Shukrani mkuu kwa ukumbusho mzuri , ni sahihi kabisa hayo.Ndugu zetu Waislam....
Mkiwa mpo mnaendelea na Ibada hii ya funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mkumbuke kuwa kuna Mambo mnatakiwa mjiepushe Nayo.
Kama:-
1.Tabia Mbaya na maneno maovu Mfano wa kusengenya, kusema uongo n.k (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
2.Kulala sana kwani kulala huko kunatupotezea Fursa za kufanya Ibada ya Kusoma Qur an na Ibada Nyenginezo (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
3.Kupoteza wakati mwingi katika michezo na maongezi yasiyo na faida Vijiweni.
Kwa.....
Kucheza Bao, karata na kuacha kuutumia wakati huo katika kazi na ibada mbali mbali Mfano kuhudhuria Darsa Misikiti kipindi cha Swala ya Alasiri au kwa Mujibu wa Ratiba za Masheikh wasimamizi wa Darsa hizo (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
Kabisa mkuuNB : Kuna watu hawastahili kujibiwa na wa kuwapuuza tu kuepusha Shari na mengineyo yasiyo na msingi.
Funga imewajibishwa kwa binadamu wote Sawa lkn ambao wale wameamini Allah ni mmoja tuFunga imewajibishwa kwa wanadamu wote,
NB : Kuna watu hawastahili kujibiwa na wa kuwapuuza tu kuepusha Shari na mengineyo yasiyo na msingi.
NaaaamFunga imewajibishwa kwa binadamu wote Sawa lkn ambao wale wameamini Allah ni mmoja tu
Inshallah kwako pia.Ramadhani njema ndugu zetu
AaaaminNdugu zangu waislam....
-Kufanya israfu katika vyakula na vinywaji wakati wa kufutari tukumbuke kwamba kuna wenzetu wengi nao wanahitajia Vyakula hivyo na Viywaji hivyo hakuna haja ya Israfu na kufanya Fujo katika Chakula (Mwezi huu ).
-Kuacha kuswali Swala ya Tarawekhe ambayo ni Sunna inayopatikana Mwezi wa Ramadhani tu (Mwezi huu ).
Ndugu zangu wapendwa haya ni katika Mambo ambayo Mfungaji anatakiwa ajiepushe nayo zaidi katika Kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani na Muda wake wote wa Maisha yetu .
Tumuombe M/Mungu kwa Ujumla azipokee Ibada zetu na azikubali Funga zetu Amiin....🙏