Bwanaaa,
Muumba wanguuuu
Na Nuru yanguuu,
WEMA wakooo wanijaza moyoniii*4

Nimekupataaaa,
Na nikaridhikaa ,
Kuwa wewe ndiye yote juu ya yotee*4

Usifiweeeee,
Ewe Bwanaaaa,
Muumba wanguuuuu,
Na Nuru yanguuuuuu,
WEMA wako wanijaza moyoniii*4

Source: Dieumercie Ft Naomi Mugiraneza- Majina yote mazuri.

Ungana nami kuyataja Majina yote Mazuri Yeye sifa na ukuu kumwinua na kumtukuza Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Mungu awabariki.

Amen

Amen.
 
Ambacho uelewe

(a) ukitenda mema utakuwa upande wa yesu

(b) ukitenda maovu utakuwa upande wa malaika shetani

Chagua kuishi kwa kuchagua A au B
 
Yesu ndiye mzuri kuliko wote,

Yesu ni mzuri furaha tele hujaa moyoni Kila niutazamapo UZURI wake Kila siku.

Yesu wewe ni mzuri wa wazuri wote.

Amen
 
Yesu ndiye Simba wa kabila la Yuda.

Mfalme wa Wafalme,

Emmanuel, Mungu pamoja na wanadamu.

Amen
 
Hiyo nyimbo naipenda sanaa!☺
Katika siku hizi za mwisho,

Wakati kuzimu ikileta nyimbo zao ziimbwe duniani,

Mungu naye anashusha nyimbo Toka Mbinguni ziimbwe duniani.

Ukifanikiwa kumuuliza mtunzi juu ya mazingira ya kuipata wimbo utakubaliana nami.

Ukiweza tupia video yake hapa tuwabariki na wengine.

Ubarikiwe.
 
Shairi zuri mkuu ila ungeweka wimbo watu waseeebuke
 
Attachments

  • Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza - Majina Yote Mazuri ni Yako.mp3
    8.9 MB
Salaam , Shalom!!

Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE.

Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja Jina lake kutuhadaa, Wanamshusha chini Yesu na kujikweza wao, tusikubali kudanganyika. Wanauza mchanga maji nk nk

Imethibitika, kumbe Majina yote mazuri, ni ya Yesu, ndiye Mungu anayestahili kupewa sifa ukuu na uweza wote.

Pata mashairi haya ya wimbo huu Ili kumsifu na kumtukuza Yesu.

Majinaaa yoteee mazuriiiiii
yoteee ni yake Jehovaaaaa*2

Nikupeee Jina Gani,
kwaaaani Jina lakooo ni upekee wakoooo*2

Umenipiganiaaaaa
Jehovanisi,
Bendera ya ushindiii wanguuuu,
Jehova RAPHA-, mponyaji wanguuu*2

Wewe ndiyeeee,
Mchungaji wanguuuuu,
Tena kiongoziii wa MAISHA yanguuu,
Wanitazamaa kama mboni,
Ya jicho lakoooo*3

Umenifanyaaa ,
Kuwaaa Kielelezooo,
Cha waliobarikiwaaa,
Zaidi ya yoteeeeeee,
Kuwa baraka Ili nami nibariki wengineee*3

Usifiweeee,
Ewe Bwanaaa,
Muumba wanguuuu
Na Nuru yanguuu,
WEMA wakooo wanijaza moyoniii*3

Nimekupataaaa,
Na nikaridhikaa ,
Kuwa wewe ndiye yote juu ya yotee*2

Usifiweeeee,
Ewe Bwanaaaa,
Muumba wanguuuuu,
Na Nuru yanguuuuuu,
WEMA wako wanijaza moyoniii*2

Source: Dieumercie Ft Naomi Mugiraneza.

Ungana nami kuyataja Majina yote Mazuri Yeye sifa na ukuu kumwinua na kumtukuza Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Mungu awabariki.

Amen

Amen.
Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg
 
Screenshot_20231110-005706.jpg
 
Yote tisa kumi ni kupenya kiuchumi!
 
Yote tisa kumi ni kupenya kiuchumi!
Kama hulipi ZAKA na sadaka hutoi, bahhiri, sahau kupenya kiuchumi.

Uchumi wa mtu, ulitengenezewa mfumo upitao katika sadaka na ZAKA.

Mungu anakubariki 10/10 unalipa 1/10 ,Mungu anaichukua 1/10 na kuiongeza iwe 10/10 na kukupa tena Ili ulipe 1/10. Na mfumo unaendelea hivyo.

Ukitaka pesa na utajiri kutopungukiwa, Lipa ZAKA.

Na ZAKA inalipwa Kwa wajane, watumishi wa Kweli, ukiwapa ZAKA matapeli kina Katapila wanakuroga, unapokea LAANA Badala ya baraka.

Nimemaliza.
 
Salaam , Shalom!!

Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE.

Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja Jina lake kutuhadaa, Wanamshusha chini Yesu na kujikweza wao, tusikubali kudanganyika. Wanauza mchanga maji nk nk

Imethibitika, kumbe Majina yote mazuri, ni ya Yesu, ndiye Mungu anayestahili kupewa sifa ukuu na uweza wote.

Pata mashairi haya ya wimbo huu Ili kumsifu na kumtukuza Yesu.

Majinaaa yoteee mazuriiiiii
yoteee ni yake Jehovaaaaa*2

Nikupeee Jina Gani,
kwaaaani Jina lakooo ni upekee wakoooo*2

Umenipiganiaaaaa
Jehovanisi,
Bendera ya ushindiii wanguuuu,
Jehova RAPHA-, mponyaji wanguuu*2

Wewe ndiyeeee,
Mchungaji wanguuuuu,
Tena kiongoziii wa MAISHA yanguuu,
Wanitazamaa kama mboni,
Ya jicho lakoooo*3

Umenifanyaaa ,
Kuwaaa Kielelezooo,
Cha waliobarikiwaaa,
Zaidi ya yoteeeeeee,
Kuwa baraka Ili nami nibariki wengineee*3

Usifiweeee,
Ewe Bwanaaa,
Muumba wanguuuu
Na Nuru yanguuu,
WEMA wakooo wanijaza moyoniii*3

Nimekupataaaa,
Na nikaridhikaa ,
Kuwa wewe ndiye yote juu ya yotee*2

Usifiweeeee,
Ewe Bwanaaaa,
Muumba wanguuuuu,
Na Nuru yanguuuuuu,
WEMA wako wanijaza moyoniii*2

Source: Dieumercie Ft Naomi Mugiraneza- Majina yote mazuri.

Ungana nami kuyataja Majina yote Mazuri Yeye sifa na ukuu kumwinua na kumtukuza Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Mungu awabariki.

Amen

Amen.
Yesu wewe ndiye Mfalme wa Wafalme,

BWANA wa majeshi,

Jemedari wa vita,

Mtakatifu, umetukuka sana,

Wa kufanana na wewe, hakuna.

Ninakupenda, Yesu Kristo, Mungu mkuu.

Amen
 
Yesu ndiye Neno la Mungu,

Ndiwe Pumzi ya uhai wangu,

Wewe ndiwe Alpha na Omega,

Mwanzo na mwisho,

Ninakupenda!

Amen
 
Salaam , Shalom!!

Wakati wengine wakiacha Majina waliopewa na wazazi wao na kujiita Samaki PAPA Ili tuwaogope, wengine wakijiita Bulldozer, wengine caterpillar, wengine wakijiita Sugunyo, kumbe ni Majina FAKE.

Wanapitia na magari ya matangazo wakisema njoo Kwa mungu wa Katapila bila kumtaja Jina lake kutuhadaa, Wanamshusha chini Yesu na kujikweza wao, tusikubali kudanganyika. Wanauza mchanga maji nk nk

Imethibitika, kumbe Majina yote mazuri, ni ya Yesu, ndiye Mungu anayestahili kupewa sifa ukuu na uweza wote.

Pata mashairi haya ya wimbo huu Ili kumsifu na kumtukuza Yesu.

Majinaaa yoteee mazuriiiiii
yoteee ni yake Jehovaaaaa*2

Nikupeee Jina Gani,
kwaaaani Jina lakooo ni upekee wakoooo*2

Umenipiganiaaaaa
Jehovanisi,
Bendera ya ushindiii wanguuuu,
Jehova RAPHA-, mponyaji wanguuu*2

Wewe ndiyeeee,
Mchungaji wanguuuuu,
Tena kiongoziii wa MAISHA yanguuu,
Wanitazamaa kama mboni,
Ya jicho lakoooo*3

Umenifanyaaa ,
Kuwaaa Kielelezooo,
Cha waliobarikiwaaa,
Zaidi ya yoteeeeeee,
Kuwa baraka Ili nami nibariki wengineee*3

Usifiweeee,
Ewe Bwanaaa,
Muumba wanguuuu
Na Nuru yanguuu,
WEMA wakooo wanijaza moyoniii*3

Nimekupataaaa,
Na nikaridhikaa ,
Kuwa wewe ndiye yote juu ya yotee*2

Usifiweeeee,
Ewe Bwanaaaa,
Muumba wanguuuuu,
Na Nuru yanguuuuuu,
WEMA wako wanijaza moyoniii*2

Source: Dieumercie Ft Naomi Mugiraneza- Majina yote mazuri.

Ungana nami kuyataja Majina yote Mazuri Yeye sifa na ukuu kumwinua na kumtukuza Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Mungu awabariki.

Amen

Amen.
Wewe ni iron dome yangu unanilinda

Mpambanaji wangu Kwa kuwa umenipigania

Mzazi wangu ,umenilea

Mlinzi wangu umenilinda na kifo na magonjwa

Daktari wangu umenitibu kabla ya kuugua

Mtetezi wangu umenitetea

Mnyunyizi wangu umeninyunyizia amani ya moyo

MAJINA MAZURI NI YAKO
Amen

USSR
 
Back
Top Bottom