Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Mkuu Buchanan Naomba uihamishie hii thread kwenye jukwaa la habari mchanganyiko au Mapenzi hii sio Siasa
Mkuu Buchanan naomba usimsikilize Lynix hii habari ni ya kisiasa kabisa kwa kuwa inawahusu wanasiasa wawili. Mmoja mbunge na mwingine katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani hapa Tanzania/Tanzania Bara
Last edited by a moderator: