Atahhiyyatu ya kwanzawadau mwenye kujua atahiyatu yakwanza na yapili aniandikie hapa.mana zinanichanganya
Au ugonjwa wa bandama, lina gonga ile ile!! tufuuufuùu!!Maa shaa Allah, nilidhani una vidonda vya tumbo
Attahiyyatu ya kwanza:wadau mwenye kujua atahiyatu yakwanza na yapili aniandikie hapa.mana zinanichanganya
Aamin ,mimi bado naisikilizia hapa nchini ila nakutakia Ramadhani yenye Baraka wewe familia yako na waislamu wote humu na duniani kwa ujumla.Nawatakia kheir ya mfungo wa Ramadhani Waislam wote, alhamdulillah mimi na familia yangu tunajiandaa kuanza mfungo kesho tukiamshwa salama
Tangulia kwa salama, njia yetu ni moja sote.Nawatakia kheir ya mfungo wa Ramadhani Waislam wote, alhamdulillah mimi na familia yangu tunajiandaa kuanza mfungo kesho tukiamshwa salama
asante mkuu vipi mwezi umeandama?Atahhiyyatu ya kwanza
Atahhiyyatu aswalawatu watwayyibatu assallam alayka ayyuhaynabiyu wara- hmatulwah wabarakatuh, assallam alyna waghallaghibadillah swalihina, ash-hadu allaillah illalwah waash- hadu annamuhammadu- rasululwah.
Ya pili unasoma yote atahhiyatu ya kwanza afu unamalizia na;
Allah- maswali ghala muhammad, waghala ali muhammad, kama swalayta ghala ibrahim, waghala ali ibrahim, wabarik ghala muhammad, waghala ali muhammad, kama barakta ghala ibrahim waghala ali ibrahim, fil-ghalamina innaka hamidu majidu.
Tuipende dini yetu tusiishie kuuliza dua mwezi wa ramadhan tu, mana uislam sio ramadhani tu.
Dini hizi upande mwingine wanamuita Yesu ni mungu na amebeba dhambi zao upande mwingine Mohammad aliambiwa kwa siku aswali mara 50 ila wakamsaidia wakina musa zipunguzwe mpaka zifike 5 na wakati huo kwenye safari ya miraj aliswali kwenye hekalu la Suleiman ila historia inaonyesha hilo jengo lilibomolewA sasa unashangaa aliswali wapi?
Kimataifa umeandama, kitaifa badoasante mkuu vipi mwezi umeandama?
Usiumize kichwa mzee, aliswali ndotoni mimi mwenyewe nishawahi kufika ulaya ila ndotoniDini hizi upande mwingine wanamuita Yesu ni mungu na amebeba dhambi zao upande mwingine Mohammad aliambiwa kwa siku aswali mara 50 ila wakamsaidia wakina musa zipunguzwe mpaka zifike 5 na wakati huo kwenye safari ya miraj aliswali kwenye hekalu la Suleiman ila historia inaonyesha hilo jengo lilibomolewA sasa unashangaa aliswali wapi?
Wakikuambia jengo la tanesco ubungo limebomolewa wewe unaamini ukifika pale utakuta nini?Sisi tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Tunamuamini Allah na Mtume wake na wala hatuna shaka na aliyoyateremsha Allah.
Kwani jengo lilipovunjwa na eneo la Masjid al Aqsa pia likapotea au likawa halionekani au tuseme lilinyakuliwa nalo?