- Thread starter
- #561
Kwa sheria za Tz na za kimataifa mtoto wa over 18 years na hao wake ni 25 years anahitaji support? Huyu mama tena wamfukuze CDM kabisa. Siku zote alikuwa chooni anatoa pupu au alikuwa anawaona hawa Dr. na Mchumba? Au Donge alilopatia limepungua? Something fishy here and she gota reach no where?
Mkuu wangu huyu Rose kanunuliwa na Magamba ili kupunguza kasi ya CDM.Lakini hakika atashindwa.Inatakiwa CDM kichukue maamuzi magumu kumfukuza huyu mpuuzi asiye na aibu.