tume ya chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Taarifa ya Luhaga Mpina kuhusu Tume ya Chande ya Kuchunguza yaliyotokea 29.10.2025

    BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu ninatoa Maoni na mapendekezo kama ifuatavyo:- (i) Kuundwa Tume Huru chini ya Umoja wa M ataifa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu wa CHAUMMA: Kuhusu utekaji Tume ya Chande ingekwenda mbali zaidi. Kwani utekaji ni mapenzi tu?

    Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza leo amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapaswa kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu sababu zinazochangia vitendo hivyo vya utekaji ikiwa ni pamoja na sababu za kisiasa. Alibainisha kuwa hadi sasa, sababu zilizotajwa ni mapenzi, biashara, na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  4. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Hii Tume ya Jaji Chande ni ya kwanza kukataliwa na Wananchi katika Historia ya Tanzania. Hata CHAWA wameikataa

    Ukweli utabaki kuwa ukweli na Uongo utabaki kuwa uongo. Tume ya Jaji Chande kwa kweli haijapokelewa vizuri na wananchi. Ripoti imekuja na maswali mengi kuliko majibu na mkutano wao wa jana tarehe 28 April ndiyo naona kama imekoleza moto zaidi. Kwa ujumla hii ripoti imekataliwa hata na MACHAWA...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Juma: Kuna Matukio ambayo tuliletewa kama ya Oktoba 29 lakini wataalamu wakaonyesha video zimechakachuliwa ni za Gaza

    Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Hatujaweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani kuonekana kupiga risasi

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo. Balozi Mella amesema kuwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Juma: Uhuru wa Tume hautegemei ni nani au nani alikuwa anafanya kazi gani

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Naomba mshahara wa Rais uwalipe wajumbe wa tume ya Chande maana ripoti ni yake, na kwa Nini mmeirusha hewani?

    CAG natarajia ripoti ijayo utwambie fedha zilizotumika kulipa hii tume ni Kodi zetu au ni fedha za Rais Samia binafsi? Tafadhali kama ni Kodi zetu tume itupe ripoti kama alilipa kwa fedha zake binafsi mpeni hiyo ripoti akae nayo ndani mwake na akitoka madarakani aondoke nayo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande. Imevunja Umoja wa Tanganyika na Zanzibar

    Tunzeni hii kumbukumbu
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tukubali Tume ya Chande Inapoteza Muda , hivi inachunguza nini kisichojulikana?

    Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya katiba ya nchi na katiba ya CCM kuvurugwa . Samia kwa makusudi na kwa kujua analolifanya ni kosa na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kundi linaipongeza Tume ya Chande hata kabla ya ripoti kutolewa, linaichafua Tume ya Chande

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza 1. Lipo kundi limeipinga tume ya Jaji Chande tangu kuundwa kwake. Sababu yao kuu ni muundo wake na jinsi ilivyopatikana. Hawa wana haki hata ya kukataa matokeo ya tume pale itakapotolewa hadharani. 2. Lipo kundi la pili linalokosoa uamuzi wa kuunda tume hii...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wanatapatapa mpaka wanaiombea Tume ya Chande Dua! Watanganyika hatutakubali hiyo ripoti ya mchongo!

    Wakuu, Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂 Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande

    Ibrahim Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande. Lipumba amesema Tume ya Chande ilienda kufanya kazi ambayo majibu yashatoka. Amesema Mama Samia alisema watu walipewa fedha, Watu walitaka kupundua Serikali nk. Sasa kama chanzo cha vurugu...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande imekataliwa karibu na Jumuiya zote za kimataifa, hakuna atakayeamini matokeo yake

    UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society. EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all...
Back
Top Bottom