Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Angetolea ufafanuzi wapi wakati vyombo vya kufafanulia vilikua vimempiga ban!??

Kwanini alitokea mlango wa uwani tume ilipomfuata?

mmerudi mnataka kumsafisha Daudi, aandaeni madodoki ya kutosha.
 
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...

Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode

My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.

RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?
Katoa vyeti?
 
Ila nahisi Kama kuna jambo flani kubwa linataka kutokea au limetokea sasa akili za watu zinahamishiwa ktk sakata la makonda ili hilo jambo watz wasilifuatilie maana Gwajima hatakaa kimya,ruge hatakaa kimya,Mengi hatakaa kimya,kwan wote hao Leo makonda kawataja,sasa wakat hawa watu wakijibu alioongea makonda hatutakumbuka jingine lolote!
 
Yeye ndo amefanya sisi tukabaki na upande mmoja, kwann hakutoka mapema au ndo hapangiwi, sasa amejipanga! anyway hizi ni series tu hop mengi bado atujayaona! tutaendelea kushikiwa akil zetu coz tumekubal wenyew! U'll say im politician, bt Y bashte alikataa wito au angefanya press yake akasema ukwel. so unluck to b in t.z
Ndio maana nimesema mkuu huyu kijana mwenzetu anavijitabia vya dharau
 
Akupe CCTV yote wewe ni nani?! Moja ya maazimio ya Jukwaa la Wahariri ilikuwa ni kuwaambia polisi wachunguze kiundani tukio lile!! Sasa kwanini usiwaulize hao polisi ikiwa walichunguza au hapana?!
Sungura amchunguze Fisi?
 
Kwanini alitokea mlango wa uwani tume ilipomfuata?

mmerudi mnataka kumsafisha Daudi, aandaeni madodoki ya kutosha.
Tuwe tuna sikiliza kwamakini tuache kusikiliza kwa mihemko. Makobda alisema alikuwa kwenye mkutano na waziri wa tamisemi. Je ulitaka amsikilize afisa wake aliekwenda bila taarifa au Waziri wake??
 
Si uwa anaenda tu pale kula maharage?? Alafu akina soudy hawana mageto wanashinda kwake usiku kutafuta habari
 
Hivi hata mnaomtetea huyu kiumbe kumbe na nyie weupe namna hii vichwani
 
Ila nahisi Kama kuna jambo flani kubwa linataka kutokea au limetokea sasa akili za watu zinahamishiwa ktk sakata la makonda ili hilo jambo watz wasilifuatilie maana Gwajima hatakaa kimya,ruge hatakaa kimya,Mengi hatakaa kimya,kwan wote hao Leo makonda kawataja,sasa wakat hawa watu wakijibu alioongea makonda hatutakumbuka jingine lolote!
Samahani kama nitakua nimekukwaza.
Unahisi kuna msiba wanataka tusiulizie rambirambi au?. Maana mi naogopa hawa watu kama ukimwi.
 
Naungana na RC kuuliza.Kabla ya RC kufungiwa na media ni lini ITV walirusha habari zake?
 
Kiongozi mwenye kuficha maovu!! Hahahaa nayajua mengi ika siwezi kuyasema. Hapi ndipo utakapojua makonda yuko kwenye hali gani. Anajua alivyomchafu,pangekuwa na machafu ndiyo ingekuwa muda wake kuwahenyesha kwa hayo machafu yao
 
Hongera sana Paul. Ni kweli vita ya madawa imekutengenezea maadui hata marafiki wamekugeuka. Mungu mpendwa ndiyo mlinzi mkuu endelea kumuweka nguzo ya ulinzi wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom