Wa nini?Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Kawaulize waislam EDA ni siku ngapi. Ila tumepata AIBU Rais wa nchi mswahili. Ni aibu kuwa na eti Rais wa aina ya Samia, aibu!Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
aibu yake mwenyeweKawaulize waislam EDA ni siku ngapi. Ila tumepata AIBU Rais wa nchi mswahili. Ni aibu kuwa na eti Rais wa aina ya Samia, aibu!
Shida ya hii Nchi ni mfumo sio mtu.Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
SubhanAllahTatizo Israili amekuwa kama Doumbia wa Simba angekuwa kama Mpanzu mbona kitambo tu Watanganyika tungekuwa tunademka?
Allah awasamehe tu kwa haya mnayoandika humu, ila jua tu Kifo hakijawahi chaguaIngependeza zaidi.
Kifo ni kifoAllah awasamehe tu kwa haya mnayoandika humu, ila jua tu Kifo hakijawahi chagua
ila kiukweli huu msiba wa bonge inaonekana umeacha kilio kikubwa kwa baadhi ya viongozi wa Africa sema ndio hivyo wanalia kimyakimya sababu ilikuwa black marketKama mambo yako hivyo, muhimu kupata likizo ya daima.
Yule bonge ameenda na mambo mengi sana. Ameacha misiba mikubwa. Na wale wengine walioko Marekani. Ningependa kuona hawa watu wanaouza silaha bila utaratibu wanaishia wote.
Bara letu likae kwa amani
Rais anatafuta Kiki tu. Yupo mzima wa afya. Anataka kuwaingiza kingi akina Maria Sarungi
Nyingine ya nani?Yuko eda zote 2
Tulia we *******...roUnaelewa maana ya neno 'msenge' ? Au unajiandikia tu...
🤣🤣🤣Unataka uambiwe yupo kwenye mabarafu ndio ufurahie sio?
Hamna Mtanganyika mwenye taharuki maana hakuna Mtanganyika aliyemchagua Sa100, msitake kukuza mambo.Msemaji wa Serikali hafanyi kazi yake, kunapokua na hali kama hizi zinazoweza kuleta taharuki kwenye jamii, ni vyema akatoa taarifa sahihi