Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Huyu mama Rose Kamili ana haki yake ya kikatiba hata kama katumwa basi ni Dk Slaa aliyesabaisha kutumwa.... Dk. Slaa hayuko makini kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Wanasiasa wengi wameporomoka kwa sababu ya kuwachezea akina mama
Kupenda ile kitu kila mtu apenda, ubaya ni kudanganya na kuishi a double life.
Kudanganya hakuna mipaka, maana hata ngamia huanza kuingiza kichwa kisha mwili mzima!