Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Kwani wanaozaa na waume wa watu wanazaaje? Its a 5 minutes process to make a baby mwalimu!
And I thought watoto ni wawili?

Sishangai na hiyo process inachukua muda gani, nashangaa na maadili ya Dk.Slaa linapokuja suala la ngono, tena ngono zembe at that.

Kisha nashangaa alivyomwepesi wa kusema uongo.....juzi mbele ya waandishi wa habari alitutangazia zaidi ya Mara moja kuwa Josephine ni mkewe wakati kumbe kisheria Josephine ni mke wa mtu mwengine
 
Kama hawajafunga ndoa,those children out of wedlock stand illegitimate and support of the children remains with concubine mother.That's all.
 
Gaijin Josephine si mke wa Slaa, hapo ameudanganya umma. Nakubali kuna kutokuheshimu sacrament ya ndoa au family as an institution kwa upande wa Slaa, na hii sio character nzuri ya kiongozi yeyote, especially wa umma.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
Kuachana tena? Kwani walikuwa kwenye ndoa?
 
Kobello Hii ishu ya ndoa ukikurupuka kama mwendawazimu hutoweza kuelewa.
Hii ishu kuna kipindi ilishajadiliwa sana mpaka tukapata kuelewa kuwa kisheria mtu ukikaa na mpenzi within a 6 mnth basi huyo atahesabika kuwa mke wako kihalali na hata siku mkitengana basi utalazimika kugawana nae mali mlizochuma.

So kwa hilo hapo juu nililokudokeza linaweka wazi kuwa swala la Ndoa iwe Kanisani au Msikitini si kitu cha lazima ktk sheria za nchi hii...
Kwa sababu mnaweza kukaa bila ndoa lakini baada ya miezi hiyo kupita basi Sheria za kiserikali zinawahalalisha.

Pia unapoanza kuzungumzia maswala ya Sacrament ukae ukijuwa sio woote ni wa imani unayoifuata wewe, au hao wenzio ambao dini zenu zililetwa na Meli za wakoloni...fahamu kuwa kuna watu mpaka leo wako na Imani za asili na wanafuata ndoa za kimila.

Je unajuwa ndoa za kimila zinasemaje ktk ishu hii?
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama Rose ndio wale wale
akina she-buda kwani yeye
hadi leo hajapata tu mzazi mwingine wa.......hadi amn'gang'anie Dr.Slaa?
 
Kuachana tena? Kwani walikuwa kwenye ndoa?
NOTE:
kuachana si lazima muwe kwenye ndoa.
Mnaweza kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ya kawaida ambayo hamkufikia kipengele cha viapo mbele za mashahidi then mkapishana na kisha kila mmoja wenu akaamua kuchukua hamsa zake na kusepa...so hapo mnakuwa mmeachana.
 
Tusiwe biased bwana, kama mwanasiasa ambae ni kioo cha jamii lazima social responsibilities zitimizwe! Josephine (first lady wangu binafsi) hajapata hati ya talaka kwa mumewe na ndo iko mahakamani. Kama Rose Kamili nae hajatalikiwa na mumewe, ana haki ya kumshika ugoni na kudai matunzo ya watoto. Hili sio suala la chadema, ni suala lao binafsi.

Maridadi sana, umenena vyema. Aisee ushabiki huu sasa utakuwa uchizi. Hata mtu akidai haki yake katumwa? Kuna mamia ya kesi za aina hiyo nchini.
 
Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
inaelekea badala ya kuungama kwa padri yeye alikua anashusha mistari na kurembua rembua
 
Back
Top Bottom