Status
Not open for further replies.
mda sio mrefu uliopita, mama SAMIA, ametoka kutangaza kuwa Rais wetu ametuacha kwa maana amefariki dunia.... lakini baada ya kurudia matangazo hayo, mnaweka nyimbo ya tumeuona mkono wake Bwana kwa sehemu yangu nimeshidwa kuelewa maana nillitegemea baada ya matangazo ya msiba wimbo wa kwanza ungekuwa ni wa kufungua maombolezo kama ilivyelekezwa na selikari
mimi nimeuliza tu kuwa mnamaana gani na sio zaidi
Wakristu hushukuru kwa yote

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa Nchi analazwa tangu tarehe 6 March Wananchi hawafahamishwi tunadanganywa kwamba ni mzima anachapa kazi hadi siku 12 baadaye ndiyo tunafahamishwa amefariki siyo sawa kabisa ni kinyume cha katiba na taratibu za kuongoza Nchi.
So sad kwa kweli.

Cheers to the wish you were here, but you're not
Cause the drinks bring back all the memories of everything we've been through when you're there @Jakaya

I really miss him, nakumbuka enzi zile mtu uko unafanya zako group assignment mara tangazo ili hapa halmashauri X limetoa nafasi 50 za kazi. Watu ooh Lord kwanini sikuzaliwa mapema ili sahii niwe nimemaliza kusoma.

Taifa litamuenzi kwa mazuri yake. Marehemu hasemwi kwa ubaya 🙌
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom