Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Katelekezwa vipi? Alikuwa aendi hotelini kula huyo? Hayo malipo ya Ubunge alikuwa anapeleka wapi badala ya kutunza watoto? Hivi huo si ndio usawa wenyewe! TAMWA, TGNP, TAWLA wanalizungumziaje hili?
 
BAK Sidhani kama kuna suala la kupewa mlungula na ccm, binafsi bado naamini kwamba huyu bibie anajaribu kupigania kumrudisha Dr. Slaa kwenye himaya yake. Ama vinginevyo anataka Dr. Slaa azuiwe na mahakama kufunga ndoa na bi. Josephine ili pengine afikirie "kurudisha majeshi nyumbani". Bado ni mapema sana kuligeuza suala hili kuwa na motive ya kisiasa.

Mwita Maranya,
Naona baada ya kutokutia machoni kwa muda sasa naona umerejea ukiwa 100% full matured.....ulikuwa jando nini mkuu wangu?!
 
Hilo ni suala binafsi sasa unafikiri ukiliongelea hapa ndio litasaidia kuibadilisha kigoma kuwa Dubai au kupunguza deni la trilioni 23?

Kuna cha ubinafasi kwa mtu anaelipwa kwa kodi zetu? kama kodi zenu ni haki kwenda kuneemesha uzinzi sisi kodi kodi zetu hatutaki zikaneemesha haramu. Chunga sana.
 
Ni kweli lakini Tuipe nafasi mahakama na waamuzi wote,Mungu yuko upande wetu.

Hata kama tumeitwa wazinzi Kwa Mungu hakuna kosa lisilosamehewa kama utatubu kwa kudhamiria.

Ukweli wa mambo yote haya utawekwa wazi na mapenzi ya Mungu yatasimama.

Josephine,
Una maana tayari wewe na Dr. Slaa mmeshatubu au "mna mpango wa kutubu hapo baadae?" Na je, mkitangulia mbele za haki kabla hamjatubia?! Una mkataba na mungu kwamba atawaacha hai hadi mtubu dhambi zenu?! Yaani unafanya serious sins kwa makusudi huku ukitarajia utatubu?! gimme a break madam Josephine!! Na ile inayosema "usifanye majaribu kwa bwana mungu wako" kwako haina maana?! come on, katika hili ningekushauri sana ufuate ushauri wa Balantanda kwenye post yake # 615!! Kuja kujibu mapigo ya hii post ni kujidhalilisha tu! Unawafanya wanazi wa CHADEMA wenye kutumia busara wakose pa kufichia sura zao kwenye post hii! Hawa katu hawawezi kukutetea hususani ukilihusisha na suala la uchamungu kwavile tayari wewe na Dr Slaa mmeshapoteza sifa hizo katika hili suala. Ile kuishi pamoja tu, hata kama sasa mmeacha kufanya kale kamchezo tayari ni uzinzi kwa mujibu wa maandiko!! Na kama unazani ni lazima uchangie post hii basi fuata ushauri wa paulss kwa kujadili suala hili kisheria zaidi kuliko kuhusisha na utakatifu kwa mungu kwavile wewe tayari umeshapoteza sifa hizo!! Au ndo katika ile ya "usifuate nifanyayo, fuata nisemayo?!"
 
Ngoja tuone upeo wa kutafuta haki au uwezo wa mahakama kutumika kufurahisha watawala au kujiingiza kwenye mtego wa kisiasa
 
Kuna cha ubinafasi kwa mtu anaelipwa kwa kodi zetu? kama kodi zenu ni haki kwenda kuneemesha uzinzi sisi kodi kodi zetu hatutaki zikaneemesha haramu. Chunga sana.
zomba ni sawa kodi zetu kumlipia kiongozi Mkuu wa nchi mwenye wasaidizi kwenda UK kuhudhuria vikao vya jinsi ya kutumia Contraceptive pills badala ya madaktari au Waziri husika?
Chunga sana wewe Zombi
 
Josephine,
Una maana tayari wewe na Dr. Slaa mmeshatubu au "mna mpango wa kutubu hapo baadae?" Na je, mkitangulia mbele za haki kabla hamjatubia?! Una mkataba na mungu kwamba atawaacha hai hadi mtubu dhambi zenu?! Yaani unafanya serious sins kwa makusudi huku ukitarajia utatubu?! gimme a break madam Josephine!! Na ile inayosema "usifanye majaribu kwa bwana mungu wako" kwako haina maana?! come on, katika hili ningekushauri sana ufuate ushauri wa Balantanda kwenye post yake # 615!! Kuja kujibu mapigo ya hii post ni kujidhalilisha tu! Unawafanya wanazi wa CHADEMA wenye kutumia busara wakose pa kufichia sura zao kwenye post hii! Hawa katu hawawezi kukutetea hususani ukilihusisha na suala la uchamungu kwavile tayari wewe na Dr Slaa mmeshapoteza sifa hizo katika hili suala. Ile kuishi pamoja tu, hata kama sasa mmeacha kufanya kale kamchezo tayari ni uzinzi kwa mujibu wa maandiko!! Na kama unazani ni lazima uchangie post hii basi fuata ushauri wa paulss kwa kujadili suala hili kisheria zaidi kuliko kuhusisha na utakatifu kwa mungu kwavile wewe tayari umeshapoteza sifa hizo!! Au ndo katika ile ya "usifuate nifanyayo, fuata nisemayo?!"
kama huyu mama anaingia front mwenyewe inakuwa ngumu sana wakina Zomba wanakaba mpaka penalt
 
Katoliki haiwezekani, kuna sakramenti mbili ambazo ni XoR gate yani ya kwamba
F= false, T=true, N=ndoa, P= padre
Hivyo
FD= false ndoa=0, TD= true ndoa=1, FP= false upadre=0, TP= true upadre =1
hivyo:
0 XoR 0 = 0
0 XoR 1 = 1
1 OxR 0 = 1
1 OxR 1 = 0

hivyo TD OxR TP = false
Yani ya kwamba huwezi kuwa na ndoa na wakati huohuo ukawa padre. Hii XoR gate ndo kanuni inayotumika kwa hizi sakramenti mbili.
Toa huu ujinga wako hapa nenda kakaririe darasani
 
Siasa cku zote mchezo mchafu,acnge kuwa mwanacasa acngepata vipingamiz namna hii,hop utashinda kesi my prezoo!
 
Hivi slaa kama ndoa ya mke mmoja tu ilimshinda atatuweza watz milioni 40?

ZITTO FOR PRESIDENCY 2015
 
Hapa kinachoendelea ni kuchafuana majina tu; ndoa na siasa havina uhusiano kabisa ila kule kuchafuana majina hasa kwa kigezo kuwa "kama hawezi kuendesha nyumba yake ataendeshaje nchi" kunafanyika ili kumdiscredit dr.
Slaa.
Hili kama ni kweli....viongozi wetu wakianza kupekenyuana mambo yao ya mahusiano....tutabaki na viongozi kweli? Tanzania hii??????? Labda
 
Wote mlionitukana,na kusema nishindwe na Kulegea,Naamuru mshindwe ninyi na Mungu awaumbue kwa hila zenu. Hamjui Ndoa ni nini na siajabu hamjui maana ya ndoa. Usimuhukumu mwenzio toa kwanza Boriti kwenye jicho lako. Jamani fanya Utafili ama fuatilia kesi iliyopelekwa mahakamani na majibu yake yote mtayapata. Utaratibu wote umefuatwa na Hata mbele za mungu hakuna tuhuma, ninyi ni nani mnaotuhukumu hapa duniani. Kila anayetushutumu ajitazame yeye mwenyewe kwanza,Siasa hizi zinamwisho.

HAkuna aliekutukana, tunajiuliza first lady mtarajiwa anazini? kwani tunakosea kuhoji hili? tunajiuliza ikiwa rais mtarajiwa anaiba wake za watu na anazaa hovho hovyo bila kuoa? je hatakwapua wanafunzi wa shule na kuanza kuzaa nao? hili ndilo swali letu mama mkuu mtarajiwa , na ingekuwa mimi hakika nisingeingia kujibu maana ni AIBU KUBWA KWA WATU KAMA NYINYI ...
 
Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?


Mungi Kisa cha kuachana ni nini ?
 
Siamini mtu kama Slaa ambae alishawahi kuwa PAdre, ANABANJUA AMRI YA SITA vile? USIZINI! na ile amri nyingine USIIBE ! siamini! hapa amevunja mbili "AMEZINI NA AMEIBA MKE WA MTU ! kweli huyu akipewa nchi si atatuibia mchana mchana huyu ! na watoto wa watu watapona kweli?! kweli PAdre Dk slaa ?!
 
Hebu muacheni da rose atumie haki yake ya msingi kuomba ufafanuzi toka mahakamani
 
Back
Top Bottom