Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Ilikuwaje Dr. Slaa aachane na mke wake kinyume na maadili ya kanisa linasema ndoa haivunjiki mpaka kifo? Je hii haioneshi kuwa Dr. Slaa hana uadilifu? Tunaomba atuambie kwanini aliachana na mke wake?
 
Hii story inanikumbusha issue ya Lyatonga mrema miaka ile na sakata la mtalaka wake....Thou mwisho wa siku haya mambo yako too personal.

Ndoa ni makubaliano na watu wawili yaan mume na mke na pale inapoonekana mmoja kati ya hawa amechoka au upendo wake kwa mwenzake aupo tena kwasababu ambazo anazijua yeye kuna taratibu ambazo zinafuata na katika ngazi usika.

CCM hata mkisponsor hiyo show ya Rose Kamili mkidhani kuwa mtawapoteza lengo au kupata point majukwani Laaahasha mnajidanganya coz kama ingekuwa Issue za Unyumba(Ndoa) zina mashiko basi aliyepita na aliyepo sasaivi wasingekuwepo coz profile zao zinafahamika vyema.
 
Ilikuwaje Dr. Slaa aachane na mke wake kinyume na maadili ya kanisa linasema ndoa haivunjiki mpaka kifo? Je hii haioneshi kuwa Dr. Slaa hana uadilifu? Tunaomba atuambie kwanini aliachana na mke wake?

Sababu za yeye kuachana na mke wake ni siri yake kama ilivyokuwa sababu za yeye kuoana na mke wake.Jipange vizuri kijana!
 
Mmmh!

Hii inakuja siku mbili baada ya kuipa ukweli serikali!

Inawezekana ni kweli.

Lakini sijawahi sikia mtu akishitakiwa na X wake kisa mchumba mpya!

Hapa tusitetee kabisa, jamani lile zee nalo kutuletea hizi habari za mchumba ni uchuro!

Kwanini hamsemi kweli? ni hawara yake.

Kuwa na kiongozi asiyewajali hata wanawe wa kuwazaa ni janga kwa anaowaongoza na kila anekubali hilo ni jinga.

Slaa anaonesha wazi kuwa ni mtu wa uchu na tamaa, kaanza kwa kushindwa u padri? kama si uchu na tamaa ni nini?

Kisha akatoka CCM eti kwa kuwa hajashinda kura za maoni, kama si uchu na tamaa ni nini?

Kisha kachukuwa mke wa mtu na ilahali ana mkewe? kama si uchu na tamaa ni nini?

Sasa tunaona kuwa kumbe hata watoto zake hawatazami, kama si uchu na tamaa ni nini?

Hukumu ya uzinifu ki kanoni ni ipi?
 
Hapana ila Rose Anataka matunzo ya watoto na mali zile walizochuma wote wagawane pasu pasu.

Sasa hayo mambo ya Matunzo ya watoto si aende Ustawi wa Jamii!sasa akiweka pingamizi mahakamani ili Dr. asifunge ndo inahusiana nini na matunzo ya watoto?Hao watoto wako wapi na wanaumri gani?Ni kweli ameshindwa kuwatunza?Lets be serious
 
Sababu za yeye kuachana na mke wake ni siri yake kama ilivyokuwa sababu za yeye kuoana na mke wake.Jipange vizuri kijana!

Usiseme uongo hajaoa mke wa pili, anaishi na mke wa mtu na amemuweka kama kimada hawara yake, hajaoa. Ki kanoni hakuna sababu za siri za kuwacha mke, usipotoshe umma.
 
...maswala ya Sacrament ukae ukijuwa sio woote ni wa imani unayoifuata wewe, au hao wenzio ambao dini zenu zililetwa na Meli za wakoloni...fahamu kuwa kuna watu mpaka leo wako na Imani za asili na wanafuata ndoa za kimila....
Hahahahhaha, umenichekesha mkuu!!
 
zomba Usirushe mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya kioo....Mwenyekiti wako yupo sawa?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hayo mambo ya Matunzo ya watoto si aende Ustawi wa Jamii!sasa akiweka pingamizi mahakamani ili Dr. asifunge ndo inahusiana nini na matunzo ya watoto?Hao watoto wako wapi na wanaumri gani?Ni kweli ameshindwa kuwatunza?Lets be serious

Wewe unajuwa kuwatunza watoto ni kuwapa pesa za maziwa tu? Huyu Slaa hafai hata kuongoza nyumba moja wacha kuongoza chadema.
 
Usiseme uongo hajaoa mke wa pili, anaishi na mke wa mtu na amemuweka kama kimada hawara yake, hajaoa. Ki kanoni hakuna sababu za siri za kuwacha mke, usipotoshe umma.

Uongo wangu uko wapi hapo?Wewe Sababu za kuoa/kuolewa ni siri ya muoaji kama hivyo ndivyo hatakuacha pia.Mume pata chakuzungumza eh!Mbona zile za Mwenyekiti wenu huwa mnazipotezea
 
Yaani wana-CHADEMA mna mahaba ya ajabu kama sio ya kushangaza!! Yaani kwenu Dokta Slaa ni kama mungu ambae ni kufukuru kumsema kwa mabaya!!! Tuache ujuha....mapenzi yetu kwenye vyama vya siasa si busara hata kidogo kututia upofu na kujifanya hamnazo!! Jambo la msingi hapa ni kuangalia uhalali wa madai badala ya kuleta siasa!
1. Kweli Dr Slaa amezaa na Bi. Rose?
2. Kweli Dr Slaa amemkimbia Bi. Rose?
3. Kama Na. 1 above ni sahihi, je ni kweli Dr Slaa hatoi matunzo kwa familia yake?...

Hatujaelezwa hapa mambo mengi mkuu!! pamoja na hayo cha msingi ni kupata ukweli kutoka kwa wahusika. Wengine tunachokifanya hapa ni kupinga hili suala kuwa kete ya kisiasa!!
 
Wewe unajuwa kuwatunza watoto ni kuwapa pesa za maziwa tu? Huyu Slaa hafai hata kuongoza nyumba moja wacha kuongoza chadema.

Hayo Ni mawazo yako uwezi kulazimisha wananchi katika hilo unaloamini wewe kama ndiyo hiyo Mwenyekiti wako naye hakustahili au unafikiri watu hawajui?
 
Kama mtu huna talaka huwezi kuondoka kwako,na kama mwanaume hajatoa talaka hawezi kuleta mtu ndani ya nyumba ile ile,kwa ufupi wote wawili ni wazinzi.
Habari zao zimevuja kutokana na umaarufu wao,kwa ufupi wote wana matatizo ya kifamilia,siyo mfano wa kuigwa na hawastahili kusuluhisha tatizo lolote la kifamilia(ndoa).
Wanaishi kibabe tu.Kwani kuna tatizo gani kuitwa shaurini ili kumaliza matatizo yao na baada ya hapo waishi maisha safi ya ndoa?.
 
Pro-Chadema JF mnakuwa na mapenzi mabaya sana sasa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa gani? Madai yake ya msingi.

Mumepata Talk of the Day.......hili haliwaondolei madhambi yenu mbele ya Umma.Hili nalo litapita.Hivi yule Jamaa mliyempa pesa ya kumfungulia Kesi Dr. slaa kuhusu Josephine na mkamlipa mpaka mwanasheria yule zoba aliyekuwa anagombea udiwani ubungo aliamwaribie Dr. Iliishia wapi?
 
Hayo Ni mawazo yako uwezi kulazimisha wananchi katika hilo unaloamini wewe kama ndiyo hiyo Mwenyekiti wako naye hakustahili au unafikiri watu hawajui?

Usitake kuchakachuwa, huyu Slaa ni mzinzi tena inafaa hata wananchi tumshitaki kwa kutumia pesa zetu za kodi kumlipia hawara yake hoteli, hausigeli na walinzi. Source ni TUNTEMEKE.
 
Usitake kuchakachuwa, huyu Slaa ni mzinzi tena inafaa hata wananchi tumshitaki kwa kutumia pesa zetu za kodi kumlipia hawara yake hoteli, hausigeli na walinzi. Source ni TUNTEMEKE.

Hilo la Uzinzi mwenye mamlaka ya kuhukumu ni mungu peke yake....Zomba kama unahisi kuwa ujawahi kuzini na unahofu ya mungu kamfungulie Dr. slaa kesi
 
Kama hawajafunga ndoa,those children out of wedlock stand illegitimate and support of the children remains with concubine mother.That's all.

after all she's capable of handling them, yet Dr. Slaa did not refute parentage!
 
Mmmh!

Hii inakuja siku mbili baada ya kuipa ukweli serikali!
Lakini sijawahi sikia mtu akishitakiwa na X wake kisa mchumba mpya
Inawezekana ni kweli.

Hawa hawkuwa wachumba ila mtu na mumewe tena walobahatika kupata watoto wawili. tusipotoshe ukweli na kupindisha haki ya huyu mama ati kwa vile tu anayeguswa ni DR Slaa. Akina baba wengi wamekuwa ndo chanzo cha mfumuko huu tuuonao wa watoto wa mitaani. fikiria kama Rose nae angeamua kusepa tayari hapo padri angekuwa ametuletea machokoraa wawili mitaani . tuacheni chombo cha haki mahakama kiamue
 
Back
Top Bottom