Status
Not open for further replies.
Nashindwa angalia picha za Rais wangu sasa, siwezi kaza jicho kuzitazama

Machozi yanagoma kuacha kushuka, yanakataaa kabisa najua hata hili litapita

lakini sidhani nimeumia John, Nimeumia Magufuli Kapumzike baba,This is life.

Mungu asante hata kwa hili, acha nikubali na niamini unasababu zako ktk hili. Bye John Bye Dad
Sijawahi lia kiongozi yoyote akifa. Leo nimepatikana mimi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Msiba Mzito kwa Taifa. Pumzika kwa Amani Rais wetu Mpendwa Dkt Magufuli. Amina.
===
Tanzania ni Kubwa.
 
Tumepoteza. Lakini hatutapotea

Tumefiwa na atakayeishi nasi milele

Nani nyuma ya Magufuli?

Jibu. Mamilioni ya Watanzania

Nalia nalia nalia nalia nalia nalia sana. Ila naona furaha mpya ya milele.

Kwa hisani ya mtu wa tanzania!

Chuki itaondoka katika taifa letu, siasa za kishenzi mwisho wake, serikali kupika data na kuongea uongo wa wazi sasa mwisho. Na huu ni udhibitisho kuwa huku mitandaoni tunaongea mambo ya kweli. Mliokuwa mnamshabikia mtu muovu mjipange kuleta muovu mwingine tupaze laana zetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom