ripoti ya tume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Hofu Yatumiwa Kunyamazisha Wananchi

    Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu nguvu ya msingi ya kidemokrasia ya taifa, ni kuua sauti ya wengi ili kutawala kwa nguvu za wachache...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya Wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwachochea wananchi kushiriki vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Amani na Maridhiano

    Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia. #TumeImesikilizaWananchi #TumeYaUchunguziReport Ripoti Ya Maridhiano
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Kundecha: Wanaopinga Ripoti ya Tume ya Jaji Chande walihusika katika uchochezi

    Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid: Tume imefanya kazi kubwa kwa uadilifu na kisayansi, kelele zilizokuwa zinapigwa siyo za kweli

    Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hammad Rashid amesema kuwa Tume ya Uchunguzi imefanya kazi nzuri ya kuleta ripoti ambayo imeonesha wapi kama taifa lilikosea na namna gani ya kusonga mbele kwa sasa. Hamad Rashid amesema hayo wakati akizungumza na wanahabari Dar es salaam ambapo amesema ripoti hiyo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MwanaHALISI: Pamoja na Ripoti ya Tume kutoka, ICC Haikwepeki

  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Njia ya Tanzania Yenye Haki na Amani

    Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa kudumu. #UwajibikajiWaHaki #TumeYaUchunguziReport Haki Na Amani
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania WanaJF wenye Access na DW Radio,msikose kusikiliza DW Radio leo Saa 12:00 Jioni,kuna uchambuzi Kamambe wa Ripoti ya Tume ya Jaji Chande!,Usikose!

    Wanabodi This is News Alert! Wale wana JF wenye access kusikiliza DW Radio,msikose kusikiliza DW Radio leo jioni kuanzia Saa 12:00 jioni,kuna uchambuzi kamambe wa mchambuzi mahiri,wakiichambua Ripoti ya Tume ya Jaji Chande!. https://youtube.com/shorts/kdSMhXXw9Ig?si=abT3oqW2IS3D8XMS DW...
  10. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ripoti ya Tume kuhusu matukio ya Oktoba 29 iliyokabidhiwa tarehe 23 mwezi huu imeibua mjadala mkubwa na kwa sababu za msingi kabisa

    Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za kutosha kabla ya tukio, lakini badala ya mamlaka kusikiliza na kuchukua hatua za mapema, kulionekana...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini TEC hawakutoa ushirikiano kwa Tume ya Jaji Chande?

    Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?. Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti Ya Tume: Mwongozo Wa Mustakabali

    Kwa pamoja Watanzania wanaweza kujenga mustakabali imara. Ripoti ya Tume inatoa mwongozo wa kurekebisha na kuwajibisha wahusika. Mshikamano wa kitaifa ndio ufunguo wa amani ya kudumu.#RipotiYaChandeTume Ya Uchunguzi
  14. 888I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilivyoielewa Hotuba ya Jaji Chande

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hapa chini ni mambo matano (5) ya niliyoyaona kutokana na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatangaza Hatua Kufuatia Ripoti ya Tume

    kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo 1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya na migawanyiko iliyopo na kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa 2. Tutatekeleza mapendekezo ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  18. H

    JamiiForums Tanzania JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI

    JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman, akiwasilisha Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo mbele ya Rais wa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Jaji Chande kwa Ripoti ya Tume

    Uadilifu wa Jaji Chande ulioonekana katika majukumu yake ya Umoja wa Mataifa umechangia pakubwa katika kazi ya Tume Ya Uchunguzi 29 Oktoba . Ripoti itakuwa huru, yenye mamlaka na itakidhi matarajio ya wananchi wa kupata ukweli wa kilichotokea. #TumeYaUchunguziReport RipotiYaChande Ukweli Na Haki
Back
Top Bottom