Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

Mkuu mengi sana yanafanyika, tembea mkoa mzima wa Pwani uone viwanda vinavyojengwa kila kukicha.

Hiyo SGR inakwenda kufungua mamilioni ya fursa katika mikoa yote inamopita kuanzia hapo Dar mpaka kule kanda ya ziwa.

Kushughulikiwa mafisadi kupo pia, wanafungwa wengi tu wanaojichanganya katika kuiba mali za umma. Marehemu Basil Mramba na Daniel Yona walifungwa jela baada ya ushahidi kupatikana. Mhindi mmoja aliyekuwa anachora mchoro wa wizi na wataalam wa sekta ya pesa alifungwa wakati wa JPM.

Uwezo wao kipesa unawatoa vifungoni hili tatizo la dunia nzima. Mwenye pesa anafanya analotaka, hata Donald Trump wanasema ule ushindi ulitengenezwa sio kwamba anapendwa sana na wamarekani, wenye pesa wanataka ya kwao yanyooke wakampiga chini mwanamama.
Iyo sgr ingelipa zaidi kama ingeelekea mbeya sehemu ambapo kuna boda kubwa moja kwa moja ingeleta chachu ya maendeleo angalia kule mbeya kuna nchi ngapi zimepakan na tz?
 
Uliyowataja wote walikuwa scapegoats.

Wanaopaswa kupewa kesi za economic sabotage bado wanatembea tembea tu hapa mjini.
 
Iyo sgr ingelipa zaidi kama ingeelekea mbeya sehemu ambapo kuna boda kubwa moja kwa moja ingeleta chachu ya maendeleo angalia kule mbeya kuna nchi ngapi zimepakan na tz?
Kuna reli nyingine itajengwa kutokea Tabora kushuka huko nyanda za juu kusini, itaunganishwa na SGR. Nadhani ujenzi utaanza ndani ya miaka hii mitano inayofuatia.
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye anayedhaniwa kuwa mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Anatoa kickback ya kutosha kwa wa wasimamizi wa bwawa la rasirimali za nchi bila kuwadhulumu ndio maana anachokitaka kisera, kisheria, kiuongozi wanamhusudu na kumthamini kuliko mpiga kura hohehahe
 
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.

Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .

Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.

Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye anayedhaniwa kuwa mfadhili wa Royal Tour.

Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%

Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo

Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,

Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.

Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!

Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Mimi mpaka unipe muendelelezo wa hekaya za Jasusi Mkuu kama yuko kwenye friji huko Turkiye na sasa inakaribia mwezi. Ukishimdwa nitaona hizi nazo ni hekaya kama hekaya nyingine tu.
 
Hamna lolote.

Mafisadi serikalini wanatumia "wafanyabiashara" kufront wizi wao. It is not about kickbacks -- its is about hiding the absolute illegality of it all.

Hawawezi biashara, hawawezi siasa.

Karaha tupu.

Hiding assets ndio kickbacks zenyewe za kiafrika mkuu...

Hivi unaamini/unafikiri kifo cha ghafla cha jiwe kuna mali kiasi gani kalambwa kwa kuwa hakua na muda kwa kufanya arrangements?

Kuna watu maelfu leo hii wanasherehekea kwamba walilamba "mana" toka mbinguni kwa kumshikia jiwe na akadanja ghafla bila kukabidhi mtu wa kufuatilia...

Hii ni Afrika baba...
 
Jina la Rost tamu ni Moja kati ya majina maarufu hapa Tanzania kutokana na kuwa. Mfanyabiashara Mkubwa, lakini pia Mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi CCM.

Rost tamu ambaye habari zake nyingi hazijulikani wazi kutokana na mambo yake mengi kuwa ni ya kificho, lakini baadhi ya mambo yamekuwa siyo siri tena kutokana na athari zake kwa jamii na Taifa kwa ujumla.

Tuliambiwa kuwa yeye ndiye aliye mwezesha Jakaya Kikwete kuingia Ikulu mwaka 2025 kwa kufadhili kundi la mtandao.

Tukaambiwa kuwa alihusika kwenye kashfa ya Mabilioni, Dowans na Richmond.

Tukaambiwa masuala ya Makaa ya mawe, Almasi kule Mwadui na mengine mengi tu.

Kwenye utawala wa awamu ya Tano, Rost tamu alichoropokea nchi jirani kutokana na mwendazake kutokubali mfumo alioukuta katika CCM na Serikali ambapo kwa kiwango kikubwa uliwaathiri Wafanyabiashara wengi waliokuwa wamesimika makucha yao humo.

Lakini miezi.michache kabla ya kifo cha Mwenda zake, Rost tamu alikuwa amefauru kujipenyeza na kuwa karibu yake.

Huyu mtu anayeonekana kuwepo kila mahali, ni nani hasa?

Huyu mtu anayeweza kupiga simu mara moja juu kutoa amri au maelekezo na yakatekelezwa, ni nani?

Kwa bahati mbaya, Rost tamu anatajwa kwa mambo mabaya tu Tena yanayohusu raslimali za watanzania.

Tunaambiwa mpaka TISS ana watu humo. Kama anaweza kutoa maelekezo kwa Mkuru na yakatekelezwa, bila shaka hata huku nako anaweza kufanya hivyo. Huyu ni nani hasa?

Tuna Jeshi letu pendwa, JWTZ. Hawa pia hawayasikii haya? Hawayajui? Au hayawahusu? Au namo keshajipenyeza??

Huyu Rost tamu ni nani hasa? Hata kama kajipenyeza kote, wamekosekana wazalendo kweli wa kufuatilia ili kujua nguvu, ushawishi alio nao huyu jamaa kwa viongozi wetu unatokana nani?

Au ndio hivyo tunaliwa na wale ambao mwendazake aliwaita "mabeberu", kupitia mgongo wa akina Rost tamu?

Inasikitisha!
 
Ndiye mmiliki wa Tanzania
 
Mi naona ni mmoja wa ma "Big Boys"
Mtu ambaye mwenye uwezo wa ku "pull' the strings".. anavyotaka.
 
Back
Top Bottom