mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  2. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania IMF-Uchumi wa Tanzania utakua kwa 5% na mfumuko wa bei uko thabiti

    Kwa maoni ya wataalamu wa IMF waliokuja hapa Tanzania, tuko vizuri sana
  4. msakhara

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ya magari Tanzania

    Habari zenu wakuu... Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward... Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita. Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania IMF: Mfumuko wa Bei Duniani Kushuka hadi 3.8% kwa 2026 na 3.4% ifikapo 2027

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei...
  8. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kuanza wiki ya Jumatatu inayokuja

    Serikali ni kama imetoa greenlight kwa wafanyabiashara kupandisha bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia wiki ijayo. Hata maduka kwa sasa order yoyote hawatoi, wanakuam subiri bei mpya kuanzia Jumatatu. Watanzania tunalo chizi letu na tumeamua kuishi nalo, nahisi
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Unaongezeka Mara Dufu Kufuatia Kupanda kwa Bei za Vyakula

    Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani. Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Pato la Taifa (GDP) lakua hadi 5.5% mwaka 2024, mfumuko wa bei wabaki imara

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyakati za mifungo ya kiroho na kiimani, mfumuko wa bei za vyakula hutuumiza?

    Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa neema ya Mungu, mioyo yetu inajawa na uchungu wa kweli, uchungu unaotokana na kuona mateso na...
  13. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Kwanini kubadilika kwa thamani ya pesa (yaani Mfumuko wa Bei) ni wizi

    Pesa Ndiyo Chanzo cha Mema Yote! Unadhani pesa ni chanzo cha uovu? SIVYO. Kutana na Pesa—kabla hajaharibiwa na tamaa na wivu. Aliwasaidia watu kubadilishana thamani kwa thamani, akichochea ustawi, fursa, na uhuru. Pesa kwanza ni kipimo cha thamani kama vile mizani inapima uzito, rula inapima...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  15. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mmomonyoko wa maadili na maendeleo ya Taifa la Tanzania

    utanguizi. Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu. Nachelea kusema, Mmomonyoko huu kuna namna tumekwisha kuuhalalisha kama jamii kwa kisingizio cha...
  16. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye haya kupunguza mfumuko wa bei nchini

    Mambo matano ya kuyafanya 1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula. 2. Kupunguza ushuru katika vifaa vya kilimo kama uagizaji wa trekta za kulimia ili kuweka usawa na watu binafsi waweze...
  18. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6. Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wawafukuza wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, wasema wanapata hasara

    Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania. Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

    1: Adam Sandler 2: Jim Carrey 3: Will Ferrell 4: Nick Swardson 5: Katt Williams
Back
Top Bottom