Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Wanasiasa wengi wa Tanzania hawajui mambo mengi kwenye uhalisia zaidi ya maneno ya juu juu ambayo mwisho wa siku yanaleta taharuki kubwa kwenye jamii na mifarakano.

mmiliki wa Ruvuma Coal sio RA na RA hana uhusiano wowote na Ruvuma Coal.
Ruvuma Coal ndio large producer wa coal Kwa sasa, hata hayo malori yanayokwenda Mtwara port 70% ni Ruvuma Coal.

Soko la Makaa ya mawe duniani ni unpredictable maana Dunia inakwenda kwenye green energy na coal huwa inapollute mazingira, ndio investment zake huwa ni kitendawili maana hata Bei Iko chini vs cost/tone production.
Nje ya Europe ambako ndio Kuna bei nzuri na ambao pia wanatoka kwenye matumizi ya coal, wanunuzi wengine ni China, India, Pakistan nk ambako bei ni changamoto sana lakini na wenyewe wanatoka huko.

Coal kwasasa sio sustainable business unless una order tayari mkononi ya volume ya kutosha kama ambavyo Ruvuma Coal alivyo kwa sasa..

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Unaongea kitu unachokifahamu.Big up sana.Huyo mwingine naona anaongea pumba tu hana point yoyote.
 
Mimi nilimuelewa tangu kipindi kile na tangu nilipo jua kuwa lissu yupo ktk payroll ya Jk niliacha masuala ya kuwaamini wanasiasa
Chadema ya mbowe ilikuwa chadema tofauti na ya Lisu, kumbuka mbowe alikuwa akiendesha chama kidikteta yeye ndiyo mhasibu pesa zote yeye ndiyo anasaini katibu mkuu alikuwa katibu picha hana mamlaka juu ya pesa, hata alipoanguka kwenye uchaguzi akaiba pesa zote Uongozi mpya wakaanza Upya na sasa wao wana mpangilio yupo mhasibu na mfumo mzuri wa fedha ikiwemo watia sahihi zaidi ya mmoja kila kitu kinakuwa wazi, Mbowe sasa ni Dalali wa Siasa anauza watu toka chadema kwenda ccm na huko wanasokomezwa Chauma ubwabwa kwa gharama za ibilisi wa ccm, endelea kumwamini Mbowe atakupa shavu maana sasa yupo na Rostam Aziz anakula njama Lisu apotezwe ili arejee kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia haramu za kishetani Kama Lipumba wa CUF
 
Huwa hakuna kisicho na mwisho wake mabaya pia yana mwisho wake, wizi nao una mwisho wake na mwisho wa mabaya huwa ni Aibu kubwa
 
Mbona una kurupuka soma vizuri hoja yangu na uielewe

Binafsi Nina maturity ya masuala ya kisiasa sishabikii mambo kimihemko

Hapo kuanzia huyo mbowe lissu zitto lipumba and the likes wote ni wapiga deal na wapo hapo kwaajili ya maslahi Yao na Wahisani wao

So CCM na Hao watu wote ni wale wale tu ni wapigaji so wanajuana vyema tu
 
With ChatGPT life seems easy.

Mimi kwa kukusoma najua una uelewa wa biashara in generał.

Ndio maana nimekupa ushindi.

Sasa usilazimishe debate ambayo, una uelewa logical thinking zake.

Deep down you know the truth, uwezo wako ni mambo ya kutoka kichwani kwako na akili mnemba.

It’s obvious.
Nimefuatilia mazungumzo yenu ila ninachoona unang'ang'qnia tu kusema jamaa anatumia chat GPT ila wewe hutoi facts zozote za kupinga anachokisema.

Jamaa kwa kiasi kikubwa anachokiongea kina ukweli.

Asilimia kubwa ya makaa ya mawe ya Tanzania ni kweli moisture content yake ipo juu na carbon content yake ipo chini hiyo huathiri kiwango cha nishati inayoweza kuzalishwa na makaa husika.

Mfano wa makaa ya mawe ya Songwe Kiwira soko lake ni dogo ukilinganisha na hayo yanayozalishwa Ruvuma na hata bei yake kwa Tani($60/Tonne hiyo ilikuwa mwaka 2024 mwanzoni)ipo chini pale mgodini na ndo maana yanachimbwa kwa uchache ingawa reserves yake pale ni kubwa.

Makaa ya mawe ya Mchuchuma na Liganga yana low moisture na high carbon content kubwa zaidi na ndo maana serikali ilikuwa inaharakishwa ianze kuyachimba mapema kabla ya uhitaji wake kushuka kabisa maana mpaka mwaka 2030 Dunia kwa kiasi kikubwa itakuwa haitumii makaa ya mawe kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira.

Biashara kubwa ya makaa ya mawe ipo kwenye usafirishaji maana kwa umbali yanapopelekwa gharama ya usafirishaji ni kubwa kuliko gharama ya mzigo wenyewe.

Migodi inanufaika pale inapokuwa na order kubwa ila bei yake kwa Tani ipo chini sana.

Miaka ya nyuma nilikuwa transport manager na tulipata tenda ya kusafirisha hiyo kitu na nikapata nafasi ya kwenda mpaka mgodini kujionea mwenyewe,nikaongea na baadhi ya wafanyakazi wa mgodi pale Songwe-Kiwira lakini nikaenda mpaka STAMICO wakanipa elimu ya kutosha sana kuhusu makaa ya mawe na biashara yake kwa ujumla.

Viwanda vya cement,nondo/chuma plastic ndo wateja wakubwa wa makaa ya mawe kwa soko la hapa Afrika Mashariki.

So jamaa anaongea point kabisa ila wewe umekazana kwamba anatumia akili mnemba.

Acha kujifanya unajua wakati hujui kitu.
 
Acha kukufanya unajua wakati hujui kitu.
Your conclusion ni kwamba biashara ya makaa ya mawe ipo kwenye usafirishaji.

Sasa soma post yangu #29 na mimi nimesema kitu hiko-hiko biashara kwa sasa ipo kwenye usafirishaji.

Japo logics zako na zangu leading to that conclusions ni tofauti.

Wewe ni kwa kuandika ujinga, mimi kwa kwa kutumia business logic.

Kwanini nikasema anatumia ChatGpt ni kama wewe, hakuwa na business logic leading to his summation.

What do you think watu wanaosoma business studies au MBA, kwenye module ya strategic planning wanafundishwa nini?

Wewe una huo uelewa kwa elimu ya shule au kusoma kitabu kujifunza.

Ndio maana uoni tatizo la ujinga ulioandika kama huyo mwenzako.

You can tell nonsense kama umeenda darasani based on logic ya maandishi.

Si accuse watu bure bure tu, it’s usually obvious akili ya elimu ilipo na ChatGPt ilipo.
 
Una blah blah nyingi sana pamoja na kiingereza kingiiii.
Njo kwenye field huku ujionee achana na hizo nadharia zako za darasani.
 
Enzi za Magufuli hata Yusuph Manji aliwekwa ndani ila bwana Rostam ndo kwanza rais akaenda kuzindua kiwanda chake Morogoro, Rostam nguvu anapata wapi ndo tuanzie hapo kwanza!!
 
Una blah blah nyingi sana pamoja na kiingereza kingiiii.
Njo kwenye field huku ujionee achana na hizo nadharia zako za darasani.
Nadharia ndio dira yenyewe.

Uhalisia natakiwa kuachana na JF, it doesn’t define my happiness.

It’s an addiction which doesn’t add value to me.

Siwezi kuja field yoyote, uoga wangu ni afya tu; na naamini Dorothy Gwajima if the government chose to support her. She might able to change things.

I dread the day nahitaji msaada wa huduma ya afya, nakufa kizembe kisa serikali imeshindwa kusimamia huduma za afya tu.

Kifo ambacho kinaepukika kwa waziri sahihi mwenye uwezo na uelewa wa kusimamia maadili ya utoaji huduma.

Haya mengine porojo tu za siasa.
 
Enzi za Magufuli hata Yusuph Manji aliwekwa ndani ila bwana Rostam ndo kwanza rais akaenda kuzindua kiwanda chake Morogoro, Rostam nguvu anapata wapi ndo tuanzie hapo kwanza!!
ipo hivi:

Baada ya Rostam kucholopoka kukamatwa kuunganishwa na Akina Yusuf manji na wezi wenzao yeye Rostam alikimbilia Nchini iran kupitia njia za panya akajificha huko maana magufuli alikuwa na uchu wa kumkamata kwa hali zote, kilichofanyika ni yeye Rostam kuwa na mitandao CIA akawatuma kumtishia Magufuli kuwa watakuja chini ya maji na submarine kumfanyizia ndipo Magufuli akahamia Dodoma haraka sana na akiwa Dodoma vitisho vya kutuma Drone navyo vikaendelea kwa wingi ikabidi kusaka Suluhu ndipo Genge lake wanatengeneza mazingira arejee Tanzania wafanye maridhiano.

Magufuli akakubali akidhani Rostam ni swala tano atakuja kiroho safi akamwamini pasipo tahadhari mpaka kumwalika kufungua mradi wa Taifa Gas ikiwa ni njia ya kumweka karibu Magufuli ndipo akaenda kumteketeza Morogoro kwa kumwekea Sumu ya maabara ambazo huwekwa kwenye tishu, vitabu, vitasa, magazeti au kupakwa kwenye viti nk.

Ni sumu ilitumika na CIA kumuua Hugo Chavez kule America kusini, kwa kifupi Rostam Aziz hachomoki kwenye tuhuma juu ya kifo cha magufuli
 
ikumbukwe kuwa polepole awali hakuwa akimuongelea Rostam Aziz, yeye alikuwa kajikita kukosoa mchakato wa uteuzi jins la mgombea Urais kwa tiketi ya ccm, ndipo Rostam Aziz kwa kihere here chake akadandia ligi kwa mbele akizani polepole hana File zake kumbe anamjua vizuri kuliko anavyojijua mwenyewe, sasa Rostam anajuuta kumchokonoa Polepole maana kamvua nguo zote kila mmoja anajua kuwa Rostam ni mwizi wa Rasilimali za Nchi na ndiye alimuua magufuli
 
yake kwa Tani($60/Tonne hiyo ilikuwa mwaka 2024 mwanzoni)ipo chini pale mgodini na ndo
Yale Yale ya makinia haya kitu ...! Lakini, yanabebwa kwa gharama kubwa kwenda Nje! Au lengo ni kuharibu barabara ili zitabgazwe tenda nyingine za kupiga mkwanja?
 
Wivu upi? Bilionea mwizi jipya kama huna ni huo wizi ulioubariki, kuja na mifano ya kijuha ni wazo jipya ingawa wewe ni chawa Rostam Mwambie kuwa mapya ni mengi ikiwemo wizi wake kwenye mgodi wa Alumas shinyanga na miradi mingi ya magumashi ikiwemo kuweka ndugu zake waarabu wasio na ujuzi kwenye vitengo vya kitaalam matokeo yake baadhi ya kampuni kupata hasara kama hiyo kampuni yake ya Ndege inayoitwa coastal , kwa kifupi Rostam ni mwizi kama wezi wengine na mapya yapo mengi yanakuja utamtetea mpaka uwehuke na bado hutaweza kumsafisha
Wivu tu, kwani unafamu alipataje hisa za Mwadui? Alikwapua?. Hata hoja huna, umaskini tu unakutesa. Sasa umeanza ku attack ndugu zake wanaoajiriwa kwenye kampuni zake. Ulitaka uajiriwe wewe kwenye nafasi hizo?
 
ikumbukwe kuwa polepole awali hakuwa akimuongelea Rostam Aziz, yeye alikuwa kajikita kukosoa mchakato wa uteuzi jins la mgombea Urais kwa tiketi ya ccm, ndipo Rostam Aziz kwa kihere here chake akadandia ligi kwa mbele akizani polepole hana File zake kumbe anamjua vizuri kuliko anavyojijua mwenyewe, sasa Rostam anajuuta kumchokonoa Polepole maana kamvua nguo zote kila mmoja anajua kuwa Rostam ni mwizi wa Rasilimali za Nchi na ndiye alimuua magufuli
Magufuli alikufufa kwa magonjwa mtambuka na kiburi chake dhidi ya kuvaa mask kujikinga na COVID-19
 
ipo hivi baada ya Rostam kucholopoka kukamatwa kuunganishwa na Akina Yusuf manji na wezi wenzao yeye Rostam alikimbilia Nchini iran kupitia njia za panya akajificha huko maana magufuli alikuwa na uchu wa kumkamata kwa hali zote, kilichofanyika ni yeye Rostam kuwa na mitandao CIA akawatuma kumtishia Magufuli kuwa watakuja chini ya maji na submarine kumfanyizia ndipo magufuli akahamia Dodoma haraka sana na akiwa Dodoma vitisho vya kutuma Drone navyo vikaendelea kwa wingi ikabidi kusaka Suluhu ndipo Genge lake wanatengeneza mazingira arejee Tanzania wafanye maridhiano, magufuli akakubali akizani Rostam ni swala tano atakuja kiroho safi akamwamini pasipo tahadhari mpaka kumwalika kufungua mradi wa Taifa Gas ikiwa ni njia ya kumweka karibu magufuli ndipo akaenda kumteketeza morogoro kwa kumwekea Sumu ya maabala ambazo huwekwa kwenye tishu vitabu vitasa magazeti au kupakwa kwenye viti nk ni sumu ilitumika na CIA kumuua Hugo chaverz kule America kusini, kwa kifupi Rostam Aziz hachomoki kwenye tuhuma juu ya kifo cha magufuli
Umesimulia kana kwamba una Full information za taarifa za kifo Cha Marehem John Pombe emb tuambie ni simu Gani iyo iliyo tumika kumuua!?
 
Enzi za Magufuli hata Yusuph Manji aliwekwa ndani ila bwana Rostam ndo kwanza rais akaenda kuzindua kiwanda chake Morogoro, Rostam nguvu anapata wapi ndo tuanzie hapo kwanza!!
nguvu zake anazipatia kuzimu. mwisho wake hauko mbali. Nguvu za shetani ni za muda tu. Baadaye ni aibu ya milele
 
Back
Top Bottom