Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

CDM si chama cha familia, kwamba ukimwona baba ni CDM basi na mke, watoto shangazi na ndugu wengine ni CDM.
Uliowataja wanaweza kuwa ni CDM lakini wanafamilia ni vyama vingine hasa wanawake.
Sasa hao walioteuliwa ndio walikuwa wanachama wakuaminika kwa kiasi kikubwa.

Kyaiyembe;
Kauli zako zinajisuta zenyewe; pitia posti nyingi tu sina haja ya kuzirudia wadau wengi wamekuthibitishia labda rudi tena kazikanushe . Tatizo lenu wanachadema mkibanwa kwenye post hamrudi kuzijibu matokeo yake ndio haya ya kurudia rudia maswali

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu ni matumaini yangu kuwa umesoma bandiko langu lililopita nikilielekeza kwa paulls.
Kutelekeza siyo jambo ambalo ni permanent persee!Je wewe kwa niaba ya Miss Kamili,unaweza kuniambia haya madai ya kutelekezwa,utelekezwaji huo ulianza lini?maana jamaa yako akarudi kuchangia huko utasema ameacha kulekeza thread ya Mwalimu siyo?Huyo miss Kamili ni yeye ametelekezwa ama ni watoto?na hilo limeanza lini?na hao watoto si watu wazima?
Je kuachana na kitu ama mtu ndo kutelekeza?ama hata na uswahili wenu bado tu hamkijui?Ndo maana kuna mahakama na sheria za nchi,basi tusubiri ili tuweze kujuwa maana halisi ya kutelekeza.Ama wewe unaweza kuniambia tofauti kati ya kutengana na kutelekezana.

Mkuu wangu jmushi1, naomba nirudie tena kwamba unanionea member mwenzako...si vizuri hata kidogo kuoneana wenyewe kwa wenyewe!! Aliyesema suala la kutelekezwa ni Rose...labda nami ni-base kwenye maelezo ya Bi. Rose na maana mzima ya kutelekeza!!!

Mkulu Slaa alikiuka kiapo na kuanza mahusiano na Bi Rose yaliyosababisha kwao kupata watoto wawili! Ingekuwa ni mtoto mmoja, ingeonekana ni kama xdent, lakini linapokuja suala la watoto wawili, inaonekana wazi kwamba Daktari Slaa ali-settle kabisa kwa kimwana Rose a.k.a Waridi!! Sasa basi, ikiwa Rose alizaa na Dr Slaa na wakati huo alikuwa anatoa matunzo....lakini baada ya Dokta kukutana na Josephine akakata mguu kwa Rose na hakujali tena suala la watoto....huko ndo kutelekeza kwenyewe!! Lakini ikiwa Dr Slaa alifuata taratibu halali za kutengana na Rose; basi hasilani huko hatuwezi kuita ni kutelekeza....lakini inavyoonekana, haikua hivyo!! NI kama vile Dr alianza kukata mguu taratibu taratibu na kisha kutoonekana kabisa!! So, let's assume kabla ya sakata hilo Rose alikuwa anakaa Kijitonyama na wanawe wawili ambako Dr Slaa ama nae alikuwa anaishi hapo hapo au alikuwa anaenda mara kwa mara hapo!! Lakini gjhafla, kama alikuwa anaishi hapo hapo hata kama ni siku moja moja lakini hatimae akaacha kufanya hivyo wakati anafahamu pale kuna watoto wake....basi huko ndo kutelekeza kwenyewe!! jmushi1, ni matumaini yangu kuwa wewe unaitwa anything starting with j na baba yako ndie huyo mushi! haijalishi wewe una umri gani lakini kama ulikuwa unakaa nyumbani na wazazi wako (baba na mama yako) lakini mara mzee mushi akasepa akawa haonekani hapo nyumbani.....then hakuna tafsiri yoyote hapo iliyo halali zaidi ya kwamba mzee mushi ametelekeza familia yake hata kama wewe j umri wako ni above 30....ametelekeza familia! Hata kama atakuwa anakupigia simu kila baada ya dakika tano; bado hawezi kukwepa lawama za kutelekeza familia!So, kama ulitaka kufahamu Dr Slaa amemtelekeza nani, jibu ni kwamba hakumtelekeza yeyote individually bali ametelekeza familia kwavile staili aliyoondoka nayo si sahihi ( kwa mujibu wa rose, Dr alifanya hivyo baada ya kukutana na josephine)!

Hayo tuyaache, sasa tujadili hili hapa chini lakini kimya kimya manake Zomba, Rejao na Ritz wakiliona hili wasije wakalishikia bango manake nawafahamu hawa....hawana dogo! Mkuu wangu jmushi1, kulingana na umri wa watoto wa Dr Slaa, inaonekana hayo alikuwa akiyafanya kwenye umri wa 40s! Nazani umri huo si umri wa balehe changa zinazosumbua wengi....!! Sasa ikiwa in 40s tu daktari wetu alikuwa hivyo, wht abt in his 30s?! in his 20s?! Kulikuwa na usalama kweli huko au kuna wengine wameamua tu kukausha ili kumlindia hadhi yake?! wale watawa wetu pale kurasini wote walisalimika kweli wale?! god forbid! Akili za mbayumbayu, changanya na zako....!!!
 
Jmushi
Narudia tena kiswahili unakijua vizuri tatizo linapokuja pale unapojaribu kupindisha lugha sanifu ya kiswahili ili kujenga hoja ya kutetea uozo wa Dr. Slaa; labda nijaribu kukuelewesha maneno haya ya kiswahili KUTENGANA NA KUTEKELEZA nitatumia wanandoa A kama mume na B kama mke.
1. Wanandoa A&B baada ya kutokea kutoelewana wanaamua kutengana sio kuachana, kutengana ni hatua ya kabla ya pande mbili za kifamilia kujaribu kuleta usuluhishi kwa wanandoa A&B au kukamilisha taratibu za kisheria kuachana; kumbuka wanaume wengi wenye busara na hekima huendelea kuhudumia familia zao kwenye phase hii ya kutengana.

2. Kutelekeza hutokea mwanandoa A atamkimbia B bila sababu za msingi wala taarifa bila; bila kumhudumia B na kwenda kuishi na kimada C. Kimsingi A anakimbia majukumu yake ya kifamilia hata kama C hataingia kwenye picha hali halisi ya kutekeleza inashinikizwa zaidi na kukimbia majukumu ya kifamilia.
Tukirudi kwa Dr. Slaa yeye ametelekeza familia si tu kwa kumkimbi B na kwenda kuishi na C kesi inahusisha mpaka watoto; watoto wa Dr. Slaa ni wakubwa na wanajua nini kimewatokea kwenye maisha yao huna haja ya kujidhalilisha kumtetea mzinifu Dr. Slaa; au pia hujui nini maana ya neno ndoa?

Chama
Gongo la mboto DSM

Hapa Mkuu wangu umemaliza kila kitu inagawaje nafahamu fika kwamba leo hii jmushi1 ameamua tu kujitia hamnazo wakati zipo tele!!
 
NasDaz
Thank man. acha niachane na huyo mpuuzi nilisubiri sana data kwenye post ya Nyerere lakini hukurudi

Chama
Gongo la mboto DSM

Ile ni never die post....issue zake ni issue hai hivyo lazima itauhishwa tu!
 
Jmushi
Narudia tena kiswahili unakijua vizuri tatizo linapokuja pale unapojaribu kupindisha lugha sanifu ya kiswahili ili kujenga hoja ya kutetea uozo wa Dr. Slaa; labda nijaribu kukuelewesha maneno haya ya kiswahili KUTENGANA NA KUTEKELEZA nitatumia wanandoa A kama mume na B kama mke.
1. Wanandoa A&B baada ya kutokea kutoelewana wanaamua kutengana sio kuachana, kutengana ni hatua ya kabla ya pande mbili za kifamilia kujaribu kuleta usuluhishi kwa wanandoa A&B au kukamilisha taratibu za kisheria kuachana; kumbuka wanaume wengi wenye busara na hekima huendelea kuhudumia familia zao kwenye phase hii ya kutengana.

2. Kutelekeza hutokea mwanandoa A atamkimbia B bila sababu za msingi wala taarifa bila; bila kumhudumia B na kwenda kuishi na kimada C. Kimsingi A anakimbia majukumu yake ya kifamilia hata kama C hataingia kwenye picha hali halisi ya kutekeleza inashinikizwa zaidi na kukimbia majukumu ya kifamilia.
Tukirudi kwa Dr. Slaa yeye ametelekeza familia si tu kwa kumkimbi B na kwenda kuishi na C kesi inahusisha mpaka watoto; watoto wa Dr. Slaa ni wakubwa na wanajua nini kimewatokea kwenye maisha yao huna haja ya kujidhalilisha kumtetea mzinifu Dr. Slaa; au pia hujui nini maana ya neno ndoa?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu unachagua vya kujibu base on your beliefs.Kama walishatengana,hiyo inatosha.Na haitafsiriki kuwa ni kutelekezana.Swala ambalo hutaki kujibu,ni muda anaodai kuwa katelekezwa,kutelekezwa kwenyewe ni kupi?na why now?
.Je una uhakika kuwa he has never provided for his kids?Pia unajuwa sana kuhusu hiyo ndoa yao,unaweza kuniambia ilifungwa wapi?kuna makaratasi yaliyopigwa saini?
 
NasDas,kama unadai aliyesema ni miss Kamili,mbona unazungumza kwa conviction kama vile unafahamu all the details?Josephine keshazungumza hapa,miss Kamili ndo wewe?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unachagua vya kujibu base on your beliefs.Kama walishatengana,hiyo inatosha.Na haitafsiriki kuwa ni kutelekezana.Swala ambalo hutaki kujibu,ni muda anaodai kuwa katelekezwa,kutelekezwa kwenyewe ni kupi?na why now?
.Je una uhakika kuwa he has never provided for his kids?Pia unajuwa sana kuhusu hiyo ndoa yao,unaweza kuniambia ilifungwa wapi?kuna makaratasi yaliyopigwa saini?

Jmushi1
Mkuu huna haja ya kuendelea kuuliza maswali ambayo majibu yake yapo hebu rejea kwenye madaia yaliyofunguliwa yasome majibu yote ya maswali yako; hapo nimejibu hoja zako kwa ufasaha au unataka tutafute kamusi ya kiswahili? Unaendelea kuuliza vitu ambavyo havina mantiki; kumtetea mzinifu ni kazi hasa pale anapoanika uchafu wake hadharani.

Mkuu Chama,mtu aliyetelekezwa hakwenda ustawi wa jamii(kama bado ipo)anakuja kugundua katelekezwa baada ya kuona Dr anataka kufunga ndoa,hakuwa na shida alipopata mtoto,hakuona amatelekezwa wakati wanashiriki kampeni na Josephine,ndo maana nikawa nawauliza why now?muda wote huo wakati kila mmojawao kesha move on alikuwa kimya.Amejiaibisha yeye mwenyewe.
 
Hapa Mkuu wangu umemaliza kila kitu inagawaje nafahamu fika kwamba leo hii jmushi1 ameamua tu kujitia hamnazo wakati zipo tele!!

Mkuu NasDas,huyu mama ametumika katika ku divert attention ya wananchi kwenye issue muhimu za Taifa,tena kwanza ametumika wakati kuna matukio kama hayo ya msitu wa Pande?na wengine kufuatiliwa na usalama wa maisha yao kuwa hatarini?nimemtoa maanani kabisa huyu mama,kwanza si alikuwa ccm huyu?
 
Hapa tusitetee kabisa, jamani lile zee nalo kutuletea hizi habari za mchumba ni uchuro!

Kwanini hamsemi kweli? ni hawara yake.

Kuwa na kiongozi asiyewajali hata wanawe wa kuwazaa ni janga kwa anaowaongoza na kila anekubali hilo ni jinga.

Slaa anaonesha wazi kuwa ni mtu wa uchu na tamaa, kaanza kwa kushindwa u padri? kama si uchu na tamaa ni nini?

Kisha akatoka CCM eti kwa kuwa hajashinda kura za maoni, kama si uchu na tamaa ni nini?

Kisha kachukuwa mke wa mtu na ilahali ana mkewe? kama si uchu na tamaa ni nini?

Sasa tunaona kuwa kumbe hata watoto zake hawatazami, kama si uchu na tamaa ni nini?

Hukumu ya uzinifu ki kanoni ni ipi?

na hao wenye wake lukuki japokuwa kwa upande wangu ni wazinifu pia uchu na tamaa utaviweka kando nao?hivi ni wachangiaji wangapi wana toka nje ya ndoa ni vizuri mtu hajitathmini kwanza kabla ya kuanza kuyatolea povu maisha ya wenzie
 
Hao kina nani? hapa anaongelewa Slaa, wewe kama unawajuwa wengune weka data zao na wao tuwafunde maadili ya utu ni nini.

Ikiwa kuna wanaofanya dhambi kwa hiyo ndio tiketi ya wewe nawe kufanya dhambi?
 
Mkuu Chama,mtu aliyetelekezwa hakwenda ustawi wa jamii(kama bado ipo)anakuja kugundua katelekezwa baada ya kuona Dr anataka kufunga ndoa,hakuwa na shida alipopata mtoto,hakuona amatelekezwa wakati wanashiriki kampeni na Josephine,ndo maana nikawa nawauliza why now?muda wote huo wakati kila mmojawao kesha move on alikuwa kimya.Amejiaibisha yeye mwenyewe.

jmushi1;
Mkuu ulisahau kwamba Dr. Slaa alijaribu kumziba mdomo kwa ubunge wa viti maalumu? Je yeye unataka tuamini kuwa Dr. Slaa hajui majukumu ya kuihudumia familia hasa watoto; kumbuka Dr. Slaa alikuwa padri wapo wanandoa walikuwa wanakwenda kumuona "baba paroka" Slaa kwa ushauri au usuluhishi na wengine walikuwa wanakwenda kuungama kwake; je leo hii unataka kusema wale waliokuwa wanakwenda kuungama na kusikiliza ushauri wake warudie kuungama kwao inaonekana baba paroka alikuwa hajui alichokuwa anashauri; unauliza why now? sheria za kanisa zinaruhusu kuweka pingamizi kwenye ndoa ndio sababu ndoa inabidi itangazwe; kama kanisa lingekuwa linarusu watu kuweka pingamizi dhidi ya watu wanaoishi na vimada nina uhakika Rose angeweka pingamizi dhidi yao; anayejiabisha ni Dr. Slaa kwani amonyesha ni mdhaifu mkubwa katika mambo ya ngono; bado nashindwa kuelewa padri huyu aliweza kuwa anahubiri mapendo kwa familia wakati yeye mwenyewe kaitekeleza familia yake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu NasDas,huyu mama ametumika katika ku divert attention ya wananchi kwenye issue muhimu za Taifa,tena kwanza ametumika wakati kuna matukio kama hayo ya msitu wa Pande?na wengine kufuatiliwa na usalama wa maisha yao kuwa hatarini?nimemtoa maanani kabisa huyu mama,kwanza si alikuwa ccm huyu?

jmushi1;
Hii habari ina tija kwa taifa, Chadema ndio walalamikaji wakubwa kuwa viongozi wa serikali hawana maadili; je Slaa huyu huyu ambaye tayari ana dosari kubwa za kimaadili akiwa serikalini si utakuwa ni mwendelezo wa yale mnayo lalamikia sasa? Taifa linahitaji viongozi safi wenye maadili na si wavunja ndoa za watu na wazinifu.

Slaa hajavunja ndoa ya mtu,ni huyu **** mshumbusi kakomalia kwasababu either Slaa ni maarufu ama pia katumiwa na chama pinzani.Hizo mnazoziita dosari za kimaadili,ni nyie mnazipandikiza.Katika historia yake ya kutumikia wananchi,sijazisikia hizo dosari.Hayo mambo ya dini ni btn yeye na Mungu wake anayemwamini,mbona wakristo hawana shida na watu wenye wake lukuki wazioweza kuwatunza kwasababu tu ya vigezo vya dini yao?kama tungekuwa hatuvumiliani kwenye mambo ya imani,basi watu wa dini za tofauti wangetumia mifano kama hiyo na kwa wakristo mke zaidi ya mmoja inaweza kuhesabika kama uzinifu.
 
jmushi1;
Mkuu ulisahau kwamba Dr. Slaa alijaribu kumziba mdomo kwa ubunge wa viti maalumu? Je yeye unataka tuamini kuwa Dr. Slaa hajui majukumu ya kuihudumia familia hasa watoto; kumbuka Dr. Slaa alikuwa padri wapo wanandoa walikuwa wanakwenda kumuona "baba paroka" Slaa kwa ushauri au usuluhishi na wengine walikuwa wanakwenda kuungama kwake; je leo hii unataka kusema wale waliokuwa wanakwenda kuungama na kusikiliza ushauri wake warudie kuungama kwao inaonekana baba paroka alikuwa hajui alichokuwa anashauri; unauliza why now? sheria za kanisa zinaruhusu kuweka pingamizi kwenye ndoa ndio sababu ndoa inabidi itangazwe; kama kanisa lingekuwa linarusu watu kuweka pingamizi dhidi ya watu wanaoishi na vimada nina uhakika Rose angeweka pingamizi dhidi yao; anayejiabisha ni Dr. Slaa kwani amonyesha ni mdhaifu mkubwa katika mambo ya ngono; bado nashindwa kuelewa padri huyu aliweza kuwa anahubiri mapendo kwa familia wakati yeye mwenyewe kaitekeleza familia yake.

Chama
Gongo la mboto DSM
Siyo lazima iwe Slaa alimziba mdomo miss Kamili,pengine chama chake kiliamuwa kumsaidia katibu mkuu ili aweze kuwatumikia wananchi na chama bila ya distractions.
 
Slaa hajavunja ndoa ya mtu,ni huyu **** mshumbusi kakomalia kwasababu either Slaa ni maarufu ama pia katumiwa na chama pinzani.Hizo mnazoziita dosari za kimaadili,ni nyie mnazipandikiza.Katika historia yake ya kutumikia wananchi,sijazisikia hizo dosari.Hayo mambo ya dini ni btn yeye na Mungu wake anayemwamini,mbona wakristo hawana shida na watu wenye wake lukuki wazioweza kuwatunza kwasababu tu ya vigezo vya dini yao?kama tungekuwa hatuvumiliani kwenye mambo ya imani,basi watu wa dini za tofauti wangetumia mifano kama hiyo na kwa wakristo mke zaidi ya mmoja inaweza kuhesabika kama uzinifu.

Jmushi1,
Bado unazidi kujikanyaga; unaposema sema ametumiwa na chama pinzani unamaanisha CCM ndiyo iliyompa ubunge wa kuteuliwa? Sioni unaihusishaje CCM na suala hili; inawezekana kama ni kutumiwa hata ndani ya Chadema wanaweza kumtumia wapo watu wanaotaka kuwania uraisi 2015 kwa usikimbilie kuilaumu CCM wakati ya Chadema kuna mafia wengi sana; hebu rudi kwenye Biblia kwenye waraka wa mtume Paulo soma utapata maana kamili ya ndoa na zinaa naona bado yanakutatiza kidogo. Tunachotaka ni kiongozi bora; ukiashaanza kuongopa kwa Mungu wako je kwetu sisi si itakuwa balaa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Siyo lazima iwe Slaa alimziba mdomo miss Kamili,pengine chama chake kiliamuwa kumsaidia katibu mkuu ili aweze kuwatumikia wananchi na chama bila ya distractions.

jmushi1
Hebu fafanua unataka kusema Chama kiligawa ubunge kwa Mrs Slaa kama pipi ili katibu mkuu aweze kuwatumikia wananchi bila distractions aua ndio unaendelea kunithibitishia ndani ya Chadema maadili hakuna?

kama alikuwa na qualifications sioni ubaya,wewe ulitaka atelekezwe?
 
Jmushi1,
Bado unazidi kujikanyaga; unaposema sema ametumiwa na chama pinzani unamaanisha CCM ndiyo iliyompa ubunge wa kuteuliwa? Sioni unaihusishaje CCM na suala hili; inawezekana kama ni kutumiwa hata ndani ya Chadema wanaweza kumtumia wapo watu wanaotaka kuwania uraisi 2015 kwa usikimbilie kuilaumu CCM wakati ya Chadema kuna mafia wengi sana; hebu rudi kwenye Biblia kwenye waraka wa mtume Paulo soma utapata maana kamili ya ndoa na zinaa naona bado yanakutatiza kidogo. Tunachotaka ni kiongozi bora; ukiashaanza kuongopa kwa Mungu wako je kwetu sisi si itakuwa balaa?

Chama
Gongo la mboto DSM
aliyetumiwa mwingine ni Mushumbusi,ama husomi ninachoandika?Kwenye uongozi bora,Slaa yuko juu.
 
Back
Top Bottom