mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
hahahhahah eti unashindia kiporoMbinu huna ndio maana kutwa kucha kulaumu na kutukana,toka nimekufahamu hujawahi kuja na ushauri wowote zaidi ya matusi na kulaumu.Hii inadhihirisha huna huo uwezo..
Serikali ya CCM imejitahidi kukabiliana na changamoto lukuki ndio maana Leo hii mahali tulipo sio sawa na mwaka 1961..kwa mantiki hiyo hakuna uzembe.
Ukweli unabakia pale pale kwamba gari ya tairi nne haiwezi kwenda kwa speed inayotakiwa ikiwa mojawapo ya tairi imepata shida,hivyo hivyo Kwa Tzn sio kisiwa kama majirani mnaotakiwa kushirikiana hamko pamoja haiwezekani wewe kufika unakotaka..
Nchi ilikuwa kwenye vita na Uganda,Nchi ilikuwa inahigadhi wakimbizi wa Nchi jirani,Nchi ilikuwa inatoa mafunzo na kupeleka askari kufanya ukombozi wa Nchi jirani na Nchi ilikuwa haina wataalamu wa kutosha kwenye fani zote ilipopata uhuru achilia mbali wanachi kuwa wajinga..
Wananchi ndio wanaleta maendeleo ya Nchi na sio Nchi kuwaletea wananchi maendeleo,hii dhana haipo kazinya serikali ninkuweka mazingira wezeshi sasa ukikaa hapo unashindia kiporo unasubiri serikali ikuletee maendeleo utasubiria Sana,unresponsible citizen