Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA leo Septemba 19, 2026 akitoa maadhimio ya Kamati Kuu ya chama hicho, amesema;
“Tume ya Jaji Chande ilikuwa ni batili na kazi zote zilizofanywa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na ilikiuka ibara ya 27(1)(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo
yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
chandejajijajichande
kamati
mapendekezo
ndogo
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tumetumeyajajichande
utekelezaji
watano
Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha?
Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa
uovu waa CCM mtandao.
Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu.
Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka.
Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya...
Ripoti ya Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman iliyowasilishwa kwa Rais tarehe 23 Aprili 2026 imependekeza Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028, itumike katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na Uchaguzi Mkuu 2030.
Wengi tumeishia kwenye tarehe. Mimi nimesimama kwenye kifungu...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na kueleza sababu zilizochangia kutokea kwa maandamano na kusababisha uvunjifu wa amani nchini.
“Jaji...
Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili
Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu?
Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA NA KESI ZA JINAI ZINAZOMKABILI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU.
11 Mei 2026, Dar es Salaam
1.0...
CCM OYEEE ,Kazi na Utu tunasonga mbele.
Watanzania tume ya uchunguzi ya matukio ya octoba 29/2025 ya jaji chande ilishamaliza kazi yake na Ripoti ilishawasilishwa kwa mheshimiwa Rais .
Hii tume ni ya watanzania ,na Mambo na uchunguzi umefanywa na wanasheria wetu nguli wakiongozwa na jaji jaji...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akichambua ripoti ya Kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi ameeleza kuwa Tume hiyo haikuwa na mamlaka kisheria kutoa amri ya kuchunguza vifo, bali ilitakiwa kufanya kwa amri ya mahakama ya uchunguzi wa vifo “Coroner’s...
Tume ya Chande imeeleza kuwa viashiria vya maandamano vilianza miezi 6 before - kauli hii imehoji uwezo wa TISS, are they really capable na espionnage kubaini na kuchukua neccesary Measure ! -Hii ni Hatari kubwa sana
Kauli ya Chande kuwa kulikuwa na training za watu kujifunza uasi na ulipuaji -...
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa...
Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na ni wabobevu wa Kimataifa.
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema hawakubaliani na pendekezo la tume hiyo kutaka iundwe tume nyingine ya kuchunguza jinai, badala yake...
Wakili Peter Madeleka akizungumzia ripoti ya Jaji Chande, amesema kuwa tume hiyo haikuwa na mamlaka yoyote kisheria kumwamrisha pathologist kwenda kuchunguza vifo vya wanaodhaniwa kufa kwa mashaka, badala yake ilitakiwa kufanywa na anayeitwa coroner chini ya “Coroner’s Court”
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.