tume ya uchunguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026

    Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini na moja (21) na kuitaka ikamilishe kazi kabla au ifikapo Aprili 24, 2026. Mamlaka hiyo imeeleza...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande imekataliwa karibu na Jumuiya zote za kimataifa, hakuna atakayeamini matokeo yake

    UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society. EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

    Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea. Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fr. Kitima: Tume ya uchunguzi haina maana kama hatujakiri watu waliuawa tena kwa risasi za moto. Nani aliwaua?

    "Katika kuonesha hilo mnaloliita maridhiano, lazima kwanza kutikiri watu waliuawa na risasi za moto na nani? Swali hilo likijibiwa ndiyo hapo tutahitaji tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na anayeshukiwa kwamba alihusika kuua" - Padre Charles Kitima Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Rais inachunguza nini kwa miezi mitatu?

    Tume Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan imepewa miezi mitatu kutekeleza majukumu yake. Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mohamed Chande Othman ina wajumbe wengine ambao ni...
  7. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The Complementarity Principle. Kanuni hii (The Complentarity Principle) imetajwa kwenye aya ya kumi ya...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Weka utabiri wako juu ya majibu yatakayotolewa na tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025

    Utabiri wangu ni huu; 1) Hakukuwa na Maandamano bali matendo ya uvunjifu wa amani 2) Jeshi la polisi katika kujihami lilitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji 3) Jeshi la polisi halikuhusika kabisa katika mauaji ya watanzania ila video zinazosambaa mtandaoni ni za Al na...
Back
Top Bottom