Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,326
- 3,838
Usilinganishe visivyolingana.Wakikuambia jengo la tanesco ubungo limebomolewa wewe unaamini ukifika pale utakuta nini?
Mbona unapaniki mpaka unachanganya lugha? Kabla ya Mohammad unaamini kulikuwa na kitu kinaitwa masjid?Usilinganishe visivyolingana.
The name “Al Masjid Al Aqsa” refers to the entire sanctuary (144,000 sq metres) and all the buildings in it.
It includes the famous grey domed building (Masjid Qibli), and the gold domed building (the Dome of the Rock), as well as many other buildings within the sanctuary (including Masjid Marwani, Masjid Buraq etc).
The picture below shows the boundaries of Al Masjid Al Aqsa.
Aqsa-IlmFeed
Unfortunately in modern times, many people have mistakenly thought that Al Masjid Al Aqsa is only the silver dome which is located at the southern end of the sanctuary. However this is incorrect. The silver domed building has two specific names: Masjid Qibli (signifying the direction of Qibla), and Jamia Al Aqsa (signifying that it is the place that people gather for prayer). It is preferable to use these names when referring to the silver domed building to avoid any confusion.
To summarise the above, Al Masjid Al Aqsa is actually the entire area of the sanctuary, even though in modern times the name has unfortunately been mistakenly used to refer to just the silver domed building.
The entire sanctuary of Al Masjid Al Aqsa is also known by two other Arabic names: “Bayt Al Maqdis” (House of the Holy) and “Al Haram Al Sharif” (the Noble Sanctuary).
Mbona unapaniki mpaka unachanganya lugha? Kabla ya Mohammad unaamini kulikuwa na kitu kinaitwa masjid?
Hizi Aya zinazungumzia enzi za Wana Israel kabla ya Mtume Muhammad (Upon him be peace and blessings of Allah) zikizungumziwa udhalimu wao mpaka msikiti mtakatifu kuvamiwa.Mbona unapaniki mpaka unachanganya lugha? Kabla ya Mohammad unaamini kulikuwa na kitu kinaitwa masjid?
Umeelewa nilichoeleza hapo? Hizo aya si zimeandikwa na Mohammad? Sasa je nikuulize swali wayahudi walikuwa wanasali wapi?Hizi Aya zinazungumzia enzi za Wana Israel kabla ya Mtume Muhammad (Upon him be peace and blessings of Allah) zikizungumziwa udhalimu wao mpaka msikiti mtakatifu kuvamiwa.View attachment 2931203
View attachment 2931204
Walikuwa wanaswali nani?Ndio kulikuwa na Masjid.
Walikuwa wanaswali Waislam. Masajid zote zipo kwa ajili ya kuabudiwa Allah peke yake.Walikuwa wanaswali nani?
Mayahudi waliolaaniwa hawana haki napo pale muda wa kuwa hawajajisalimisha kwa Allah Peke yake na wakawa Waislam. Na ndio maana walitolewa pale kwa udhalili kwa sababu pale hapapaswi kuwa sinagogi au hekalu la kufanyia ushirikina.Umeelewa nilichoeleza hapo? Hizo aya si zimeandikwa na Mohammad? Sasa je nikuulize swali wayahudi walikuwa wanasali wapi?
Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula dakuHizi Aya zinazungumzia enzi za Wana Israel kabla ya Mtume Muhammad (Upon him be peace and blessings of Allah) zikizungumziwa udhalimu wao mpaka msikiti mtakatifu kuvamiwa.View attachment 2931203
View attachment 2931204
Hijja ni lazima kwa kila muislam mwenye kuweza ,Waungwana naombeni mnipe tofauti ya ibada ya Umra na Hijjah, tafadhali.
Kunuia Nini kufunga Ramadhani au ?Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula daku
Niandikie mkuu nimejikuta nimeisahau na sina vitabu hapa
Tayariwakuu mwezi umeandama au bado?
Nia iko moyoni. Na kuitamka ni uzushi. Wewe nuia moyoni kuwa unafunga. Weka nia katika muda wowote wa usiku kabla muda wa kufunga haujafika.Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula daku
Niandikie mkuu nimejikuta nimeisahau na sina vitabu hapa
Kunuia Nini kufunga Ramadhani au ?
Uhakika ni kwamba hakuna Dua maalumu ya kunuia katika ibada bali nia ni ya moyoni pale moyo wa mtu unapokusudia kufanya ibada Fulani hapo inahesabika tayari kashanuia hata kama hajatamka .
Asalaam alykum.Mkuu samahani nahitaji ile dua ya kunuia baada ya kula daku
Niandikie mkuu nimejikuta nimeisahau na sina vitabu hapa
Yes niandikie mkuuAsalaam alykum.
Hakuna kunuia kwa maneno.
Bali Nia mahali pake ni moyoni Ikhwa.
Labda kama unaulizia dua ya kula daku.
Hii thead inahusu kutakiana mema kwa mfungo wa Ramadhan, kuanza hizo kejeli hapo kutasababisha majibishano yasiyo faa. Unatakiwa umweleweshe mtu kwa upole huku ukichukua tahadhari kuhusu funga yako. Tofautisha Ramadhan na siku zingine za kushindana, japo unamwambia asiharibu Uzi, mbona wewe ndie unaharibu kwa kejeli.?Mayahudi waliolaaniwa hawana haki napo pale muda wa kuwa hawajajisalimisha kwa Allah Peke yake na wakawa Waislam. Na ndio maana walitolewa pale kwa udhalili kwa sababu pale hapapaswi kuwa sinagogi au hekalu la kufanyia ushirikina.
Naam kama herufi wazitambu vzr hii hapa . Hii ni dua baada ya kumaliza kula daku.l, na naona haina tofauti na ile ya kawaida baada ya kumaliza kula.Yes niandikie mkuu