Sidhani kama kuna mahala nimesema Ruvuma coal inamilikiwa na RA..
Tunachozungumzia hapa ni Tancoal, Ruvuma coal imetajwa kama largest coal producer kwa sasa, tena ni zaidi ya miaka mitatu sasa, RA -Taifa mining hawana hata 2yrs toka wameuchukua huo mgodi.
Mzarishaji mkubwa kwa sasa wa makaa ya mawe Tanzania ni Ruvuma Coal.
No of pits haiwezi kuwa ndio factors ya largest production, unapozungumzia production unazungumzia vitu vingi.
Na sijui hizo ulizosema no of pits kama unaelew a Ina maana gani kwenye coal mine za pale Songea?.
Huo mgodi wa Tancoal ulikuwa umesimamisha uzarishaji siku nyingi sana na toka umeanza sidhani kama hata una miaka miwili.
Ukiwa umesimama uzarishaji ni Ruvuma coal aliyekuwa ana mine, Jitegemee na jamaa wa Milicoal..
Siongelei nadharia nazungumzia jambo ninalolijua kwa 100% kama mdau na sio mkazi wa Dar es salaam anayesikia hadithi tu.
Siko hapa kumtetea mtu, najaribu kuweka sawa taarifa ambazo haziko sahihi, kama wewe unavyotuambia mzarishaji mkubwa wa makaa kwa sasa ni Tancoal ilihali uhalisia sio hivyo yaani sio kweli, Kwa hiyo ukidanganya kama hivi tukukubalie na kukupigia makofi na kukuita shujaa.
Safarini Hodeidah Yemen