kama alikuwa na qualifications sioni ubaya,wewe ulitaka atelekezwe?
Jmushi1,
Nakuamini yaani huu ndio ufafanuzi ulionao? Njoo na ufafanuzi tujadili hoja nakusubiri
Chama
Gongo la mboto DSM
kama alikuwa na qualifications sioni ubaya,wewe ulitaka atelekezwe?
aliyetumiwa mwingine ni Mushumbusi,ama husomi ninachoandika?Kwenye uongozi bora,Slaa yuko juu.
Mkuu ndo maana uliposema anavunja ndoa za watu,nikamtaja huyo Mshumbusi aliyedai kachukuliwa mke na wakati walishatengana.Amekurupuka baada ya kutumiwa,hakuwa anamjali mke wake,yeye ndo aliyemtelekeza mkewe.Slaa ni mtu makini sana tu kwenye kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,issue za mke hazina mantiki,zinatumiwa na maadui wa kisiasa,mara mia Slaa kuliko fisadi yoyote.Kwa hiyo Dr. Slaa si mtu makini kama ameweza kujiingiza kwenye mtego wa ngono ataweza kuimudu ofisi ya raisi wa JMT?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu kama hukutaka apewe ubunge wa kuteuliwa,si ni sawa na kusema ulitaka atelekezwe?Si wewe ulisema amepewa ubunge kumyamazisha?Talking about double standards,huoni kwasababu umeshamjngea chuki na kumuhukumu,sasa nikisema ulitaka atelekezwe kosa langu lipi?Jmushi1,
Nakuamini yaani huu ndio ufafanuzi ulionao? Njoo na ufafanuzi tujadili hoja nakusubiri
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu kama hukutaka apewe ubunge wa kuteuliwa,si ni sawa na kusema ulitaka atelekezwe?Si wewe ulisema amepewa ubunge kumyamazisha?Talking about double standards,huoni kwasababu umeshamjngea chuki na kumuhukumu,sasa nikisema ulitaka atelekezwe kosa langu lipi?
Mkuu ndo maana uliposema anavunja ndoa za watu,nikamtaja huyo Mshumbusi aliyedai kachukuliwa mke na wakati walishatengana.Amekurupuka baada ya kutumiwa,hakuwa anamjali mke wake,yeye ndo aliyemtelekeza mkewe.Slaa ni mtu makini sana tu kwenye kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,issue za mke hazina mantiki,zinatumiwa na maadui wa kisiasa,mara mia Slaa kuliko fisadi yoyote.
mkuu naona kama tunazungushana tu,sasa hiyo posti yako nyingine sitoijibu,ni provocations tu,kwasababu kwa unafiki wako,unajidai kusympathise na miss Kamili na huku unadai hakutakiwa kupewa ubunge.Kwasababu wewe nia yako ni kumuhukumu Slaa,hilo sitoweza kukuzuia,bali kukushauri tu kuwa haifai...Na wala hujadili vigezo,unabakia kuattack personalities.jmushi1
Hebu fafanua hapo kwenye red naona jibu unaliona lakini unakwepa ukweli
Chama
Gongo la mboto DSM
unautumia waraka wa Paulo kiunafiki,hiyo ndoa na miss Kamili walifunga kanisani?ama unasikia raha tu kumwita hayo majina?only coz hapatani na mafisadi?jmushi1;
Nilshakufanunulia maana ya kutengana na kutelekeza, Dr. Slaa aliitelekeza familia yake; vipi umeshapitia waraka wa mtume Paulo kupata ufafanuzi wa ndoa na zinaa? Tunataka tuujadili umakini wa Dr. Slaa; fisadi wa ngono
Chama
Gongo la mboto DSM
mkuu naona kama tunazungushana tu,sasa hiyo posti yako nyingine sitoijibu,ni provocations tu,kwasababu kwa unafiki wako,unajidai kusympathise na miss Kamili na huku unadai hakutakiwa kupewa ubunge.Kwasababu wewe nia yako ni kumuhukumu Slaa,hilo sitoweza kukuzuia,bali kukushauri tu kuwa haifai...Na wala hujadili vigezo,unabakia kuattack personalities.
unautumia waraka wa Paulo kiunafiki,hiyo ndoa na miss Kamili walifunga kanisani?ama unasikia raha tu kumwita hayo majina?only coz hapatani na mafisadi?
Mkuu NasDas,huyu mama ametumika katika ku divert attention ya wananchi kwenye issue muhimu za Taifa,tena kwanza ametumika wakati kuna matukio kama hayo ya msitu wa Pande?na wengine kufuatiliwa na usalama wa maisha yao kuwa hatarini?nimemtoa maanani kabisa huyu mama,kwanza si alikuwa ccm huyu?
Hapo hakuna swali ni maelezo nadhani ulijichanganya katika majibu yako hapa chini.CDM si chama cha familia, kwamba ukimwona baba ni CDM basi na mke, watoto shangazi na ndugu wengine ni CDM.
Uliowataja wanaweza kuwa ni CDM lakini wanafamilia ni vyama vingine hasa wanawake.
Sasa hao walioteuliwa ndio walikuwa wanachama wakuaminika kwa kiasi kikubwa.
Na niliyokwambia hapo juu ni ukweli mtupu.Kyaiyembe;
Kauli zako zinajisuta zenyewe; pitia posti nyingi tu sina haja ya kuzirudia wadau wengi wamekuthibitishia labda rudi tena kazikanushe . Tatizo lenu wanachadema mkibanwa kwenye post hamrudi kuzijibu matokeo yake ndio haya ya kurudia rudia maswali
Chama
Gongo la mboto DSM
Soma taratibu unielewe alafu uangalie majibu yako yametokana na nini? maana hayendani na Topic yetu wala hoja yangu sasa je kuna kitu unacho moyoni?.Shukuru kuwa wanabahati tu na uwezo kidola na kifedha, pia hawajandamwa kisiasa. Lakini ikitokea vinginevyo utaumbuka.
Dr. slaa anteswa na uwezo wake wakuwabana watawala, pia aiba yake kuongezeka kwa watanzania walio wengi hii inawafanya wanaohofia mambo yao kubanwa zaidi waanze kuibua yake.
Mkuu usiogope CCM kuangushwa kila wakati, hilo laweza kutokea lakini mimi niliongelea uwezo wa viongozi wa CCM kudhibiti madhambi yao yasifunuliwe!.Hakuna serikali yeyote duniani yenye uwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi fuatilia au soma historia ya watawala waliongushwa na wananchi kwa mikono mitupu; wananchi wa Romania walimwangusha dikteta Nicolae Ceausescu; msijidanganye kwa kudai eti serikali ya CCM ipo madarakani ipo madarakani kwa sababu ya dola hiyo si kweli bado wananchi wengi wana imani na serikali yao; kinachomtesa Dr. Slaa ni unafiki au leo hii umesahau Dr. Slaa alikuwa mwanaccm na tunamjua vilivyo?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hawakuwahi kuishi pamoja lakini walizaa watoto (3?)....you are joking, right?!