[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sikiliza Qur'ani tukufu kwa Sauti ya sheikh umpendae kwa kupitia simu yako ya mkononi
1. Shaikh Abu Bakr Al Shatri
Shaikh Abu Bakr Al Shatri
2. Sheikh Ali Alhuthaifiy
Sheikh Ali Alhuthaifiy
3. Sheikh Swalah Albudair
Sheikh Swalah Albudair
4. Sheikh Khaled Al-Qahtani
Sheikh Khaled Al-Qahtani
5. Sheikh Tawfeeq As-Swayegh
Sheikh Tawfeeq As-Swayegh
6. Sheikh Idrees Abkr
Sheikh Idrees Abkr
7. Sheikh Saud Al-Shuraim
Sheikh Saud Al-Shuraim
8. Sheikh Abdulrahman Alsudaes
Sheikh Abdulrahman Alsudaes
9. Sheikh Nasser Alqatami
Sheikh Nasser Alqatami
10. Sheikh Adel Al-Kalbany
http://uongofu.com/index.php/home/k...h-mishari-alafasiy/635-sheikh-adel-al-kalbany
Wasambazie waislamu upate ujira wa kusambaza.
Inaonekana zile funga zenu 40 we hugusi hata moja zaidi ya kujiona upo tu duniani, huamini kingine chochote zaidi ya kujijua wewe tu.Hivi Ramadhan waislamu wanafunga au wanabadili muda wa kula? Na je mnaposema Ramadhan ni mwezi wa kutenda mema je miezi mingine ni ya kutenda mambaya? Asalam Allykum
Kichwa kiko wazi, wengine tukiona hivyo tunakuwa taaban, shungi au hijabu vinatakiwa kuhusikaMbona sina avatar ya mitego jamani!!!
Sijaelewa ,unamaanisha nini?
Mkuu sala haiondoi funga
Hizo ni ibada mbili tofauti
Ila inashauriwa ukifunga uswali maana utapata thawabu nyingi sana
Ila ukifunga na usiswali funga yako inakubalika kama kawaida cha muhimu uwe umetia nia na umejizuia na yale yote yanayotengua funga.
Hivi Ramadhan waislamu wanafunga au wanabadili muda wa kula? Na je mnaposema Ramadhan ni mwezi wa kutenda mema je miezi mingine ni ya kutenda mambaya? Asalam Allykum
hayo maswali yenu zipo thread humu jf hizo mada zimejibiwa naomba mzitafuteHivi wewe mkuu, ule hiyo saa kumi alfajiri ndiiii, tumbo nga nga nga! Utahitaji tena kula mchana? Hamna kufunga hapo... Kufunga ushinde na njaa, wanatujazia ushuzi tu kwenye magari, maana wakishashiba hiyo alfajiri,.. Na wanavyojua kuchanganya vitu, mahindi, Mayai, ugali, mapera,.. Sasa usubiri kujamba tu mchana.. Kila la heri Jamaa zangu watoto wa mama Mdogo,.... Mungu wenu akawape hitaji la moyo wenu, mkapunguze chuki,.
hayo maswali yenu zipo thread humu jf hizo mada zimejibiwa naomba mzitafute
ningewajibu ila najua mnataka ligi so mtaharibu malengo ya huu uzi
bundle ni za kwenu siwapingii cha kupost, tunawaomba wakuu kwa ihsani yenu