Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Si wangeileta kama ni story ya uchochezi
mkuu chukueni hiyo habari muirushe nyie huko TBC.
Si wangeileta kama ni story ya uchochezi
AhahahNitakojoa nje ya geti la mjengo wa magogoni pale karibu na feri siku akifanya hivyo.
Kwa waliosikiliza ni kweli hayo maneno yametamkwa?Dakika chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda kuongea Star TV, Mkurugenzi wa Clouds nae akawa na kipindi japo alisema hataongelea lakini amesema kesi ya uvamizi wamefungua labda kama polisi na mkuu wa mkoa hawana mawasiliano kinyume na tuhuma za Makonda aliedai kama Clouds walivamiwa, kwanini hawajafungua kesi ama kuripoti polisi.
Ruge amedai kwenye interview ya Makonda Star TV, upande wa redio walisahau kuzima Mic wakati wanaenda kwenye matangazo, sauti ilisikika ikidai 'Ruge leo tunamkomesha'.
Nimesikia kwa masikio yangu mawililiKwa waliosikiliza ni kweli hayo maneno yametamkwa?
Hakuna kitu hapo.Ni kazi ya shetani tu,Nafikiri Ruge chakufanya aweke tu clip ya kilichotokea ndani siku ile ili atutoe katika huu mkanganyiko.
RC kaomba hiyo clip wananchi tupewe nafikiri tupewe tuwe na hukumu sahihi
Wekeni hio clip hapa
Walireport baada ya Sirro kuwauliza lakini bila kuulizwa wasinge fanya vile
Utata maelezo ya Makonda:Ruge kakosa cha kujibu naona anambwelambwela