vurugu za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Vurugu za Uchaguzi wa Mwaka Jana hata Marekani isingeruhusu ziendelee. Kwa Sababu lilikuwa ni Jaribio la Mapinduzi ya Serikali na Kuangamiza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Japo ni ukweli Mchungu Lakini ni lazima Tukubali Ukweli kuwa yale hayakuwa maandamano ya Amani wala hayakupangwa kuwa maandamano ya Amani wala wapangaji na waandamanaji hawakudhamiria kuandamana kwa Amani. Tukubali ukweli kuwa yale yalikuwa ni Majaribio ama lilikuwa ni...
  3. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe na kuunganishwa kwenye kesi za Lissu kwa kauli zake zilizochochea vurugu za uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Inapaswa kwa sasa asiwepo Mitaani,inapaswa awe ndani ,inapaswa awe kwenye ulinzi mkali wa Magereza ,inapaswa awe kwenye Mfululizo wa mahojiano na kujibu mashitaka ya kauli zake za kuchochea vurugu wakati wa uchaguzi,anapaswa kuunganishwa katika kesi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hatujapewa muda wa ziada ili kuchakachua ripoti ya vurugu za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti yake. Akizungumza, Jaji Chande alisema sababu za kuomba kuongezewa muda wa siku 21 ni pamoja na ukubwa...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 7 wafariki kwenye vurugu za Uchaguzi nchini Uganda

    Takribani watu 7 wameuawa katika vurugu zilizotokea usiku kwenye eneo la katikati mwa Uganda baada ya uchaguzi mkuu ambao unaendelea nchini humo Matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yanaonesha Museveni akiongoza kwa zaidi ya asilimia 75 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Reuters: UN yasema mamia ya raia waliuawa kwa makusudi kwenye vurugu za Uchaguzi wa Tanzania

    1. Vurugu Kubwa na Mauaji Yasiyo ya Kisheria Mnamo Oktoba 29-31, baada ya wagombea wa upinzani kuondolewa katika uchaguzi, vurugu za kisiasa ziliibuka katika miji ya Mwanza, Dar es Salaam na Arusha. Polisi walipiga risasi raia wasiohusika na kuwaua mamia ya watu, tukio lililoharibu sifa ya...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  10. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  11. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako anashikiliwa kituo cha Polisi kwa vurugu za Uchaguzi, uza chochote ukamtoe kwa gharama yoyote!

    Nimeona nishee huu ujumbe, nimeupata mahala...hii ni kwa yeyote yule mwenye mpendwa wake anaeshikiliwa kutokana na vurugu za uchaguzi.... Uza kitu chochote! chonde chonde! NARUDIA!!! Uza hata mfugo wowote uliopo!, mtoe nduguyo ndani kabla mambo hayajaharibika zaidi! Lile li-kesi li-kubwa la...
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group: Wanasiasa hawahusiki na umiliki wa vituo vyetu vya mafuta

    Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania 17 washtakiwa kwa Uhaini Dodoma, idadi yafikia watu 162 nchi nzima

    Idadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka. Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer). Sasa, Jamhuri imeongeza watu wengine 17 kwa tuhuma hizo hizo, na kesi yao itaendeshwa na Mahakama ya Dodoma. Pia...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Papa asema mamia wameuwawa Tanzania kwa vurugu za Uchaguzi

    Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango atoa rai, wazazi kuwaepusha watoto kushabikia vurugu za uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo mara baada ya kushiriki...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka nje ya ukumbi wa uchaguzi Bawacha, Wafuasi wa Lissu na Mbowe wazichapa

    Wakuu Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: DED Sagamiko asema Vurugu Site 1 ni nia ovu dhidi ya Uchaguzi

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1, mtaa wa Mlimwa, Jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom