Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

NasDaz,katekelezwa vipi na kapewa kazi ya kumsaidia mumewe kujenga chama?Ndo maana nikakuuliza kama alitelekezwa "kinyumba",then hapo si kweli kwasababu hawana uhusiano wa namna hiyo tena.
Kama unavyodai kutelekezwa ni kuachwa kama gari ama kumwacha mtoto kwa jirani,hayo hayana mantiki kwasababu uwepo wake chademe haina maana Slaa kaiacha ama kuitelekeza chadema na huyo miss Kamili akiwemo.Mkuu ni wazi mnalazimishia ishu ya kutelekezwa kwa miss Kamili.Na kwa upande mwingine,kama watoto wameshakuwa wakubwa ie over 18 years old,then labda kama hawataki kuwasiliana na baba yao,as of miss Kamili,uhusiano wao utakuwa wa salam na kujuliana khali,na hilo si lazima kama linaweza kumletea matatizo Slaa kwenye familia yake mpya.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz,katekelezwa vipi na kapewa kazi ya kumsaidia mumewe kujenga chama?Ndo maana nikakuuliza kama alitelekezwa "kinyumba",then hapo si kweli kwasababu hawana uhusiano wa namna hiyo tena.
Kama unavyodai kutelekezwa ni kuachwa kama gari ama kumwacha mtoto kwa jirani,hayo hayana mantiki kwasababu uwepo wa miss Kamili chademe haina maana Slaa kaiacha ama kuitelekeza chadema na huyo miss Kamili akiwemo.Mkuu ni wazi mnalazimishia ishu ya kutelekezwa kwa miss Kamili.

Jmushi,
Kiswahili unakijua vizuri sana unachoamua kufanya ni badala ya kumwita mtu shoga (gay) uameamu kumwita mwanaume mwenye ugonjwa wa kike, na badala ya msagaji (lesbian) umeamua kutumia mwanamke mwenye ugonjwa wa kiume; sisi tunakuelewa huwezi kupingana na ukweli hata siku moja.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
No fear
Hapo juu niliandika nikiwa naharakisha kumaliza kazi yangu kwa ufafanuzi tu siku kuwa na maana ya wao kama wanaume wateuliwa nia ilikwa ni kuoannisha badala ya viongozi wa juu wa Chadema kuteuwa wake zao na dada zao kwenye viti maalum wangeangalia kwa watu wa karibu wa wanachama wengine, mdai alidai Chadema walichagua kwani wao ndio walikuwa wa kwanza, na hoja niliyotaka kuongezea hata nafasi za utendaji wa juu zingeweza kutolewa kwa vijana wenye uwezo na si kwa misingi ya udugu au ukabila. No Fear ulishakuwa altar boy wa Dr. Slaa? Naona unaongelea mchezo wako kwa kunitumia mimi hapa ni shoka tupu; kama umezoea hiyo michezo acha.
Maranya, Ngh`ily,Aweda samahanni sikumaanisha nyie muwe wa viti maalum

Chama
Gongo la mboto DSM

Wewe ni Pimbi tu umeshindwa kujibu usennge ulioongea kuhusu kina Mwita Maranya sasa unaleta uchoko tu hapa pumbavu kabisa.
 
Sasa babu yetu hata kama ameamua kujirusha uzeeni na kulipiza uliyakosa wakati wa updari ataweza vipi solve matatiza wa TZ takribani 45M wakati ameshindwa lipatia ufumbuzi suala la watu 3? Na kama kweli hawakuwahi funga ndoa..basi yuhu babu yale aliyoyasomea kwenye upadri yalikuwa hayana maana kabisa kwake....maana katoka upadri kakamata kimada. Na kama walifunga ndoa na inasemekana kasomea sheria, basi kuko darasani alikuwepo kuwepo tu...either way, it seems ana preach one thing but anafanya other thing....it sounds kama babu ameifisadi familia yake mwenyewe.
 
NasDaz,katekelezwa vipi na kapewa kazi ya kumsaidia mumewe kujenga chama?.

Mkuu naona mara nyingi sana wewe na wenzako akiwemo Josephine mnadai Rose hajatelekezwa kwasababu kapewa ubunge hivyo anauwezo wakutunza famili

Kauli hii inatoa picha mbili kubwa
Mosi, eitha hujui maana ya kutelekeza, au unajua lakini kwakuwa Dr Slaa ni mtakatifu kwako kosa hilo hutaki kulitambua kwa makusudi kwa kigezo cha ubunge wa kupewa wa Rose.

Pili, Mnamaanisha CDM ni chama cha hovyo kabisa kwa kupeana vyeo ikiwemo ubunge kwa maslahi ya watu fulani fulani tu,
kwamba bi Rose kapewa ubunge na CDM ili Dr Slaa asibebe jukumu lake kama baba, lakini hii inamaanisha haijaishia kwa Rose tu,inamaanisha Dr Kitila Mkumbo magawa ubunge kwa ndugu na watoto na mahawara wa vigogo ndani ya CDM
Hii ni tuhuma nzito sana mnayojaribu kuijenga hapa na haina afya kwa chama hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Pimbi tu umeshindwa kujibu usennge ulioongea kuhusu kina Mwita Maranya sasa unaleta uchoko tu hapa pumbavu kabisa.

Mbona matusi mengi; kujifimbisha kwa sana swali dogo ulishakuwa altar boy wa Dr. Slaa? Unaisifia sana ngoma wajanja wanautokea nini mlango wa uani?

Chama
Gongo la mboto DSM.
 
Ni kweli ikulu ni mahala patakatifu tusije tukapageuza danguro, unaogapa kujadili uzinzi kwasababu unaongozwa na kiongozi mzinifu? Huwezi kuona kinachofanywa na serikali kwa maendeleo ya taifa kwasababu akili yako imefundishwa kukanusha hata pale kwenye utajifanya huoni. Yapo mengi sana yenye tija kwa taifa yameshafanywa.

Chama
Gongo la mboto DSM
Uzinzi unatofautiana kwa Imani?.
Ikulu imeishakuwa dangulo, hii ni kutokana matendo ya wanaoishi huko wanafanya UDANGURO mkuu.
Mtu asipofikishwa maakamani au akimaliza matatizo yake ya uzinifu bila jamii kujua huyo siyo mzinzi?.

Katika hii topiki nimegundua kuwa matatizo makubwa ya nchi hii yameletwa na kutomchunguza kiongozi husika maisha yake binafsi.

Kuna viongozi haijulikani idadi ya wake zake wengine hata watoto hatujui idadi yao.
 
Ya Dr. Slaa huitaji kuyachunguza yapo hadharani; maisha yake binafsi yametawaliwa na uwongo uliokithiri haya tunayajua siku nyingi; uzuri hao viongozi unawaongelea wanaoa hawazini na hawakai na vimada hadharani.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
No fear
Hapo juu niliandika nikiwa naharakisha kumaliza kazi yangu kwa ufafanuzi tu siku kuwa na maana ya wao kama wanaume wateuliwa nia ilikwa ni kuoannisha badala ya viongozi wa juu wa Chadema kuteuwa wake zao na dada zao kwenye viti maalum wangeangalia kwa watu wa karibu wa wanachama wengine, mdai alidai Chadema walichagua kwani wao ndio walikuwa wa kwanza, na hoja niliyotaka kuongezea hata nafasi za utendaji wa juu zingeweza kutolewa kwa vijana wenye uwezo na si kwa misingi ya udugu au ukabila. No Fear ulishakuwa altar boy wa Dr. Slaa? Naona unaongelea mchezo wako kwa kunitumia mimi hapa ni shoka tupu; kama umezoea hiyo michezo acha.
Maranya, Ngh`ily,Aweda samahanni sikumaanisha nyie muwe wa viti maalum

Chama
Gongo la mboto DSM
CDM si chama cha familia, kwamba ukimwona baba ni CDM basi na mke, watoto shangazi na ndugu wengine ni CDM.
Uliowataja wanaweza kuwa ni CDM lakini wanafamilia ni vyama vingine hasa wanawake.
Sasa hao walioteuliwa ndio walikuwa wanachama wakuaminika kwa kiasi kikubwa.
 
Ya Dr. Slaa huitaji kuyachunguza yapo hadharani; maisha yake binafsi yametawaliwa na uwongo uliokithiri haya tunayajua siku nyingi; uzuri hao viongozi unawaongelea wanaoa hawazini na hawakai na vimada hadharani.

Chama
Gongo la mboto DSM
Shukuru kuwa wanabahati tu na uwezo kidola na kifedha, pia hawajandamwa kisiasa. Lakini ikitokea vinginevyo utaumbuka.
Dr. slaa anteswa na uwezo wake wakuwabana watawala, pia aiba yake kuongezeka kwa watanzania walio wengi hii inawafanya wanaohofia mambo yao kubanwa zaidi waanze kuibua yake.
 
Masuala ya ndoa ni magumu sana,tofauti na jinsi wana jf tunavodhani.rose kamili ana haki na yuko sahihi kikubwa ni dr slaa kumsikiliza na kumpa anachohitaji,

Kuna kitu natamani kujua hapa nadhani sijaelewa
- Huyu mzazi mwenza wa mwanzo - Rose- anadai nini hasa? kama ni matunzo ya watoto je
- waliishi miaka ipi pamoja
- walipata lini hao watoto
- sasa hivi watoto wako wapi
- je aliwahi kulalamika kabla ya kile kipindi cha uchaguzi
- je Josephine ameachana na mumewe?
 
