Kuna mtu hapa amehoji kuhusu CHADEMA kuwa na wabunge wa vitu maalum wenye uhusiano wa kindugu na viongozi wa CHADEMA, this person must be very stupid, am sorry but call a spade a spade not a big spoon.
Kwa chama kipya/kichanga kwa maana ya ambacho hakijawahi kuwa madarakani, hata kumliki viti vingi bungeni, ni hatua ya lazima sana. Ukweli ni kwamba wakati CHADEMA inaanza mtu wa kwanza Mzee mtei kumshauri aingie kwenye chama chake itakuwa familia yake, ndugu zake, jamaa na marafiki zake. Na kwa walioitikia suala la kujiunga unakuta familia nzima imejiunga, ikajitolea kwa hali na mali, tena mali nyingi kuimarisha chama. Pengine hata majengo kwa maana ya ofisi, harambee za kuimarisha chama sehemu ambako hakijafika, yote haya unakuta familia inafanya kwa pamoja, baba, mama watoto na wakwe wakiwa wanachama mstari wa mbele. huo wakati hakuna mtu anauhoji, kwanini familia ilee chama kama mali yake, itoe fedha nyingi pekee yake, wakati wa matunda kidogo tu mtu anauliza kwa nini baba na mama ni wabunge, hana akili huyo. Kwanini mtu na dada yake ni wabunge??? mvivu wa kufikiri huyo.
Narudia kwa chama changa ni hatua ya lazima ndugu kuwa ktk uongozi na ktk bunge; walikuwepo mwanzo na wamawekeza sana, kama walikuwa wanachama wa mwanzo kwa nini wasiwe wafaidi matunda wa mwanzo???
Aibu ni kwa chama kikongwe kuongozwa na kaka na dada, baba na mwana, mme na mke. CHADEMA sio kikongwe. Ukweli ni Aibu kwa CCM kuwa bungeni kwa Kawawa wawili, ni aibu kwa CCM baba rais na mwanae, ni aibu kwa CCM Mwinyi kuwa Waziri huku baba yake alipewa fursa kuwa rais, ni aibu kwa CCM majina yale yale ya koo zile zile wakati wanachama eti 5m wako wanasota wao hawafikii ukubwa ndani ya chama na serikali kisa tu baba zao walikuwa plain members, shame kwa chama kongwe kama CCM majina kujirudia rudia huku members wenzao hawana hata chakula. Aibu ni kwa CCM na serikali yake mbunge kuwa DC au RC wakati members ni kibao.
Lakini sio aibi kabisa kwa chama changa kuwe na ndugu wengi nafasi za uongozi; je ccm nayo ni changa sana??? mbona majina yaleyale Nauye Jr huku Sr alikuwepo; Kina Malima, Karume, Msuya na Mathayo, Abdalla, Husein na Mwinyi, Makongoro na Nyerere, wengine hawapo jamani???