Twende kazi.Thanx
Huku mtaani watu hawajui kinachoendelea kuhusu HP
Na wachache wanaojua wanaogopa kuongelea.
Hasira zote tunamalizia kwenye keyboard, kesho tunaibiwa tena kama kawa.
Leo Livestream yake inafikia watu zaidi ya laki mbili... Hao wote hawakai mitaani? Kwako wewe mtaani ni wapi?Huku mtaani watu hawajui kinachoendelea kuhusu HP
Na wachache wanaojua wanaogopa kuongelea.
Hasira zote tunamalizia kwenye keyboard, kesho tunaibiwa tena kama kawa.
Kwa kweli tunasikitisha sana as a nation, yaani mtu mmoja tu anasuka mipango ya kuua wenzake na anaangaliwa tu kwa kuwa yuko juu ya sheria? This is beyond stupidity kwa kweli, polisi wapo na jeshi lipo wanamchekelea tu?Rostam Aziz Yupo juu ya Sheria hakuna wa kumzuia chochote kwa Tanzania
Wewe, kijijini Kyimbira huko Mwankenja tangu lini ikawa USA?Hapa USA ndio mchana tutakusubiri na wala hatusinzii
Mmoja wa mainjinia wa mapinduzi ya ki-Nasema siku zote, adui mkubwa wa hili taifa letu ni CCM kwani tuna jeshi na polisi pamoja na usalama wa taifa walio chini ya CCM (wamenunuliwa), hivi vyombo vinawezaje kumwachilia mtu kama Rostam akiendesha nchi kinyemela na kuua watu asiowataka yeye? Huyu jamaa akamatwe kwa kweli na asichekelewe, lazima ashikishwe adabu kama si yeye basi familia yake ili naye apate kuonja joto la jiwe. #Rostam lazima ashikishwe adabu, haraka sana.
Haya Usalama wa taifa, mbinu ya kudeal na Rostam Aziz, Kikwete na Mze Makamba hii hapa. Tumshukuru UmkhontoweSizwe kwa mchango wake huu👆👆Mmoja wa mainjinia wa mapinduzi ya ki-
nazi ya 2014 huko Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Muuaji alijifanya kama deliverer wa chakula, jamaa akamgonga shaba 8 na kutokomea zake.
Wivu upi? Bilionea mwizi jipya kama huna ni huo wizi ulioubariki, kuja na mifano ya kijuha ni wazo jipya ingawa wewe ni chawa Rostam Mwambie kuwa mapya ni mengi ikiwemo wizi wake kwenye mgodi wa Alumas shinyanga na miradi mingi ya magumashi ikiwemo kuweka ndugu zake waarabu wasio na ujuzi kwenye vitengo vya kitaalam matokeo yake baadhi ya kampuni kupata hasara kama hiyo kampuni yake ya Ndege inayoitwa coastal , kwa kifupi Rostam ni mwizi kama wezi wengine na mapya yapo mengi yanakuja utamtetea mpaka uwehuke na bado hutaweza kumsafishaHakuna ambacho hatujawahi kukisikia kuanzia biashara ya makaa ya mawe, Rostam Aziz, Petra Diamond, Symbion Power nk.
Hakuna nchi isiyo na billionaires, na hawa ndiyo wanakuza uchumi na ajira. Tuache wivu tufanye kazi.
Whether kanunua mgodi kwa bei rahisi tusubiri CAG atasemaje. Ila makaa ya mawe hayawezi kubakia Namtumbo kama udongo lazima yachimbwe na yakatumike. Ule siyo udongo kusema utalima mahindi
Polisiccm pia kawaweka mfukoni ndiyo maana Lisu alipogusia mgodi wake hapo hapo Polisiccm wakamkamata na kubambikiwa kesi ya Uongo hadi sasa yupo jela kwa Amri za Rostam Aziz ambaye pia ni rafiki wa mbowe anayetaka Lisu afie jela arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUFJina la Rost tamu ni Moja kati ya majina maarufu hapa Tanzania kutokana na kuwa. Mfanyabiashara Mkubwa, lakini pia Mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi CCM.
Rost tamu ambaye habari zake nyingi hazijulikani wazi kutokana na mambo yake mengi kuwa ni ya kificho, lakini baadhi ya mambo yamekuwa siyo siri tena kutokana na athari zake kwa jamii na Taifa kwa ujumla.
Tuliambiwa kuwa yeye ndiye aliye mwezesha Jakaya Kikwete kuingia Ikulu mwaka 2025 kwa kufadhili kundi la mtandao.
Tukaambiwa kuwa alihusika kwenye kashfa ya Mabilioni, Dowans na Richmond.
Tukaambiwa masuala ya Makaa ya mawe, Almasi kule Mwadui na mengine mengi tu.
Kwenye utawala wa awamu ya Tano, Rost tamu alichoropokea nchi jirani kutokana na mwendazake kutokubali mfumo alioukuta katika CCM na Serikali ambapo kwa kiwango kikubwa uliwaathiri Wafanyabiashara wengi waliokuwa wamesimika makucha yao humo.
Lakini miezi.michache kabla ya kifo cha Mwenda zake, Rost tamu alikuwa amefauru kujipenyeza na kuwa karibu yake.
Huyu mtu anayeonekana kuwepo kila mahali, ni nani hasa?
Huyu mtu anayeweza kupiga simu mara moja juu kutoa amri au maelekezo na yakatekelezwa, ni nani?
Kwa bahati mbaya, Rost tamu anatajwa kwa mambo mabaya tu Tena yanayohusu raslimali za watanzania.
Tunaambiwa mpaka TISS ana watu humo. Kama anaweza kutoa maelekezo kwa Mkuru na yakatekelezwa, bila shaka hata huku nako anaweza kufanya hivyo. Huyu ni nani hasa?
Tuna Jeshi letu pendwa, JWTZ. Hawa pia hawayasikii haya? Hawayajui? Au hayawahusu? Au namo keshajipenyeza??
Huyu Rost tamu ni nani hasa? Hata kama kajipenyeza kote, wamekosekana wazalendo kweli wa kufuatilia ili kujua nguvu, ushawishi alio nao huyu jamaa kwa viongozi wetu unatokana nani?
Au ndio hivyo tunaliwa na wale ambao mwendazake aliwaita "mabeberu", kupitia mgongo wa akina Rost tamu?
Inasikitisha!
ili uteke uwe muuaji? au uwe inawabambikia kesi za uongo chadema?Rostam nataka nimtafute tuyajenge anipe mbinu za kuishika serikali
Mimi nilimuelewa tangu kipindi kile na tangu nilipo jua kuwa lissu yupo ktk payroll ya Jk niliacha masuala ya kuwaamini wanasiasaNimetoka kurudia uzi wa yoga wote ili niweze kuunganisha dot vizuri kuna mambo sasa naona yana make sense,
Huko watu kama Angela kiziga na Rostam Aziz hawana Nafasi ya kuishi ndiyo maana hata wao wanapenda kuishi Tanzania kwenye nafasi ya kuiba na kuweka vyombo vyote mifukoni vikakulinda na kuendelea kiviamrisha kuwafanya chochote wale wanaokosoa wizi wako, mpaka kuja kufika 2030 Rostam atakuwa kanunua migodi yote Nchini na pia kununua hata kisiwa cha mafia kutengeneza Nchi yake binafsi ya kuzeekea kufia hapo maana kwa ccm ya sasa hakuna kisichowezekanaMmoja wa mainjinia wa mapinduzi ya ki-
nazi ya 2014 huko Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Muuaji alijifanya kama deliverer wa chakula, jamaa akamgonga shaba 8 na kutokomea zake.
😂😂Huu ushafika mwezi wa 9 zile raamli chonganishi zimeshapita trh 28 hii hapa Wakatoriki washafunga NOVENA kumekisensi na wao wanaenda kuzindua pale kwenye kilinge chao chenye majini wengi Kawe kwa hio kumaanisha kwamba Mungu wa Catholic km anaweza apambanee na Majini
😁😁😁Wabongo tutakavyojazana kwenye uzi ufafikiri tuna kitu cha kuwafanya hao mafisadi.