Mkuu naona mara nyingi sana wewe na wenzako akiwemo Josephine mnadai Rose hajatelekezwa kwasababu kapewa ubunge hivyo anauwezo wakutunza famili

Kauli hii inatoa picha mbili kubwa
Mosi, eitha hujui maana ya kutelekeza, au unajua lakini kwakuwa Dr Slaa ni mtakatifu kwako kosa hilo hutaki kulitambua kwa makusudi kwa kigezo cha ubunge wa kupewa wa Rose.

Pili, Mnamaanisha CDM ni chama cha hovyo kabisa kwa kupeana vyeo ikiwemo ubunge kwa maslahi ya watu fulani fulani tu,
kwamba bi Rose kapewa ubunge na CDM ili Dr Slaa asibebe jukumu lake kama baba,
lakini hii inamaanisha haijaishia kwa Rose tu,inamaanisha Dr Kitila Mkumbo magawa ubunge kwa ndugu na watoto na mahawara wa vigogo ndani ya CDM
Hii ni tuhuma nzito sana mnayojaribu kuijenga hapa na haina afya kwa chama hata kidogo

Mkuu wangu paulss,
hapo kwenye red ndicho hasa nilichokuwa najitahidi kumtahadhalisha jmushi1 ingawaje ameshindwa kabisa kunielewa!! Ndicho nilichomtahadhalisha jmushi1 kwamba kauli ya Rose kupewa ubunge inadhalilisha chama moja kwa moja!!! jmushi1, inawezekana kabisa kwamba uwezo wangu wa kufafanua jambo una walakini; lakini kama ulishindwa kunielewa, basi digest hapo kwenye red.....hiyo kauli mnadhalilisha chama chenu!!
 
Mbona matusi mengi; kujifimbisha kwa sana swali dogo ulishakuwa altar boy wa Dr. Slaa? Unaisifia sana ngoma wajanja wanautokea nini mlango wa uani?

Chama
Gongo la mboto DSM.
Chama,
I have no doubt kwamba u're a very decent guy in JF, there4 my advice ni kwamba achana na huyo mtu....mie nimefuatilia post zake nyingi; nilichoona ni matusi tu!!! Kujibishana na watu kama hao itakuwa ni kujidhalilisha tu.....ukiona ustahimilivu unakushinda, let's go back kwenye post ye2 ya swahiba ako nyerere ambayo tumeitelekeza(naomba hapa napo jmushi1 afafanune kama nimetumia neno sahihi huko kutelekeza...lol!!)....contributors wa kule ni wale waliobalehe kitambo!
 
Mkuu naona mara nyingi sana wewe na wenzako akiwemo Josephine mnadai Rose hajatelekezwa kwasababu kapewa ubunge hivyo anauwezo wakutunza famili

Kauli hii inatoa picha mbili kubwa
Mosi, eitha hujui maana ya kutelekeza, au unajua lakini kwakuwa Dr Slaa ni mtakatifu kwako kosa hilo hutaki kulitambua kwa makusudi kwa kigezo cha ubunge wa kupewa wa Rose.

Pili, Mnamaanisha CDM ni chama cha hovyo kabisa kwa kupeana vyeo ikiwemo ubunge kwa maslahi ya watu fulani fulani tu,
kwamba bi Rose kapewa ubunge na CDM ili Dr Slaa asibebe jukumu lake kama baba, lakini hii inamaanisha haijaishia kwa Rose tu,inamaanisha Dr Kitila Mkumbo magawa ubunge kwa ndugu na watoto na mahawara wa vigogo ndani ya CDM
Hii ni tuhuma nzito sana mnayojaribu kuijenga hapa na haina afya kwa chama hata kidogo
Kwani hujui kuwa pamoja na kwamba ni ubunge wa kuteuliwa,umesahau na yeye alishiriki siasa ngazi za chini akiwa ccm?Dr Slaa,pamoja na mengine,ana maujukumu ya kuwatumikia wananchi kwa kupitia chama.Je wewe unajuwa kuwa Dr Slaa angekuwa na nia ya kumtelekeza angeweza kupinga uteuzi wake?just common sense!Na hiyo nafasi yake kama baba una maana gani?una uhakika kuwa huwa haonani na hao watoto ambao sasa ni watu wazima wenye uwezo wa kwenda kumtembelea Slaa?Acheni mambo haya,Taifa liko pabaya,muda wa porojo hamna.
 
Last edited by a moderator:
Chama,
I have no doubt kwamba u're a very decent guy in JF, there4 my advice ni kwamba achana na huyo mtu....mie nimefuatilia post zake nyingi; nilichoona ni matusi tu!!! Kujibishana na watu kama hao itakuwa ni kujidhalilisha tu.....ukiona ustahimilivu unakushinda, let's go back kwenye post ye2 ya swahiba ako nyerere ambayo tumeitelekeza(naomba hapa napo jmushi1 afafanune kama nimetumia neno sahihi huko kutelekeza...lol!!)....contributors wa kule ni wale waliobalehe kitambo!
Mkuu ni matumaini yangu kuwa umesoma bandiko langu lililopita nikilielekeza kwa paulls.
Kutelekeza siyo jambo ambalo ni permanent persee!Je wewe kwa niaba ya Miss Kamili,unaweza kuniambia haya madai ya kutelekezwa,utelekezwaji huo ulianza lini?maana jamaa yako akarudi kuchangia huko utasema ameacha kulekeza thread ya Mwalimu siyo?Huyo miss Kamili ni yeye ametelekezwa ama ni watoto?na hilo limeanza lini?na hao watoto si watu wazima?
Je kuachana na kitu ama mtu ndo kutelekeza?ama hata na uswahili wenu bado tu hamkijui?Ndo maana kuna mahakama na sheria za nchi,basi tusubiri ili tuweze kujuwa maana halisi ya kutelekeza.Ama wewe unaweza kuniambia tofauti kati ya kutengana na kutelekezana.
 
Jmushi
Narudia tena kiswahili unakijua vizuri tatizo linapokuja pale unapojaribu kupindisha lugha sanifu ya kiswahili ili kujenga hoja ya kutetea uozo wa Dr. Slaa; labda nijaribu kukuelewesha maneno haya ya kiswahili KUTENGANA NA KUTEKELEZA nitatumia wanandoa A kama mume na B kama mke.
1. Wanandoa A&B baada ya kutokea kutoelewana wanaamua kutengana sio kuachana, kutengana ni hatua ya kabla ya pande mbili za kifamilia kujaribu kuleta usuluhishi kwa wanandoa A&B au kukamilisha taratibu za kisheria kuachana; kumbuka wanaume wengi wenye busara na hekima huendelea kuhudumia familia zao kwenye phase hii ya kutengana.

2. Kutelekeza hutokea mwanandoa A atamkimbia B bila sababu za msingi wala taarifa bila; bila kumhudumia B na kwenda kuishi na kimada C. Kimsingi A anakimbia majukumu yake ya kifamilia hata kama C hataingia kwenye picha hali halisi ya kutekeleza inashinikizwa zaidi na kukimbia majukumu ya kifamilia.
Tukirudi kwa Dr. Slaa yeye ametelekeza familia si tu kwa kumkimbi B na kwenda kuishi na C kesi inahusisha mpaka watoto; watoto wa Dr. Slaa ni wakubwa na wanajua nini kimewatokea kwenye maisha yao huna haja ya kujidhalilisha kumtetea mzinifu Dr. Slaa; au pia hujui nini maana ya neno ndoa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Shukuru kuwa wanabahati tu na uwezo kidola na kifedha, pia hawajandamwa kisiasa. Lakini ikitokea vinginevyo utaumbuka.
Dr. slaa anteswa na uwezo wake wakuwabana watawala, pia aiba yake kuongezeka kwa watanzania walio wengi hii inawafanya wanaohofia mambo yao kubanwa zaidi waanze kuibua yake.

Hakuna serikali yeyote duniani yenye uwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi fuatilia au soma historia ya watawala waliongushwa na wananchi kwa mikono mitupu; wananchi wa Romania walimwangusha dikteta Nicolae Ceausescu; msijidanganye kwa kudai eti serikali ya CCM ipo madarakani ipo madarakani kwa sababu ya dola hiyo si kweli bado wananchi wengi wana imani na serikali yao; kinachomtesa Dr. Slaa ni unafiki au leo hii umesahau Dr. Slaa alikuwa mwanaccm na tunamjua vilivyo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama,
I have no doubt kwamba u're a very decent guy in JF, there4 my advice ni kwamba achana na huyo mtu....mie nimefuatilia post zake nyingi; nilichoona ni matusi tu!!! Kujibishana na watu kama hao itakuwa ni kujidhalilisha tu.....ukiona ustahimilivu unakushinda, let's go back kwenye post ye2 ya swahiba ako nyerere ambayo tumeitelekeza(naomba hapa napo jmushi1 afafanune kama nimetumia neno sahihi huko kutelekeza...lol!!)....contributors wa kule ni wale waliobalehe kitambo!

NasDaz
Thank man. acha niachane na huyo mpuuzi nilisubiri sana data kwenye post ya Nyerere lakini hukurudi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom