Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Star Tv wameleta u-kanda na Usukuma.
Yule Doto Bulendu yuko wapi?hajui huyo kapigwa ban?
SIANGALII TENA STAR TV
 
Yaani kesho ata wanao mchukia mkuuwa mkoa wa DSM, Watake wasitake wata angalia star TV.

Yaani ata Shilawadu macho yao kesho star TV. Yaani kwaujumla hakuna chombo chochote apa mjini kitakacho angaliwa zaidi ya star TV. Kwahakika Makonda unatisha
 
Mimi nitaanza na kolowezi nikiona pumba,na mipasho nageukia mawingu kama kawa au kama kaoge akiwa mgeni rasmi.
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Kamuone tu hajakatazwa macho yakwako, TV yakwako ,maamuzi yakwako shida ni nini
 
ghafla bavicha wanaisupport clouds ilhali walikuwa wanaiita tv ya ccm
 
Ruge kama kapanic hiv kusikia Makonda kesho atakuwa live Star tv.
Hivi ilikuwa planned kuwa Ruge kesho atazungumza kupitia Clouds360 na PB maana kuna mfanyakazi mmoja wa CMG anasema "Boss kalazimisha kesho aongee ingawa hajaweka wazi atazungumza kuhusu nin"
Kwa jicho la 3 naona Ruge na baadhi ya watu humj wanamfuatilia Makonda kuliko kipindi kabla hajapigwa bani na TEF.
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Macho si yako?? . Kwani umekatazwa kumwangalia bashite mwenzako

Binafsi siwezi ku-pay attention kumwangalia division ZERO akiongea
 
Inaelekea watu wame mumiss sana RC Makonda kwenye media. Tutegemee mafuriko ya viewers StarTV kesho asubuhi. Bila shaka atatoa majibu ya zile tuhuma anazosingiziwa.
 
Yaani eti kabisa nipoteze muda kumwangalia bashite kabisa yaani zero ya kwenye makaratasi ndio itakayozungumzwa kwenye kipindi
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Sijakuelewa kabisa.
 
mbinu hii ya Ruge ni kama ile wanayofanyaga clouds kwenye matamasha ya muziki na wapinzani wao, msanii mmoja anafanya show leaders siku hiyo hiyo msanii mwingine anafanya show Dar live.
kesho bashite akijikoroga tu akamtaja Gwajima atakuwa amejichafua zaidi maana Gwajima hatakaa kimya, alafu kuna ugumu kwa Bashite kutomtaja Gwajima kwasababu kisasi chake kwa Gwajima ndio kilichomfikisha hapo.
 
yani hii technic ya ruge huwaga ni mbovu sana, anyway mi hata huo muda na TV Sitakua nao
 
mbinu hii ya Ruge ni kama ile wanayofanyaga clouds kwenye matamasha ya muziki na wapinzani wao, msanii mmoja anafanya show leaders siku hiyo hiyo msanii mwingine anafanya show Dar live.
kesho bashite akijikoroga tu akamtaja Gwajima atakuwa amejichafua zaidi maana Gwajima hatakaa kimya, alafu kuna ugumu kwa Bashite kutomtaja Gwajima kwasababu kisasi chake kwa Gwajima ndio kilichomfikisha hapo.
Weeeee,unadhani anapenda kuliamsha tena "dude"........kaa mbali na "dude" wewe,kwanza asaivi "dude" liko GLOBAL.....mambo Sauz Africa.
 
siipendi clouds ila siwezi kuangalia dialo tv.
 
YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.

Mbona Makonda yeye he is good at doing that kwani yeye akifanyiwa kuna ubaya gani hebu tupisheni!! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom